JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
(Mtoto);Mama hivi kwanini huyu jirani yetu anatupatia misaada mingi sana? (Mama);Kama kila kitu ningemtegemea baba yako hata wewe usingezaliwa!
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mtalii alimwuliza kijana mwenye boti,Do u know Biology, Psychology, Geography, Geology and Criminology?Kijana mwenye boti akajibu NO.Mtalii akamwambia kijana,''What the hell u know on the face of...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
woman 1: how does your husband come on time..... woman 2: i have made a rule, i told him, romance will start sharp at 9pm, with you or without you!!!
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamaa kakosea,baada ya msg kutuma kwa hawara katuma kwa mama mkwe! ilikuwa inasema,''Mi nakupenda nimevumilia nimeshindwa nimeona nikwambie ya moyoni,naomba tuwe wapenzi mke wangu hawezi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Giving up is not always shows that you weak. Somtimez giving up it shows how strong you are that your able to give up,for thngs tht your sure it will hurt you a lot.
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari wana JF…. Lini mara ya mwisho ulicheza mziki kwa kujiachia na kufurahia kabisa huo Musiki ulikua unacheza?? Haijalishi ulikua wapi... Ilikua Chumbani kwako?? Sherehe?? Club?? Mtaani...
4 Reactions
412 Replies
24K Views
habari zenu wana jamvi, hivi ni kweli JF kunapatikana wachumba wa kutosha? maana kila mara tunaona matangazo ya kutafuta wapenzi! japo wanapigwa majungu ya kutosha lakini nashangaa hawaachi!
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Jamani wana-JF hii ni TANZANIA AU TANZAGIZAAJALIFISADINIA?
0 Reactions
3 Replies
914 Views
Naomba msaada, nina shida sana ya kusoma ile post ya kwenye jokes/utani inayohusu majina ya watu na sifa za wenye majina hayo ila sikumbuki title yake. msaada tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Little Johnny was playing in his room when his dad walked in and explained that he and his mom were getting a divorce. "Why Daddy?" asked a confused Little Johnny. "Well, son" he...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni sehem gani LAINI katika mwili wa BINADAM ambayo imezungukwa na NYWELE na ina UNYEVUNYEVU na ikikerwa sana hutoa MAJI. Acheni kufikiria ujinga nyinyi..... JIBU NI ------------->>
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Kwa wale wenzetu wa ukanda wa pwani;eti ni kweli kwamba popobawa huwa hataki watu wanaolala uchi wa mnyama na badala yake anapenda wale wanaolala wakiwa wamejijaladia kwa mavazi mengi kama vipande...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna baadhi ya topics hapa kwa jokes zimewahi kukupa raha.naonelea badala ya kuzi repost nianzishe hii thread ili kujikumbusha na kuwapongeza waliochangia.mimi binafsi huwa kila nikisoma hii...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nilipokuwa nasoma O-level kule Njoss tulikuwa na tabia ya kumcheka yeyote aliyekosea kutamka neno na tulikuwa tunasema AMECHOMA. Nikiwa kidato cha tatu mwl wangu wa darasa aliingia darasan asbh na...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
kidogo inataka ujanja...ukiitazama.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
...she took a ruler to bed to see how long she slept. ...she sent me a fax with a stamp on it. ...she thought General Motors was in the army. ...she spent 20 minutes looking at the orange juice...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
he! he!*he! he!*he! he! hi! hi!*hi! hi!*hi! hi! ho! ho!*ho! ho!*ho! ho! hu!*hu!*hu!*hu!*hu!
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Jamaa mmoja baada ya kuhangaika sana na kabinti fulani hatimaye akakapata na kukachapa nao. Alifurahi sana baada ya kumkuta binti yule bado alikuwa bikila. Akakaa kando ya kitanda na kumsifia kwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
KIMSINGI, huu si utani na imetokea bahati mbaya tu kwamba nilipotea njia nikajikuta humu! Nimetafuta japo upenyo wa kutokea, nimeshindwa kuuona na hivyo nimeonelea niyaeleze humu humu! POINT OF...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
SIDO Makao Makuu imeondokewa na Mhasibu wake Bw. Peter Mkilania, aliyefariki dunia ghafla jana usiku. Peter alikuwa mzima, na alifanya kazi zake kama kawaida, ila ghafla alifikwa na mauti akiwa...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Back
Top Bottom