JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Bakhili mmoja baada ya kuaga dunia alienda direct mbinguni..akakabidhiwa ghorofa mbili kama zawadi.kwa ubakhili wake alizipangisha zote akaenda kuishi jehanam.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hello wana Jf Nilikuwa naomba kushare na nyinyi hisia zenu, hasa kwa wana JF ambao wameshawahi kufungiwa(BAN) humu jamvini :- nina mambo machache nataka kujua kutoka kwenu 1. ulikuwa unajiskiaje...
0 Reactions
84 Replies
7K Views
1.Enter any 11-digit prime number to continue. 2.Press any key to continue or any other key to quit. 3.Press any key except... no, No, NO, NOT THAT ONE! 4.Bad command or file name! Go...
0 Reactions
0 Replies
854 Views
Bibi alienda kununua nyanya alipofika akaanza kuziminya minya huku akilia,muuzaji kumuuliza mbona unalia bibi akajibu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hizi Ndio kumbukumbu zangu za visa za Madenge sijui na wenzangu mnakumbuka zipi? 1. Madenge Darasani kwao alikuja mwalimu mpya wa kike. Akauliza swali 2+2= ? Madenge kama kawaida yake...
0 Reactions
1 Replies
42K Views
Kuna siku nilipanda daladala toka Tegeta mpaka Ubungo na bahati mbaya sikupata bahati ya kupata siti,nikatafuta daladala ya kwenda mbagala nako nilisimama hadi Buguruni, asubuhi hiyo! Baada ya...
1 Reactions
27 Replies
5K Views
Memory was something you lost with age An application was for employment A program was a TV show A cursor used profanity A keyboard was a piano A web was a spider's home A...
0 Reactions
0 Replies
821 Views
Kuna waziri mmoja katika serikali za awamu zilizopita alikuwa waziri wa maji, alikuwa hataki kupigwa picha hii ni kutokana na sura yake kuwa mbaya yan hata sura yake mwenyewe hakupenda kuiona...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kulala gizani..Haina Majasho Petrol 2500 ...haina majasho maPriest kuuza unga...haina majasho dawa za bil 8 kuoza MSD ..haina majasho JET ya TPDF kubeba mtuhumiwa asiye na kesi...haina majasho...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Sharobaro katumiwa sms ya ngeli na demu wake, mwisho imeandikwa "some text missing**" sharobaro kujifanya mjuaj akajibu, some text missing too
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Baba mkwe mmoja kutoka bush alingia mjini. Akakuta wajukuu zake wanagombania barafu .akawapora akijua labda ni ndio almasi akauze. akaweka katika mfuko. Baada ya muda wakiwa pamoja. Watoto...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Binti mmoja alilelewa katika maadili mazuri sana na wazazi wake hadi ukubwani. Kama ujuavyo, binti mwenye maadili hakawii kupata mchumba; akachumbiwa na hatimaye akaolewa. Siku tatu tu baada ya...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
MAMA MKWE:Heee wee binti huyu mtoto mbona hafanani na kijana wangu? BINTI:Mama samahani huku chini nina njia za uzazi na sio machine ya photocopy! MAMA MKWE:mmhhhhhhhhhhhh!
0 Reactions
14 Replies
2K Views
From Yahoo friends Absolutely amazing! Beauty of Mathematics !!!!!!! 1 x 8 + 1 = 9 12 x 8 + 2 = 98 123 x 8 + 3 = 987 1234 x 8 + 4 = 9876 12345 x 8 + 5 = 98765 123456 x 8 + 6 =...
6 Reactions
13 Replies
4K Views
Ilikuwa ni noma mbaka huruma baada ya dogo mmoja kumuaga mwalimu wake ili arudi nyumbani kwa kisingizio kuwa babu yake amefariki baadaye mwalimu anaenda msibani eti babu anamwambia mjukuu jifiche...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
dad to son: when i beat u, what do u do!? Son: i start cleaning up toilets. Dad: how does that help u!? Son: coz i use ur toothbrush.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Imeshakuwa kama kamchezo kwa viongozi mbalimbali kuitumia Kariakoo kama mfano mbaya pale wanapotaka kufananisha na jambo baya Awali kabisa alikuwa Makamba. Nikaja kumsikia tena jamaa mmoja...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Jamaa mmoja alikwenda ofisi za traffic kurenew leseni yake, traffic akamwambia kuwa leseni yake imekwisha kwa sababu ya kuzunguka na gari sana.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Three contractors are bidding to fix a broken fence at the Ikulu's House. One from South Afrika, another from Kenya and the third from Tanzania. They visited the State House office to examine the...
0 Reactions
1 Replies
993 Views
Back
Top Bottom