Kutokana na watu wengi wanatumia smartphone kwa matumizi yao ya kila siku.Matumizi hayo yanaweza kuwa kibiashara, kielimu, ajira n.k.
Katika ichi yetu kuna watimiaji wa smartphone kutoka kampuni...
NEEDS
Haya ni mahitaji muhimu ambayo mwanadamu anayahitaji ili aweze kuishi.
Mfano: Tunahitaji maji ili tuweze kuishi, tunahitaji chakula ili tuweze kuishi.
WANTS
Vitu ambavyo mwanadamu...
Habari za weekend.....
Wauzaji wa bidhaa za forever living, kwanza hongereni kwa kufanya hiyo biashara inayohitaji kipaji cha hali ya juu kuweza kuongea sana na kumshawishi mteja, ni kipaji...
Habar wakuu,
Kwanza nikiri kuwa nepata wazo la kufanya hii biashara ya maharage ya kuchemsha kutoka humu humu kwa MSELA Q Beans, Ila sio dhambi, msela nimemtafuta kwa number yake ile ya watsap...
Mbunge wa viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Mahawanga Janeth ameshiriki kama Mgeni Rasmi katika uzinduzi wa mradi Maalum wa Digimali unaotekelezwa na shirika lisilo la kiserikali la Her...
Mimi ni kijana, ninataka nifungue biashara ya urembo sehemu fulani. Nimeshapata fremu ya duka but bado sijajua utaratibu wa kupata Leseni ya Biashara ili niweze kuanza kuuza bidhaa zangu
Michango...
Wakuu, nina uzoefu na haya maspanners, fix, ring, sockets, power handles etc.
Nafikiria kufanya biashara ya kuuza haya maspanners aina zote jumla na reja reja pale Kariakoo.
Je, hii idea iko...
DEMAND
Kitendo cha mwanadamu kutamani kununua bidhaa na kuwa na uwezo wa kununua bidhaa na kuwa teari kulipia hio bidhaa kwa bei husika hii ndio tunaita DEMAND. Kitendo cha mwanadamu kutamani...
10 Copper Facts
Copper has a reddish-metallic coloring that is unique among all the elements. The only other non-silvery metal on the periodic table is gold, which has a yellowish color. The...
Kwa kutambua na kuheshimu umuhimu wa wateja wetu,
Johngs inapenda kuwakaribisha katika mafunzo ya uzalishaji bidhaa za VIWANDANI yatakayo fanyika ofisini kwao Mbagala-kizuiani.
Mafunzo hayo...
Habari wakuu,
Nimekuwa mzoefu kidogo kuagiza vitu kwa njia ya air kupitia makampuni mbalimbali.
Kwa leo nahitaji mwenye uzoefu wa njia ya meli.
Maana mizigo ya ndege inaenda kwa uzito.
Ila ya...
Wakuu habari!
Niende moja kwa moja kwenye mada husika. Humu kuna watu wana experience walishafanya au bado wanafanya itasaidia kwa namna moja au nyingine. Niko na idea mbili tatu sijajua nifanye...
Habari wakuu naweza kupata mkopo bank dhamana ikiwa pesa zilizokuwepo kwenye account yangu?
Mfano, kwenye account Nina million 40 nataka kununua Guta nifanyie biashara hivyo sitaki kushusha salio...
OLIGOPOLY
Kwanza neno oligopoly limetoka kwenye maneno mawili ya ki latin maana yake ni wauzaji wachache.
Sifa za Oligopoly:
1.Ugumu wa kuingia kwenye hili soko
Kutokana na mtaji wake kuwa...
Wakuu kwema? Poleni na mihangaiko ya maisha pamoja na Ups and Down za January.
Mada ya uzi wangu ni kama kichwa kinavyojieleza juu. Kwa wafuatiliaji wazuri wa JF na mitandao mingine duniani...
Je, ulishawahi kutapeliwa na kampuni iliyosajiliwa!?
Taasisi nyingi za kiserikali na binafsi kwa sasa husajili vitu vingi online ili kurahisisha na kuongeza ufanisi.
Mfano TRA na BRELA.
TRA...
MARKET STRUCTURE
Kwa kiswahili huu ni muundo wa soko au aina ya soko.
Kama mfanyabiashara au mtu ambae unataka kuingia katika biashara basi ni vyema ujue aina tofauti za masoko yaliyopo na vigezo...
habar za jioni wakuu, hisikeni na kichwa cha habar tajwa hapo juu...nimekuwa na uelewa mdogo kuhusu hz compressor za kuoshea magari wakati nina uhitaji nazo ..kwa maana ya kwamba nahitaji kununua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.