wana JF, imeikuta hii mahali nikaona niwawekee...
Palitokea mkutano wa madactari bingwa kutoka nchi 3 China, Ujerumani, na Tanzania. Wakawa wanajadili mafanikio yaliyofanywa na nchi zao. Mchina...
Nimekuwa nikifuatilia visa vya huyu jamaa.
Jamani naona maisha yake yamejaa wingi wa vituko na vihoja, jamaa ni mjasiri na wala haoni aibu hata kusimulia kwenye kadamnasi yale makubwa...
TUPO WAWILI PEKE YETU
Padri amekaa katika ki-box cha kuungamisha, kanisani hakuna mtu. Mara muumini mmoja akaingia, akapiga magoti upande wa pili na kufanya ishara ya msalaba akaanza kuungama...
mods sijui kwa nini wametoa mada zako.they were reaaly fun nimecheka sana usiku wa leo ubarikiwe....hahahhaaa half crazy you are reallllllllly fun.....PLEASE BRING MORE STORIES......MIE...
Padri amekaa katika ki-box cha kuungamisha, kanisani hakuna mtu. Mara muumini mmoja akaingia, akapiga magoti upande wa pili na kufanya ishara ya msalaba akaanza kuungama.
"padri naungama...
Wana Jf naomba kuwasilisha,
Kwa uchunguzi wangu wa muda sasa nimegundua kuwa sokoni hasa Arusha na kwingineko kuna wanawake wazuri sana tena wale wenye maumbo ya figa nane hasa zilizojaa...
Licha ya kukwapuliwa simu na vipesa ndani ya daladala lakini matukio haya mawili sitayasahau.....
1..Siku moja j/pili nimetoka zangu kanisani mida ya saa saba, nikaamua kwenda kupunga upepo...
Madaktar bingwa nchi 3..China,Ujerumani na Tanzania wanajadili mafanikio ktk nchi zao..China''tulikuwa na kijana hana mkono tukaweka wa kutengeneza sasa nimpiganaji wa karet.''Mjerumani..bado...
Walikutana madaktari watatu kwenye mkutano, Mchina, Mjerumani na Mtanzania, majadiliano yakawa hivi;
Mchina: Kuna case moja nchini kwetu, mtu alivunjika mkono ukakatwa, tukamtengenezea mkono wa...
Mtoto mdogo alimsogelea baba yake na kumwuliza, "Baba, nini Siasa?
Baba akajibu, "Subiri nikufahamishe ifuatavyo:
Mimi nikiwa ndiye ninayeleta fedha nyumbani, unaweza kuniita Tajiri.
Mama yako...
je ni yupi kati ya hawa ni bingwa wa kusahau
1. jamaa alikua amelala akaamka walipokua amekaa akanza kufikiria juu ya kuwa ni jambo gani alilokua akifanya kwa wakati ule akawa anajiuliza,"hivi...
Nachojua mimi kazi yapaka ni kukamata panya, sasa leo kunapaka hapa home panya kampitia miguuni kabisa, paka kamuangalia kwa dharau afu kampotezea, sijui alihisi akimfukuzia atasweat...
Utafiti uliofanyika katika miaka ya hivi karibuni umebaini kwamba katika maeneo mengi ya wazi na barabarani hakuna vinyesi vingi kama zamani. Eti sababu kubwa ni hali mbaya ya kimaisha kwa vijana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.