Jamani a weekend full of fun.
The game: liverpool versus arsenal.
Wapi tukakae kwenye screen kubwa?
mimi naona iwe hivi.
Dar... Double view hotel Sinza
Mbeya.. Mbeya hotel
Iringa... Shine...
Habari wana jamvi? Naimani wengi wenu mmeshatoka makazini na bilashaka mmetulia majumbani mwenu,
Ni hali ambayo inatokea wanapokutana mwanaume na mwanamke wote wabishi na mwanaume akimtaka...
mfugaji mmoja alivamiwa na majambazi usiku ,wakaiba mifugo kisha wakamvua nguo zote kumfunga kwenye mti kama yesu asubuhi jirani zake walikwenda kumpa pole jamaa,jamaa akawaambia yaani hapa wala...
Na Gladness Mallya
Mwanaume mmoja Adam Hashim (24) mkazi wa Mbezi Makonde jijini Dar es Salaam, amejikuta matatani kufuatia kutinga nguo za Bibie kwa lengo la kwenda kumfumania mkewe (hakujulikana...
Three pastors took a day off and decided to go fishing after
a busy Sunday. They agreed its so difficult preaching to people
all the time and no one preaches to them. Sitting by the river...
Wana Jf,
Nimejaribu kutembelea Majukwaa mengi humu JF, nimekutana na membes tofauti tofauti.
Hivi ni Jukwaa gani limetulia na members ambao wachangiaji ni watu wapole na wakarimu, na Jukwaa gani...
jamaa wawili walikua wanabishana mchana kweupe huku jua kali likiwachoma mabishano yao yalikua kama ifuatavyo:
1.hivi wewe unadhani hili ni jua au ni vua
2.hili ni jua wewe huona jinsi...
sijaelewa kama boyfriend wangu anipenda au la,hanipi denda et mate yangu yashawah kumtoa vidonda kooni na docta amemwambia hawez kubadilishana mate na msichana yeyote!simuelewi
Khabari za wkt huu wakuu?..kwa alieitikia bac mwenyez Mungu mwingi wa rehema azidi kumbariki! Jaman naomben mnijuze maana ya hili neno 'lol' coz nimeona lina2mika several tymz jamvini hapa!
When George Burns was 97 years old he was interviewed by Oprah Winfrey .. Oprah asked, "Mr Burns, how do you carry so much energy with you? You are always working and at your age I think that is...
Kuna rafiki huku job anasema kafunga ila anaenda sana msalani,kiasi tunahisi kama anapata misosi pembeni kwa kificho!madaktari kuna uwezekano ukiwa umefunga mfumo wa uzalishaji taka ukatulia au...
Wapendwa wanaJF, enzi zile kabla hapajawa na bongo flava, kuna mwanamziki mmoja hapa kwetu Tz aliomba ushauri jinsi gani awezefanya kutatua tatizo lililoluwa linamkabili.
Kwa ufupi ni kwamba huyu...
Kutoka kwenye nukuu ya katuni ya Kipanya, gazeti Mwananchi tarehe 16.08.11, katuni ya kipanya inaonekana ipo gizani, yani hakuna umeme, mafuta bei juu, hapa naongezea langu Maisha utadhani baadhi...
Finally,
Ijumaa hiyooo inaishia,
nimemiss saana good time
nimemiss happy people
nimemiss happy hour
heading for a drink now
nina hamu sana ya Red Label na mishkaki
nikipata na barafu na coke si...
Kama utumaji wa email hawa jamaa wanangoza...Tena wengine wanatumia email za company mtu anaandika page hata tatu..Unajiuliza anafanya kazi saa ngapi!! Then how wanakuwa na access za email za...
On Trial
After a trial had been going on for three days, Finley, the man accused of committing the crimes, stood up and approached the judge's bench. "Your Honor, I would like to change my plea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.