Pals,
It has just come to my Notice that some of us are not really living our Normal Lives.
How the hell can someone spent over 50% of his monthly income on Rent only.
Buguruni mbona kuna nyumba...
Mdau mkubwa wa MMU Elia nakupa pole sana kwa misukosuko ya angani iliyokupata ukiwa kwa Obama.
(Tusingekuwa na wewe leo hii)
Mungu ni mkubwa na amekuokoa. (Yakupasa ukamshukuru mungu kanisani...
nina rafiki mmoja anamchumba wake ambaye anampenda sana ila hakujua kama mchumba wake naye ana mpenda basi aliamua kumtega,kwanza alizima sim yake kwa muda wa wiki 1 kisha akaiwasha muda huo huo...
Kingasti Dear the first time you caught this inquisitive eye of mine was
because of those sexy provocative lips of yours My interest in you was piqued
for the first time katika ile thread ya...
WAKATI WANADAMU WANAKUWAZIA KUSHINDWA MUNGU ANAKUWAZIA KUSHINDA,
WAKATI WANAWAZA KUANGUKA KWAKO MUNGU ANAWAZA KUKUINUA MBELE YA MACHO YAO,
WAKATI WANAWAZA JINSI GANI YA KUKUANGAMIZA MUNGU...
Dah!
Hivi unakumbuka kipindi kile upo shule na mpenzi wako, mapenzi moto moto.
Ikifika likizo tu, na mapenzi nayo yanakwenda likizo mpaka mtakapo fungua tena shule...!!!?
Njemba tano zilikuwa zinawania ubingwa wa kunuka dhidi ya beberu(mbuzi dume) kila aliyeingia mlango uridushiwa jamaa wa kwanza aliingia kwa muda usiopungua sekunde 56 akatoka mbio na kuliacha...
kwa siku chache zilizopita nimekuwa nikifurahishwa sana na hawa wataalum wa
mashahiri na Ngonjera (Old school way)
kweli kama ni vipaji wanavyo na wamebarikiwa ..
Ni vizuri kama tungewashukuru...
After terrific struggles,the student finally finished his examination paper, and then, at the end, he wrote;'Dear Professor- If you sell any of my answers to the funny paper, i expect you to split...
Unatakiwa kufikisha at least ndizi 50 kutoka kashozi kwenda katerero,umbali wa kilometa 100.Kashozi kuna mzigo wa ndizi 300 na usafiri uliopo ni wa kutumia Ngamia.Kwa kila kilometa 1,ngamia huyo...
Mtoto anamuuliza baba yake;'baba,hivi ni kweli kila hadithi lazima ianze kwa maneno,"hapo zamani za kale......"? Baba mtoto akajibu;hapana mwanangu,hadithi nyingine zinaanza kwa...
Ziro katumiwa barua ya kimapenzi na mpenzi wake.Kwa sababu ziro hajui kusoma,aliomba msaada kwa rafiki yake amsomee kwa sauti ili apate ujumbe uliomo baruani.Ili kumdhibiti jamaa asisikie ujumbe...
JOB APPLICATION
I am apply to my job of security guard to you boss in you company of Shoprite. I complete to Grade 8 examination certificate in 1997.
I am 27 ears to be Born of age and no...
..... ni mchezaji wa Mpira wa Kikapu nchini Marekani Dwight Howard. Alianzia ziara yake mjini Monduli kwa Mbunge Lowasa kabla ya kuelekea Ikulu kumsalimia Rais wa nchi J.K.
Hivi wakuu hii...
katika majina yaliyomo kwenye simu zenu nyie kina kaka.
Ni kundi gani la watu linaongoza %ge wise.
1. Family Members?
2. Work mates?
3. Normal friends?
4. Business partner?
4. Women to date.?/...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.