JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Katika kipima joto cha ITV kuna aina tatu za majibu 1. NDIYO 2. HAPANA 3. SIJUI. Mfano wa Swali. -----Ongezeko la watoto wa mitaaani jijini Dar es Salaam, Je serikali ilaumiwe?--------- Hapa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Leo nimeenda kumtembelea rafiki yangu mchana huu nyumbani kwao,tumepiga stori sana.basi chakula cha mchana kilipotengwa mezani ghafla akaniomba nimsindikize dukani nami nikamkubalia,ila tumefika...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
A woman is like a pack of cards ... ... You need a heart to love her ... A diamond to marry her ... A club to smash her head in ... And a spade to bury the bitch
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mitaa hii kulikuwa na vumbi jingi lililokuwa linatimka kiasi kwamba mvua ilivyoanza kunyesha yakawa yanashuka matone yenye matope!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Popobawa huyu hapa. Ni outcome ya utawala wa Farao kwa kumwacha Muumba.
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Mr & Mrs.Algebra welcomes u for wedding of their son Differentiation with Integration (Do, Mr & Mrs. Calculus) Place: Matrix hall 5, Parallel Line St, Square root Tower, Near Polynomial...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
kuna dogo mmoja alikuwa anahudhuria mafundisho ya dini sikumoja mwalimu alikuwa akifundisha akauliza wangapi wanataka kwenda mbinguni? watoto wote wakanyoosha kasoro yuke dogo mwalimu akamuuliza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nanukuu kampeni za mgombea huyu huko Igunga;Nitaanza na vijana>>vijana hamna kazi,mnakaa vijiweni bila kazi>>vijana mna 'very problems'>>Ninyi ni kama solar panels,mnachomeka juani muda...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF, Kwanza namshukuru Mungu kwa siku hii ya leo, ni siku njema inayopendeza machoni pa Mungu. Namshukuru mama yangu mpendwa kwa sababu katika siku hii ya leo tarehe 28 September...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
hivi huwa unapenda kufahamu kuwa watu wengine wanakuongelea vip???....na unatumia njia gani kufahamu?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Three guys were working on a high rise building project: Steve, Bill and Charlie. Steve falls off and is killed instantly. As the ambulance takes the body away, Charlie says, "Someone should go...
0 Reactions
2 Replies
976 Views
Wana jf nawasalim My boyfriend kasafiri na atakuwa ughaibuni kwa miezi kadhaa.Nampenda sana na niko tayari kuolewa naye hata mkee wa pili in case atarudi na mke My problem is this:Kaniachia...
0 Reactions
157 Replies
11K Views
Mwana jf kila uamkapo asubuhi utakutana na KALABLASHA TATA ambapo ndani kutakuwa na mada ya kuzumzia kwa asubuhi hiyo tafadhali usikose kupitia. Hii itaanza kesho nenda search andika kalablasha...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
1. Isiwe ndogo saaana, 2. Iwe nzuri na yenye mvuto, 3. Isiwe imetumika mno, 4. Isiwe na umeme, 5. Iwe maeneo ya uswazi (cheap), 6. Iwe nyeupe na ndefu, 7. Mpangaji niwe peke yangu, 8. Isiwe na...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Nakutaka wewe, Wewe wa kike ambaye umekuwa ukichangia sana post zangu, wewe ambaye umekuwa unapitia kutazama profile yangu, nasema na wewe wa kike ambaye unastahili kila kilicho cha kwangu...
0 Reactions
52 Replies
4K Views
A Baker was asked to print 1st John 4:18 on a wedding cake and he forgot the “1st” and printed John 4:18. 1st John 4:18 reads "There is no fear in love. But perfect love cast out fear...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za usubuhi wana jamvi.... jamani naomba nitoe wazo la mhe. BWM agombee tena urais kwa mara ya pili ili angalau tuondokane na serikali legelege ya sasa... tukumbuke kipindi cha mkapa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
habari ndugu zangu...binafi nina mchumba wa kichaga mmachame....sasa rafiki zangu wananitahatharisha sana...ila binafsi sijaona mabadiliko yoyote tangu tuwe pamoja miaka 3 iliopita.. Niishaurini...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Last night during Obama's Los Angeles event at the House of Blues, some guy mustered up the guts to shout at the top of his lungs at the President, alternating between variations of "Jesus Christ...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
A husband and his wife agreed that anytime they want to have sex they will call it a PHONE CALL so that their kids wont realize. One day the husband sent his son to tell his mummy that, he want...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom