Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Vitu vingine ni Rahisi sana. Russia anachangia sehemu kubwa ya mauzo ya nishati duniani na sasa kawekewa vikwazo. Maana yake soko la mafuta ya waarabu litavamiwa na wanunuzi weongi na kwahiyo bei...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Toka mwaka 2011 tunahangaika sana na suala la nishati ,hivi ni wafanyabiashara gani wenye kuhodhi biashara hii Tanzania? Kama unawafahamu wataje humu jamvini. Rais Kikwete aliwahi kunukuliwa...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Naomba kuuliza, mbali na kubandika na kupaka rangi kucha! Ni kitengo kipi cha saloon za kike kinachoweza kufanywa huku ukitembea kuwafuata wahusika? Pia, kwa yeyote mwenye ujuzi wa biashara ya...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari zenu poleni na majukumu nahitaji kijana kwa ajili ya usimamizi wa hii biashara ya pweza na vitoe vyengine Mashart: -Awe anajua kupika pweza,kachori,bagia akijua kupika bites kma chapati za...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
habari za uzima wananzengo Nina mpango wakuanzisha biashara ya asali mbichi [emoji117] Nataka nijue upatikanaji wake kwa Bei ya jumla [emoji117]Bei yake ili na Mimi nikiingia mtaani nisambaze...
3 Reactions
5 Replies
3K Views
Naombeni msaada namna ya kukopa kwa kutumia app iliyo kwenye simu ya Aquas zero? Jamaa zangu wawili wamevuta mpunga na mwingine katumia Samsung, maana hiyo app iko installed na simu direct kutoka...
0 Reactions
4 Replies
549 Views
The D-Prize Global Competition is live and seeking new social entrepreneurs! D-Prize challenges bold new leaders to tackle extreme poverty. This year, as many as 30 teams will be awarded with up...
0 Reactions
1 Replies
477 Views
Jambo lilonishangaza baada ya mzungu mmoja kutoka ufaransa kufakamia maparachichi. Nikamuuliza mbona unakula sana haya maparachichi ndipo kunifungulia ukweli kuwa ni bei sana kwao . Kumbe tuna...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Hii ni siri nakupa kama unataka kufanikiwa Wafanyabiashara wengi tunapenda kuonekana kwenye biashara zetu bila sababu ndio upelekea kuishindwa au kuanguka. Wafanyabiashara wakubwa hawapendi...
6 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari wana jamvi, Ndugu zangu naombeni ushauri kuhusu biashara ya kuuza sigara jumla na rejareja, pipi Kali, big G n.k. changamoto zake, mtaji upi ni mzuri, na kwa dar wapi naweza pata mzigo kwa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu naomba kujuzwa soko la hii bidhaa mikoani, sehemu hipi hapa Tanzania nikiipeleka itatoka? Niko Dar nataka nijipanue kifikra na kuangalia fursa mikoani target yangu ni Morogoro, Dodoma na...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Poleni na mfungo ndugu zangu waislam kaka zangu, dada zangu, na wengine wenye umri kama wangu yaani below 25 niulizeni ndugu yenu hapa kijana mwenzenu. Niulize chochote kuhusu hii biashara...
9 Reactions
88 Replies
19K Views
Wakuu habari mimi kitaaluma ni mwalimu masomo ya sayansi (hesabu). Sasa naona njia nzuri kuweza kujikwamua ni kuwa na centre tuition, naomba mrejesho location nzuri. Niko Dar
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu naombeni ushauri location mtaji na Jinsi gani hii biashara italipa Nataka nijue mahala sahihi pakuanza na mtaji wa wastan na sio mkubwa sana.
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Hello Naomba Kuuliza Kwenu watu wa Serikalini na Viongozi wa Tancet be kama mpo humu. Mje Tuelekezane Kuhusu huu Mradi umefikia hatua GANI.? Lakini pia inaonekana kama watu hawana taarifa vile?!
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Kutoka dola 7400 hadi 6950,bei ya Btc kushuka ndani ya dakika mbili,hivyo imepelekea soko la cryptocurrency kwa ujumla kushamiri rangi nyekundu(shuka bei),bitcoin imeshuka kwa kiwango cha...
0 Reactions
60 Replies
7K Views
SWALI LA KWANZA UNAPENDA AU UMEWEKEZA TU.?? Leo nataka nitoe mfano mmoja kwa kutumia GENGE LA CHIPS tu. Hapa naongea na watu wanaopenda sio wanaowekeza ,ndio unawekeza je unapenda ???? kwanza...
13 Reactions
21 Replies
5K Views
Wakuu, miaka 6 hadi 5 familia yangu enzi za uhai wa mzazi wetu tulikuwa na biashara Mkoani Mtwara, mtaji ulikuwa annual turnover around 0.78 billion. Baadaye tuligawagana mirathi na kila mmoja...
1 Reactions
16 Replies
6K Views
Habari za wikiendi mabibi na mabwana, Naamini mnaendelea vizuri na Mungu anawalinda katika kila jambo jema mnalolifanya, pia harakati za maisha yetu naamini pia bado tunaendelea kupambana kwa...
4 Reactions
22 Replies
16K Views
Back
Top Bottom