Inasemekana kuwa MS anataka kujivua Gamba ila hajui aanzie wapi. Hii imetokana jana baada ya MS kujibiwa Hoja zake na Rais wetu Dr.Slaa na MS kuzikubali na kulainika kiasi cha kutaka kuichoma moto...
Recently in Tarakea a man fled to Tarakea police station to seek protection against his sexually enthusiastic wife. He arrived at the station dressed in a shirt and underwear. His pants in hand...
Sasa imefika wakati ambao hakuna tofauti ya degree na certificate, leaving certificate hasa tukiangalia kudhalilishwa kwa wanafunzi udom. wazee wameanikwa kama mishikaki juani siku 2 nzima...
Enzi zilee ukipingana na ccm ujue unamkaribisha israel mtoa roho!
Tangu nguvu ya upinzani iwe chini ya werevu vifo tata vya viongozi makini vimepungua huku ccm wakipingana hadharani!
Hii...
Kuandamana siwezi,nguvu ya uma mi sina,
Kama vina huviwezi,heri kuwa maumuna,
Malengaze kuwa enzi,nipe jamvi wetu mwana,
Maxence nakuomba,nipe na mimi uwanja,
Mzee Mwanakijiji,bonyeza hicho...
Enzi hizo kama baba wa taifa anafanya ziara eneo lenu mnajipanga barabarani kuanzia asubuhi kumsubiri yeye,maduka shule masoko na shughuli nyingine zinasimama! Siku hizi nani ana muda na magamba...
Si jui ni anzie wapi lakini ukweli ni kwamba Tanzania ina zidi kudorora kiuchumi kila siku,hasa sasa hivi ambapo mgao wa umeme umezidi na wananchi wana shindwa kufanya shuguli zao za kila...
hebu tudiskasini kama vyama vya siasa viwe vituo vya vipaji
nafkiri ccm kingetoa watoto wengi wenye vipaji vya ufisadi na umimi
cdm nao wangetoa watoto wengi wenye vipaji vya ubishi na...
Habel Chidawali,Dodoma
MBUNGE wa Viti Maalumu kupitia tiketi ya CCM, Ritta Kabati,anatarajia kuwasilisha bungeni, hoja binafsi ya kutaka kuondolewa kwa utaratibu wa sasa wa maswali ya papo kwa...
On the first day, God created the dog and said, "Sit all day by the door of your house and bark at anyone who comes in or walks past. For this, I will give you a life span of twenty years." The...
Two traffic cops were on duty at around 8.00 in the evening when they saw a land cruiser coming with all lights off! They stopped the driver and asked him how dare could he drive at night without...
one lady was married with one gentleman from USA, her mother visited to to her house. and when they are chating here and there asked her daughter what about her marriage life. the daughter...
Reasons why I never visit rich people !!
Question: "What would U like to have... Fruit juice, Soda, Tea, Chocolate, Milo, or Coffee?"
Answer: "tea please "
Question: " Ceylon tea, Herbal...
Wananchi tumezoa kunyimwa na kukubali kutoonyesha Data zinazohusu nchi yetu. Wakati umefika sasa na sisi Wananchi to demand Statistics zote zinahusu ripoti za poverty nchi nzima toka miaka ya...
By In2EastAfrica
Omari Nundu
The Member of Parliament for Tanga (CCM) Mr Omari Nundu, has dished out 100m/- loans in his constitutency to help the people fight poverty.
The money is from...
Kama ilivyo kawaida, bunge la sasa lina wabunge 350, lakini wengi ni kutoka CCM wakichukua robo tatu ya wabunge wote, huku Spika Anne Makinda na Naibu Spika, Job Ndugai wote wakitoka chama hicho...
Kulikuwa na mwanaume wa kichina na mwanamke wa kitanzania wakawa wamefanya tendo baada ya miez tisa yule mwanamke akajifungua yule mchina akaenda kumtazama mtoto akakuta mweusi akamuuliza mkewe...
Utafiti wa kina umeonyesha kuwa,watu wanao tumia line ya
VODA
-Ni watu wenye staha,heshima na vyeo.
AIRTEL
-Ni wafanya biashara ,wafanyakazi wa makampuni makubwa, viongozi na matajiri wenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.