Niko na shilingi elfu hamsini Tzs, ni biashara gani naweza fanya Dar es Salaam?
=========
Unashauriwa kusoma uzi huu kupata mawazo zaidi>>>Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la...
Nahitaji kufungua pay pal account nina Mastercard ya NMB kuna mtu aliniambia natakiwa niunganishe kwanza Mastercard na internet sijui hapo ndio kaniacha na yeye ananipa maelezo ya kukisia.
Naomba...
Umuofia kwenu !
Wadau kwa maoni yangu hawa CCM wanahitaji kuwa na katiba yenye afya,katiba inayotoa wigo wa kidemokrasia ndani ya chama kwa maslahi mapana si tu ya chama chao bali kwa taifa...
Habar wakuu Nina idea yakufanya biashara ya kulenga magari .yaan nanunua gari za Bei ndogo 4m,3.5m,5m Kisha kuziuza kuzitafutia wateja kwa faida ya pesa kidgo kuanzia 500000..wajuzi wamambo nipeni...
Jana Rais Samia Suluhu Hassan alitangaza kurejesha gharama za juu za kuunganisha umeme kama ilivyokuwa kabla ya 2020. Gharama ya nguzo moja (ndani ya Mita 30) laki 3+, yaani kama nyumba 5 ziko...
Habari waungwana,
Nina ofisi yangu ya biashara huku mikoani nataka nijiunge na moja ya kampuni hizo Max-Malipo au Selcom paypoint.
Naomba mnijuze ipi ina faida zaidi kwenye vocha, LUKU na huduma...
Habari zenu Jf.
Heri ya mwaka mpya 2022, natumaini wengi wenu ni wazima na wale wenye udhaifu wowote basi Mungu aliye juu sana awatie nguvu ,shauri ,ujasiri na uhodari katika kushinda udhaifu...
Wakuu wa Michezo habari,
Naomba Kujuzwa. Chimbo gani naweza pata viatu vizuri vya Michezo vya Jogging! Kama Nike. Unaweza Kunielekeza Mitumba pia sababu Viatu Vizuri na Bei nzuri vinapatikana...
Habari Wakuu. Kwa wale wenye bidhaa au huduma ambazo wanataka kuzitangaza Ujerumani, Uswizi au Austria tuwasiliane. Ninatoa huduma hiyo katika nchi hizi ambapo lugha ya Kijerumani inatumika...
Ndugu wana JF naomba mwenye taarifa ya soko la mbao aina ya MVULE AU MAHOGANY toka DRC anijulishe tafadhali nimepata msitu mkubwa DRC nimeshaanza kuzalisha hivyo nahitaji soko la uhakika.Niko...
Habari ndugu zanguni nyote.
Ni wiki sasa nawaza na kuwazua nifanye biashara gani ili nisipate hasara?
Tayari nimeshalipia flem( niliiwahi kwa kuwa zipo chache huku mtaani)
Kabla niliwaza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.