JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kujadili mambo yanayohusu nchi si kwamba unajiingiza kwenye siasa, bali ni kujalibu namna ya kuinusuru nchi na lolote baya au kuendeleza jambo jema. Wana jf fungukeni na tokeni katika chupa hiyo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Please,i miss a kiss
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Nimekukumbuka Mheshimiwa Mchungaji Rev. Masanilo.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nauliza tu Jamani ... What is satan's last name? :music:
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Gozigozi nililoliekspiriensi zenji zis taimu ndio nimebilivu kwamba mwanangu ukipewa ishu na mtu ambaye dizaini anaweza akalingana na mshua wako ki1eji, ..usipotezee ile mazima. Lifanyie kazi...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
...yaani! We acha tu. Ila nimeasili mtoto hapa jf, kwa hiyo ujue tuna binti
2 Reactions
42 Replies
4K Views
Ni kawaida kwa kila kitongoji, mji, wilaya au mkoa hapa Tanzania kukutana na kibao hiki KARIBU WILAYA YA...(weka jina mfano TABORA). Lakini hali ni tofauti sana unakwenda kule kwa makamanda na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hivi unawezaje kumwambia mwenzio JIAMINI wakati wewe mwenyewe hujiaamini?hili ndio tatizo tulilonalo watu wengi,lakini je ni sahihi ama si sahihi kumrekebisha mwanzako unapoona amekosea?kipi ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mdai: Hodi nyumbani! Mtoto: Karibu! Mdai: Hujambo? Mtoto: Sijambo, shikamoo mgeni! Mdai: Marahabaa, baba yako yupo? Mtoto: Hayupo Mdai: Sijamwona siku nyingi, kwani amekwenda wapi? Mtoto: Subiri...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
A nigerian mum says after receiving news that her teen daughter is pregnant, "chineeeke, my daughter u have killed me oooo, i told u if a man touches ur breast say 'DON'T' and if he touches ur...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
habari wakuu wa jamvi. Sote tunajua kuwa mambo mengi yanaendelea na nimeona nichukue muda wenu kukumbushana baadhi ya nukuu za wakuu wetu. Nadhani ziko nyingi na zinaweza kutusaidia kukumbuka...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
one asian person visit the bank for money loan of dollar 50000 which will be paid after one month, the bank officer give him the payment interest of 10% per month and asked him about the loan...
0 Reactions
1 Replies
957 Views
"Mke ni nguo ,mgomba kupalilia." siku njema
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Mama mmoja na familia yake baada ya chakula cha mchana akaauliza watoto wake,jamani mbona toothpick kila nikinunua zinaisha haraka? House gal akajibu,labda uwaulize wanao maana mimi kila...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Siku ya kwanza mida ya jioni flani akaiba nguo zilizoanikwa juu ya kamba. Akakamatwa na masela wakampiga sana makofi kisha wakamwachia ila wakamtahadharisha asije tena kuiba kwani wakimkamata tena...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimeshangazwa sana na CDM a.k.a MAGWANDA kwa kupalilia mkaa wa moto, na ukiisha waka wao wanakimbia bila ya kuuzima. Wao ndio waliowashawishi wanafunzi wa UDOM kugoma baada ya Lema kuwajaza...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
These guys from Central are Genius. This is a true story that took place last week in Kisauni Makaburini Mombasa! A wealthy gentleman had passed on and was being buried at the Kongowea Cemetery...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Zaidi ya wanawake 250 wa mji mmoja nchini Kolombia wameanza mgomo wa kuwapa unyumba waume zao ili kuishinikiza serikali iifanyie marekebisho barabara inayoingia mjini humo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mwenzetu hajaja ofisini, tangu asubuhi tumejaribu kumpigia simu lakini simu yake ikawa haipatikani. Jioni hii nimemetembelea nyumbani kwake na nimebahatika kukutana naye. Anasema lkashindwa kuja...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Wakati watanzania tunaendelea na uvumilivu kuhusiana na mgao wa umeme. Eti ni kweli wenzenu Senegal wametia kiberiti ofisi ya nishati kisa ni "MGAO WA UMEME"
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom