Nipo katika moja ya nchi za Ulaya kikazi na nimebahatika kuingia katika duka kubwa la Costco.
Humo katika pitapita kwenye sehemu ya groseries nimekuta kahawa ya kutoka Tanzania sehemu ya Lyamungo...
Tanzania imekuwa na tatizo kubwa sana la ajira (unemployment) hasa kwa vijana wahitimu wa vyuo vikuu, imefikia kipindi vijana wengi walio mavyuoni kudhani siasa ndo njia ya kutokea kimaisha...
Kumekuwa na mfumko wa bei kwa vitu mbali mbali ikiwemo bidhaa za nyumbani kama vile mafuta ya kupikia, mchele, unga na sukari.
Uzi huu utakuwa maalumu kuhabarisha stage tuliyofikia katika eneo...
Mafuta ya kupikia sasa yanaenda kuwa anasa kutokana na kupanda kwake bei sijui tatizo lipo wapi? Tuambie kwenye eneo unalo kaa mnanunua bei gani kwa ndoo?
Wandugu hongereni kwa kazi.
Natarajia kuanza biashara ambayo itahusisha kusafirisha mizigo kwenda kwa wateja zangu waliopo sehemu mbalimbali hapa TZ yaani mikoani, wilayani na hata vijijini. Kuna...
Habarini wapambanaji wenzangu leo katika pitapita zangu nikakutana na ndugu mmoja akaanza kunipa maneno ya kunikatisha tamaa, kwamba biashara niliyofungua haitofika popote kisa nimefungua biashara...
Naomba ushauri bidhaa ipi ya mtumba ni inatoka na ina faida zaidi.
1. Magauni
2.Nguo za watoto mix
3. Mashuka
4.Mashati
6.Sidiria
Na vipi bei ya belo kwa bidhaa hapo juu?
Jaman, naombeni kujua kwa mwenye kujua bei ya pikipiki mpya aina ya SINORAY na HOUJUE dukani kwa sasa ni shilingi ngapi, na kwa mwenye connection ya maduka ya hizi pikipiki kwa Dar naomba anicheki...
Nimekuja kuomba ushauri kwenu nina mtaji wa milioni nne naweza kufanya biashara gani Dodoma.
Nina ujuzi wa computer na uzoefu katika kutengeneza computer hadi chip level, kutengeneza simu...
Natafuta mtu mwenye mtaji wa kuanzisha bekery arusha, soko lipo, demand kubwa ila mtaji ni changamoto.
Mawasiliano;0677603842.
Naombeni tafadhari!, Asanteh.
Kitabu changu cha mwisho kusoma mwaka 2021 ni THE RICHEST MAN IN BABYLON.
Ukizungumzia kati ya dola kubwa za kale babeli ni moja wapo kati ya hizo ambazo zitakuwa kwenye list. Hivyo muandishi...
Awali ya yote nipende kuwasalimu nyote mtakao pata nafasi ya kupitia uzi huu.
Binafsi nimeshangazwa na uamuzi uliofanya na Benki ya NMB leo, kutoa Kompyuta mapaka yaani laptops kwa wamachinga...
Haya mataifa ya kicomunist sijawahi kujua mpaka sasa yana faida gani mimi naona hata apa Africa hayana interest yoyote hata Putin tu kutia mguu Africa tokea aingie madarakani sijawahi muona
kuna...
2025 karbu na Msoma kumbe[emoji1696][emoji468][emoji1696][emoji468][emoji1696][emoji468]
Basi papi Mtu unakuwa huru Kama utaweza kwenda mbio,mbio za hivi,Ustaarabu,Ustaraabu.Ni Wapi wako Bora Zaidi.
Habari za wakati na poleni na mihangahiko.
Naulizia Nguo za mtumba za watoto kwa anayefungua mzigo kwa bei hiyo 500/1000TZS tuongee biashara hapa hapa na wengine wanufaike mi ninanunua naenda...
Habari wakuu, samahani nauliza kwa anayefahamu mashine ya kutengeneza vitabu kama petty cash, receipt book, oder book, invoice book, vitabu.
Naombeni kufahamu gharama ya hiyo mashine na wapi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.