Kuna Mzungu alikuja Tanzania kujifunza Kiswahili, alipomaliza kozi yake akiwa airport akaambiwa ongea maneno uliyojifunza kipindi hiki,akaanza Umeme Katika, Umeme utakuja Saa ngapi?,Umeme hamnaa...
Tanzania ina dini kubwa nyingi ambazo makao yao makuu yako Asia,Ulaya na Marekani ambako kuna matajiri wakubwa ambao wamekuwa wakileta misaada kila mwaka nchini.Lakini misaada hii imekuwa katika...
Tarakimu ya mwisho ya simu yako ya kiganjani zidisha kwa 2, jibu utakalopata jumlisha 5
halafu zidisha mara 50, jibu utakalopata jumlisha umri wako, halafu jumlisha tena 365, kisha toa 615.
Namba...
Dear Sir
Your most and highly esteemed self.
Sir,I refer to the recent death of the Technical Manager at your company
and wish to apply for the replacement of the dead manager.
Each time I apply...
Yule mzee wa vurugu za maono, muumini wa majini ambaye ametutoka, ulishajiuliza angetabiri nini kipindi hiki cha mgao wa umeme? Maana nchi imetulia baada majini na mapepo kupoteza kiongozi...
Mke wa Kelvin anajivunia mume mtulivu, hashindi baa na hatongozi
videmu. Akitoka kazini huenda kucheza basketball na hurudi nyakati za
dinner. Siku moja mkewe akamhurumia. Anachoka na kazi. Mtu...
Nimesikia kwamba mabwawa yote ya maji yamotoboka kwa chini yanavuja ile mbaya ndo maana umeme umepungua.hata gasi imeacha kufoka ndo maana mitungi imekauka
Jamaa mmoja alikwenda hoteli hana pesa akataka apewe chakula, akakataliwa. Basi jamaa akawatisha alipowaambia nitafanya kama alivyofanya kaka yangu jana. Wale watu wakaogopa wakijua kwamba jamaa...
jamani hiki ni kituko cha kweli,
jana nimetoka na mwenzi wangu tukaenda kusalimia ndugu fulani ambao waliondokewa/walifiwa na ndugu yao. kwa ufupi familia hii ina uwezo mkubwa tu na wanaishi...
Wakuu nimepita sehemu nikafanikiwa kuona Kipengele Cha Bunge akiongea Anne Kilango Malechela akidai Bara bara kwa wakulima wake wa Tangawizi.
Mama kaongea kwa Jazba mpaka mwenyekiti wa Bunge...
There's this drunk standing out on the street corner, and a cop passes by and says, "What do you think you're doing?" The drunk says, "I heard the world goes around every 24 hours, so I'm waiting...
John was driving when a policeman pulled him over. He rolled down his window and said to the officer, "Is there a problem, Officer?"
"No problem at all. I just observed your safe driving and am...
Nyani Ngabu ana masifa kishenzi.
Lizzy ana mawenge
Faiza Foxy ni mbishi, ukijaribu hata umueleweshe jambo atazidi kung'ang'ania
Pdiddy ana kamtindo wa kupaste threads ndefuuuu kutoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.