Mvuta bangi kavuta zake bangi...tena mchana kweupe.
akawa anarudi nyumbani kumbe katika kutembea, mguu mmoja ukaingia mtaroni akawa anatembea hivohivo.
Kwa hiyo mguu mmoja mtaroni mwingine...
Ilitokea jana jioni mitaa ya tabata mbele kidogo ya bima, mambo yakawa kama hivi:
Abiria: kondaaaa simamisha kwa mwarabu..
Konda: waarabu huwa hawanipe stimu kabisa sidhani kama itasimaa labda...
Mswahili mmoja mvivu sana alikwenda kwa kinyozi, alipokaa tu kwenye kiti kinyozi akamuuliza unataka kunyolewa ndevu au nywele? Mvivu akajibu ndevu, kinyozi akamwambia inua kichwa basi, jamaa kwa...
Baba mmoja wa kichaga aliingia chumbani kwa watoto wake watatu wamelala wamewasha feni namba 5, akafoka na kuwaambia: "ati nini, nyie ni watatu na feni namba 5 kwanini msiweke namba 3?"
Jamaa Baghili Siku ya Sikukuu alienda kununuwa Mbuzi Kufika Bei aliyoambia kama kawaida yake ikabidi afanye juu chini ishushwe akapewa kwa Bei Rahisi sasa kufika kwa mchinjaji sasa alimtafuta...
Bodaboda ilipata ajali ya kuacha njia na kutumbukia kwenye mtaro.
kilicho washangaza na kuwasikitisha wengine pia kufurahisha wapitanjia ni ule wimbo uliokuwa ukiimbwa na ile pikipiki ni ule...
1-speed angalau kilomita kumi kwa saa2-mlo mmoja kwa siku3-maji lita tano kila unapotembea 4-bukta ya dhalula ndani ya sulali au siketi5-uwe tayari kulala popote hata ukumbi wa disko6-usisahau...
jamani wana JF!
kuna jambo linanitiza sana hapa, kuna maduka yanayouza nguo hapa Mwenge maarufu kwa Boutique ukiingia maduka haya utakutana na vijana wa kiume age yao ni miaka 14-17 wanauza nguo...
Fataki alimpa lift dada mmoja aliyekuwa ametoka church, kwa kuwa dada alikuwa amebeba biblia fataki alijua yule dada kaokoka. ndani ya gari Fataki kila akibadili gear anamgusa mapaja yule dada...
(John):Wife anajifanya jasiri,lakini leo nimegundua anaogopa kitu gani. (Henry);Enhee,nambie umegundua nini? (John);anaogopa maji mpaka anaingia na yule bodyguard wangu James bafuni!
Saidimu ana mbuzi kadhaa na Seleli ana mbuzi kadhaa. (i)Ukichukua mbuzi mmoja wa saidimu ukampa seleli,idadi ya mbuzi wa seleli itakuwa mara mbili ya idadi ya mbuzi wa saidimu. (ii)Lakini...
SOMA BARUA YAKE ALIYOANDIKA KUSEMA POSHO ZAKE ZIREKEBISHWE AKAUNTI NA ZIPELEKWE KIGOMA. ETI KIGOMA KATIKA MAENDEKE YAKE CJUI ALIMAANISHA MAENDELEO YAKE AU VIPI? JITAHDDDDDDD KUWA MAKIKI...
Ukiwa una drive gari yako kwa spidi ya mwanga(speed of light=3x10^8),then ukawasha headlights(taa za mbele) full,nini kitatokea kwa huo mwanga wa taa ulizowasha?
Leo Spika ametangaza kuwa Waziri Mkuu na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni wana udhuru wa kutohudhuria kikao cha asubuhi.
Waziri Mkuu alikaimu madaraka yake kwa Shamsi Vuai Nahodha.
Mbowe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.