Wakuu nimebangaiza nimefanikiwa kuweka Milioni 35 nataka kuingia katika biashara Kariakoo, nifanye biashara gani?
Michango ya wadau
Hayo mambo ya kununua nafaka na kuzitunza store...
Jamani mimi niliagiza mzigo kikuu nawanasema upo tayari Dar muda wowote utatumwa mkoani niliko. Ila naona kimya hadi saizi. Anaejua anielekeze nifafanyaje
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania,
Husika na kichwa cha habari hapo juu,
Nimevutiwa sana kufanya biashara ya kuuza mkaa, ambayo kwa kifupi nahitaji kuchoma tanuri mwenyewe...
Mwongozo huu unaweza kutumika kwa aina nyingi za biashara lakini kwa leo nitajikita katika katika biashara ya Independent Consultant/Consultant/Mshauri Mwelekezi
Consultant ni mtu...
Ndugu habarini,
Hapa ni nyumbani naomba tupeane uzoefu.
Binafsi nipo na ofisi ya Uwakala wa mitandao ya simu na Banks kama wakala wao.
Tatizo nalokutana nalo ni chuma ulete au sijui ni kiini...
Wadau habari za muda.
Naomba kwa mwenye uzoefu ama ufahamu wa kina kuhusiana na hii Biashara ya Air BnB.
Naomba kujua faida zake, changamoto zake pamoja na mahitaji gani muhimu ili kuweza...
Biashara ni mchezo wa kubahatisha ni mchezo ambao hauna Ninja, yeyote bahati itaemdondokea ndio mshindi,Hiyo ndio biashara sasa. Watu wengi tunapofungua biashara tunakua na idea zetu vichwani...
Jana nikapost kuhusu watu ambao wamewekeza kwenye BE FORWARD NOW ili kuhakikisha kama kweli wananufaika au lah...!
Kuna raia wamezomea, wengine wakasema dogo utatapeliwa, n.k ila kuna akili...
Kwako Mwananchi,
Nchini kwetu kumekua na migogoro mingi au usumbufu mwingi wa masuala ya ARDHI, Moja ya sababu inayochangia migogoro mingi ya ardhi Nchini ni kununua eneo la Ardhi kimazoea au...
Habari zenu viongozi..
Natumai ni wazima wa afya !
Naomba kufaham mambo ya kuzingatia kabla ya kuacha kazi na kujiajir mwenyew ili nipate uvumbuzi kutoka kwenu
Nawasilisha naomba msaada wenu[emoji847]
Nimeshapokea ela ya kazi yangu niliyoifanya ndani siku 13,leo advance ya laki 2 tayari imeanguka..
Apa najifkiria nikaimalizie wapi usiku leo..
Cha kwanza elfu 50 naenda kuitoa sadaka...
Habari za kazi, hivi mu akitaka kufanya biashara ya ngozi ya ng'ombe mbichi kwa Tanzania kwenda nje ya nchi inawezakana? Upatikanaji wake na bei zake zikoje? Natanguliza shukrani sana.
Naomba...
Nimejikusanya kiasi cha kupata laki nane, kazi kibarua (dayworker) kwa sasa nimeona kujiajiri ni vena Sana.
Sasa nauliza je kwa ongezeko kubwa la vibanda vya mobile money je itafaa kupambana...
Habarini za wakati leo, nimekutana na mkasa ulioniacha mdomo wazi. Siku mbili nyuma niliagiza mzigo kutoka China na nikasafirisha na kampuni moja kimsingi ilikuwa ni mara ya kwanza kuwatumia...
Tokea vizazi na vizazi Haijawahi kutokea wakati rahisi kuanzisha biashara kama wakati tuliopo sasahivi!
Kabla ya kuendelea na huu uzi, naomba ondoa fikra potofu kuhusiana na online money making...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.