Habari za asbh Wana bodi wenzangu!
Naomba nijulishwe kwa mwenye uzoefu juu ya Jambo hili.
Nina miliki kasteshenari huku mikoani, Mwaka Jana wakati nakaanzusha nikalazimika kutafuta leseni ya...
Habari wana JF,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kujua ABC za biashara ya kilimo na mifugo(pembejeo)napenda kufungua duka japo sijajua kama linanilipa kwa sehemu /mkoa/wilaya gani kwa...
Nimedownload application ya kuhakiki stamp za vinywaji kwenye simu ili kusense kinywaji bandia. Kila nikiscan stamp sioni kitu, je nakosea wapi? Kwa anayejua tuelimishane
Samahanini jaman naomb mnisaidie connection za kuwapata supplier waaminifu kutok china ambao naweza watumia kuagiza vitu mbalimbali maaan weng ni matapeli na nishapiteza zaid ya m1 ila sichoki...
Sitaelezea kwa kirefu kuepusha kuwachosha ila kwa ufupi ni kuwa mimi na hela ni kama upande wa sumaku KUS-KUS. Yaani huwa nikiwa na hela muda wote natamani kufanya manunuzi na siwezi kutulia na...
Wakuu naomba mtu mwenye connection na makampuni ambayo naweza agizia vyombo, simu, nguo kwa bei nafuu au kwa maduka yanayouza vitu hivyo kwa bei ya kiwandani maduka ya Mwanza au Dar wapi napata?
MONOPOLISTIC COMPETITION
Hili ni aina ya soko ambalo ni muuunganiko wa monopoly na perfect competition.
Lina uhalisia zaidi kuzidi perfect competition.
Sifa za monopolistic competition...
Hello nina Kiasi cha shilingi mil5 mwenye wazo litakalotoa faida karibu tushitikiane. NB napokea wazo lolote so feel free kunicheki. Unaweza kunitumia wazo lako PM kwa nitakaeona ana wazo bora...
Habari naomba muongozo wa fursa za bisharara Uganda na usafirishaji unakuwaje (Uganda to Tanzania).....
Na je, ni mahali sasa kwa kuchukua mzogo wa biashara?
SEKE SEKE LA MAFUTA,KUSHUKA KWA BEI YA MBAAZI NA HEKIMA ZA FRANKLIN D ROOSEVELT.
Mnamo mwaka 1933 mtikisiko wa uchumi ukiwa umepamba Moto huku Vita vya pili vya dunia vikiwa mwanzoni. Mzee mmoja...
Habari zenu wana jukwaa la Biashara.
Nasafiri naenda Mbeya. Wilaya ninayokwenda hakuna maduka makubwa ya simu kama Kariakoo, ila watu wanapenda sana hizi smartphone.
Sasa natafuta muuzaji wa...
Waungwana habari ya saizi napenda kuuliza je biashara ya vifaa vya simu kama, chaji, kava, protecta, earphones, chaji n.k je mtaji wa laki tano unaweza kutosha au inahitaji walau mtaji wa sh.ngapi...
DIS-ECONOMIES OF SCALE
Hiki ni kinyume cha economies of scale.
Ni kitendo cha gharama za uzalishaji kuongezeka kadri unavyoongeza uzalishaji wa bidhaa.
Mfano:
Una fuso lako la kusafirisha...
Wakuu habarini za majukumu, napatikana mkoa wa mara huwa najishughulisha na shughuli ya ununuzi wa samaki wa kugandisha kwa freezing, hivyo niko na uhaba wa wateja /wahitaji, kama kuna mwenye...
Habari ndugu zangu hiv karibuni kumejitokeza wimbi LA watu wanao kuwa wanatafuta pesa za zamani hasa kijerumani je hawa watu wanafanyia nn na ukizingatia zishapita mda wake...?
Msaada tafadhari
Wakuu habarini za majukumu,natafuta soko la kuuza samaki aina ya sato fresh,napatikana mkoa wa Mara, ila sijapata mteja hivyo kama kuna mdau/ mhitaji aliyeko huko mikoani tuwasiliane tufanye...
Ninategemea kupata mkopo 50m mwezi ujao kutoka "kikoba" fulani na ninategemea kufanya yafuatayo
Nitanunua Bajaj 2 ( moja Nampa kaka aendeshe maisha nyingine nitabaki nayo) gharama ni 12m...
Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma, Tanzania imesema Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) liko katika hatari kubwa zaidi ya kunyang’anywa soko na makampuni mengine ya simu kutokana...
Habari gani wakuu, za majukumu?
Natumai ni wazima wa afya, naishi Zanzibar naomba kuelimishwa vipi nitaweza kufanya biashara ya vyombo vilivyotumika, nataka kuagizia moja kwa moja kutoka nje ya...
Habarini wakuu kwa mtaji wa 25ml nje ya kodi ya pango, naweza fanya ipi itakayonipa faida ya kuanzia 135k au zaidi.
Karibuni kwa mawazo yenu ni msaada kwa wengine na baraka kwenu kutoka kwa Mungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.