JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Once in a conference,three scientist A .chinese,B,German C Tanzanian were talking about the technological advances their countries have achieved in the field of medicine A.says the chinese in...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
duh
jamani mwenzenu natafuta mchumba.
0 Reactions
4 Replies
987 Views
Mailizia sentensi ifuatayo. Nataka kut.............!
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Mzee mmoja alikuwa na kijana wake ambaye alikuwa akisoma sekondari fulani ya bweni hapa nchini. Kijana huyo alikuwa ni mvivu na mtoro wa shule hivyo kusababisha yeye kushika nafasi ya mwisho...
2 Reactions
16 Replies
5K Views
Nakumbuka sana makala za huyu Padre kwenye gazeti la RAI. Siku izi simskii tena, hasa baada ya kanisa kutomtambu. Alihamia gazeti jengine ama ameacha moja kwa moja kuandika? tupeane habari watu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Maji yapo lakini hayatoki>>>Mafuta yapo lakini hayauzwi>>>Mafisadi wapo lakini wanaangaliwa tu>>>Magamba yapo lakini hayabanduliwi,yaani raha kwa kwenda mbele!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kumekuwa na tabia tofauti za uvaaji wa suti hasa za wanaume ambapo wengine uvaa na kuacha label ya designer aliyetengeneza suti husika kama vile hugo boss, pierre caldin, georgio armani n.k...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Kutokana na vurugu zinazoendelea huko Uingereza ubalozi wa Tanzania umeamua kuwarudisha watanzania wote nyumbani. Itasaidia kurudisha raia na mali zao. watanzania wote mnatakiwa kuwasiliana na...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
When you see an opportunity take it. Our government has proven very weak in handling issues. Issue ya mafuta inaathiri Uchumi kwa kiasi kikubwa sana. 1. Ni mitambo mingapi imefungwa kwasababu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Foleni Dar yapatiwa uvumbuzi na serikali ya SISIMU imeanza kujigamba kua imetekeleza ahadi yake ya kuondoa msongamano wa foleni jijini Dar es Salaam. Kwa siku kama 5 hivi msongamano wa magari...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Unajua unapofanya suprise uwe makini,kulikua na mr na mrs wanaish vzur,siku moja mr alikua na furaha sana akarudi nyumbn akaingia chumbn akamuacha mrs sebuleni,akabadilisha line ya simu ili...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nadhani wadanganyika mlisikia wachuuzi wa petroli juzi walipoipa serikali masaa 24 kufanya wanavyotaka wenyewe la sivyo wataona chamte makuni, ikitokea na wamachinga pia wakaipa serikali masaa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
A woman takes a lover home during the day, while her husband is at work. Her 9-year old son comes home unexpectedly, sees them, and hides in the bedroom closet. Then the woman's husband also...
0 Reactions
3 Replies
947 Views
Kwa wale ambao hajaiona hii picha ya .. zama za tekelinakojia..Ukoo mzima unakomenti topic ya JF.. ...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
mama mmoja alimpeleka mwanae hospitalini ili dokta akamfanyie uchunguzi na kubaini ni nini kilichofanya awe na uvimbe tumboni ilmchukua dokta sekunde mbili tu kugundua na kusema.."mama hebu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kweli ma doctar wa hawa ndugu zetu wana shuhuli nipale walipo ambiwa watoe mifano ili kwa wale waliopona waruhusiwe huyo jamaa wa kwanza alipanda juu kwenye kona ya nyumba akajininginiza mwenzake...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Jitu dume zima linavaa T-shirt imeandikwa;I'M A PRETTY GIRL,GRAVEDIGGER,MORTUARY ATTENDANT,99% DEVIL AND 1% ANGEL e.t.c,bora mtu mwenyewe angeivaa kwa malengo lakini mtu hata english language...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Kujua nyota yako (HOROSCOPES) ya kila siku tembelea BONGOWAP.HEXAT.COM
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Mbunge wa Kinondoni, akiomba mwongozo kuhusu kauli aliyotoa Meya wa Dar kuhusu UDA kwamba kuna wabunge wanafikiri kwa makalio na sio akili. Amesema kauli hiyo inadhalilisha bunge zima na...
2 Reactions
103 Replies
10K Views
I was born black, I grew up black, My skin is black in the sun, I'm black when I'm scared, Black when I'm ill I'll die black. While you, my white brother, You were pink at birth, White while...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom