JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nina wasiwasi chinga wanaweza kuwa wana asili ya uingereza. Angalia majina yao Waingereza: Sir Goatly Mr Brown Mr Southgate Captain White .......... ........ Chinga: Nchumali Chipoku Bakuli...
0 Reactions
0 Replies
871 Views
Orijino komedi na siku ya kunawa mikono duniani http://youtu.be/GmUC3eZFarE http://youtu.be/3vfvgncuONc Orijino komedi na matatizo ya umeme Bongoland http://youtu.be/wO3EjrbbvFU
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hapa naoan nimefika ..sijui wageni wanakaa kwa kwa mikeka au ndio wanasimama
0 Reactions
2 Replies
1K Views
What happens when a fly falls into a coffee cup? The Italian - throws the cup and walks away in a fit of rage. The Frenchman - takes out the fly, and drinks the coffee. The Chinese - eats the...
0 Reactions
1 Replies
993 Views
Hatimaye mch. mstaafu mzee Mwasapile ameungana na mbunge wa Igunga Bwana Rostam Aziz kwa kuwataka wagonjwa wanaopata tiba ya "kikombe" kuendeleana dawa za hospitali kama kawaida. Hili...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
daah,namkumbuka mwalimu wangu wa darasa la kwanza,aliyenifundisha kusoma na kuandika,ni wa kike anaitwa mwaluko,alikuwa mkali sana,alikuwa anatunasa vibao,na kutupiga na rula nyuma ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mmakonde kaenda kukagua shamba lake la ndizi,huko akakuta mwizi na furushi la ndizi anataka kukimbia... Unajua alimwambia nini? ukichimama nchale,ukikimbia nchale, ukichunguluka nchale...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Juma moja lililopita nilijieleza wazi kwamba nampenda sana mdada huyu na kumwomba namba yake ya simu. Kutokana na hilo nilidiliki hata kumwomwomba Rose1980 na Afrodenz wanipigie debe. Rose1980...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
A father was explaining the facts of life to his son. After covering the basic biology, he moved on to the finer points of love-making: F: One thing to keep in mind, son, is that different women...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1. Why it is said "A dog is the man's best friend?" Because as animals, they understand each other. 2. Why only 10% of the men go to heaven? Because more than that % they'll turn the heaven to...
1 Reactions
24 Replies
9K Views
is it true>love is life
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Napenda kumsalimu Spanish lady na kumtakia weekend njema na wiki ijayo njema, namwombea afya njema na furaha tele,ni mimi Uporoto nikiwa safarini kuelekea Mpwapwa.:wave:
0 Reactions
41 Replies
4K Views
:hug:Habari zenu wanajf! Nafikiri kupenda si dhambi na kila mtu ana haki ya kupenda au kupendwa. Mimi nimetokea kumpenda sana binti huyu kwa namna anavyochangia mada hadi sasa napenda kukutana...
1 Reactions
215 Replies
16K Views
Wamakonde wa sehemu fulani walikuwa wanaogopa sana maiti.Na hivyo akifa mtu hawamziki na wanahama kabisa kijiji. Lakini siku moja ikabidi kabla ya kuhama kijiji kumwambia maiti kuwa: Chacha...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
katika orientation kwa first year muhimbili,profesa wa pathology alikuwa na wanafunzi wake! Profesa"katika pathology,unatakiwa uzingatie vitu viwili" Wanafunzi"vip hivyo?" Profesa"1st,uwe...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
When JK went on a Far East tour during his first term of office, he was given a gift of generetors for production of electricity by Japan, Korea, Pakistan and Iran during the electricity crisis...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
The male teacher in a girls’ school asked the science class: "Who can tell me what organ of the human body expands to 10 times its usual size when stimulated? Mary, can you tell me?" Mary blushed...
0 Reactions
2 Replies
962 Views
Mnyakyusa alipata bahati ya kutembelea mikoa ya Pwani na Zanzibar. Aliporudi kwao akaanza kuwasimulia wenzake yale aliyo yaona huko safarini. Ndugu sangu, fiasi hifi hifi tunafyolima hapa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Hello wana MMU! sio kawaida yangu kuingia jukwaa hili na kuandika, kupost au kuchangia mada zinazokuwa hapa, huwa napita na kusoma tu... ukiona leo mpaka nimefikia kuandika thread hapa basi kuna...
0 Reactions
137 Replies
10K Views
Mr.marwa aliagizwa na dokta apeleke hospitali choo ndogo kwa ajili ya vipimo.Alipofika home aliandaa sampo yake ya haja ndogo kwenye kichupa kidogo,akaiweka juu ya kiti,akaingia chumbani kujiandaa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom