Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Habari za leo. Mjuze na asie na taarifa hii
1 Reactions
6 Replies
690 Views
Wakuu habari za majukumu Nimatumaini yangu mko PowAhh. Naomba kupata mwongozo kwa yoyote mwenye kufahamu process na mambo muhimu ya kuzingatia ili uweze pata pikipiki za mkataba kutoka NMB maana...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi mtu kama alikuwa anadaiwa songesha, laini yake ikafungwa ukiisajili wewe ndo utatakiwa kulipa hilo deni?
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari za wakati huu wakuu; Leo nataka niwe BRIEF maana katika maoni ya wadau niliyopata ni kwamba nipunguze urefu wa maandiko yangu kwa sababu baadhi ya watu wana processing power ndogo na...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wakuu Nimeona watu wengi wakifanya biasha ya pombe Naomba kuuliza huvi mtaji wa kufungua min store ya pombe bei gan!! (Kama duka la kuuzia pombe).
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimeisahau TIN yangu, hivi kuna njia ya kujulishwa na TRA au mpaka uende ofisini?
0 Reactions
2 Replies
903 Views
Kwanza napenda kusema na kukiri wazi mimi ni mmoja wa wale waliokua wakiamini katika msemo ambao watu wengi sana hupenda kuutumia kwamba kizuri chajiuza,kibaya chajitembeza huu msemo ni kweli...
17 Reactions
46 Replies
6K Views
Nchi ya Tanzania ina faida ya kuwa na maeneo ya Uvuvi makubwa katika mikoa mbalimbali. Karibu Kila mkoa kama hakuna mto mkubwa basi Pana Ziwa kubwa au hata bahari ambayo ni mazingira mazuri ya...
1 Reactions
22 Replies
8K Views
Habari wana JF. Mimi ni mjasiliamali, mkulima wa zao la katani na korosho wilaya ya lushoto huko ndiko nilikowekeza. Naombeni ushauri juu ya namna ya kuanzisha kampuni ya Drinking Water, maji ya...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Assalam Alaykum, Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyoeleza, uzi huu utajikita kujaribu kutoa mwanga kwa wasiofahamu juu ya uharamu wa biashara ya forex kwa mtazamo wa sheria ya kiislamu. Kwa...
32 Reactions
223 Replies
37K Views
Habari, Leo nimekuja kwenu kupata mwongozo wa biashara ambayo nina mpango wa kuianza wiki ijayo ya upakaji rangi kucha na ubandikaji kucha za bandia wadada na wake za watu. Ujuzi nilionao mpaka...
1 Reactions
14 Replies
9K Views
USA: ELON MUSK ANUNUA 9.2% YA HISA ZA TWITTER Hatua hii inamnafanya Mkurugenzi Mtendaji wa Tesla kuwa mbia mkubwa wa kampuni, karibu mara nne ya ukubwa wa hisa za mwanzilishi Jack Dorsey ambazo...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Mafunzo ya uagizaji wa bidhaa kutoka China kwa wajasiriamali wadogo yatafanyika tar 26 April kwa Google Meeting Kupitia mafunzo haya utaweza kufahamu yafuatayo: 1. Namna ya kupata wauzaji wa...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Sehemu nyingi za Tanzania alizeti inastawi vizuri sana. Kuanzia Singida na hata maeneo ya Handeni. Wakulima wadogo wanalima na wanavuna. Hawa think tanks wetu hawajaangalia uwezekano wa kufanya...
30 Reactions
117 Replies
8K Views
Happy holidays JF massive! Leo nimepata muda nikasema nitatumia muda huu kuwapatia darasa la bure watu wote wanaotaka kufahamu jinsi unavyoweza kutoa pesa yako kutoka UpWork hadi inakufikia...
7 Reactions
55 Replies
9K Views
Habari wakuu samahan naomba kujua je Mara Kuna viwanda gan au kampuni gani na majina Yao nipo na shida nayo Asanteni
1 Reactions
0 Replies
887 Views
Jamani NAOMBA MSAADA anayejua minada au magulio makubwa ya kila wiki katika MIKOA ya Kilimanjaro, Tanga, Morogoro, Lindi, Mtwara, Songea, Zanzibar, Manyara nk anitajie
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam-maarufu kama Sabasaba kwa mwaka huu yatakuwa ya 46 na yanatajwa kushirikisha nchi nyingi zaidi yakiwa ndio maonesho pekee makubwa Afrika...
2 Reactions
2 Replies
839 Views
Habari za jioni ndugu wadau. Nimekuja na wazo la kuingia kwenye biashara ya kuzalisha chakula cha kuku wa mayai na nyama Mtaji 200M (kiwanja kibaha, jengo mashine, raw materials, Vibali n.k)...
6 Reactions
25 Replies
8K Views
Nampango wa kuanza biashara ya kuuza mtumba (men jeans) kwa kufungua mabalo plz jeans yeyote ndugu zangu mwenye ujuzi Naomba ushauri kuhusu biashara ya hii pia naombani kwa anaejua wauzaji wa...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom