Naombeni uzoefu jamani..hizi laini za uwakala wa miamala ya simu unaweza kutumia muda gani kuipata baada ya kuwa umeshapeleka vile viambatanisho wanavyovitaka mfano leseni ya biashara, TIN namba...
Habari wakuu,
katika kuunga mkono juhudi za serikali za kuhakikisha tunakuza soko la uwekezaji nchini Tanzania, sisi vijana kupitia kampuni yetu ya BlU company ltd tunaongeza 'ubunifu' na maarifa...
Mimi ni mzoefu wa kununua mtandaoni kwa muda ila sijawahi kutumia DHL hapo kabla kuna siku ya discount nilinunua Kiparcel kimoja Wireless, usb and Bluetooth Headphone kwa 10k ilikua siku ya...
Habari wakuu wa mtandao pendwa JF hapa nchini
Binafsi natamani kufungua biashara ya kufanya miamala ya pesa kupitia simu
Nahitaji wataalamu mnipe utaratibu wa kuanza biashara hii, mtaji upo...
Watu wengi wanaotoa huduma binafsi za kifedha kama NMB WAKALA, CRDB WAKALA, M PESA, TIGO PESA n.k huwa unakuta TILL namba siyo za majina yao na siyo kwamba wanapenda lahasha!
Pengine ni kutokujua...
Ikiwa wewe ni mjasiriamali mchanga au mwenye uzoefu wa kuhudumia wateja hadi 10,000 — kamwe huwezi kuchoka kutafuta wateja wapya. Kwa wafanyabiashara wengi, mchakato wa kutafuta wateja wapya...
Mwaka 2016, wakati naanza kazi ya afisa masoko kwenye kampuni ya Natural Skin Solution(NSS) hapo nishahitimu degree moja, nikawa naamini kila mmoja ni mteja wa bidhaa zetu asilia za ngozi na...
Msingi wa biashara yoyote ni Mauzo. Bila mauzo basi hakuna Biashara.
Hata hivyo changamoto ambayo inawakumba wafanyabiashara wengi ni kupata wateja.
Kuwa na bidhaa au huduma ni jambo moja na...
Wakuu habari
Naomba kuuliza , shughuli gani ambazo naweza kuingiza kipato kwa kutumia,usafiri wa piki piki, ukiacha na ubebaji wa abiria ( boda boda).
Natarajia kupata piki piki, so nataka...
HABARI WANA JAMII WEZANGU NAAMINI TUMEAZA VIZURI MWAKA 2022.KIUKWELI NAPENDA SANA NANA FURAIA UWEPO WA WADAU ASA KWENYE SECTA YA UCHUMI .NINAWAZO LA BIASHARA NAKWAKIASI NAIFANYA LAKINI MPAKA OFISI...
Hawa madalali wa magari kwanza wanafanya Biashara kua ngum sana kwa muuzaji mana yawezekana ww kama muuzaji unataka gari yako uiize kwa 5M ila madalali wanakupanga kua biashara inafanyika very...
Wasalaam
Mimi ni muhitimu Bachelor wa fani ya IT. Nimeajiriwa na kampuni binafsi iliyopo Dar es Salaam since 2019. Nina mkataba wa kudumu.
Nahitaji mkopo wa kiasi cha Tshs 2,000,000 kuna...
Natafuta Toyota Spacio New model (kibongo bongo) yenye cc 1490 na milage isiyozidi 100,000km. Iwe kwenye hali nzuri,sihitaji madalali, nafanya ya biashara na Owner
Rangi ikiwa silver itapewa kipau...
Nimekua na interest ya uchoraji (hasa wa cartoons) baada ya kupata simu moja hv aina ya Samsung Galaxy Note 4.
Zile ambazo hua zinakua na kikalamu cha kuchorea wenyewe wanaita S-pen. Nmekua...
Habari, nilikua na wazo la kufungua duka la nguo za mtumba za kupoint sasa naomba mwongozo wa jinsi ya kidizaini chumba kiwe na muonekano mweny picha ya muonekano wa chumba
1. Ambaye mara nyingi anazima simu
2. Ambaye mara nyingi hapokei simu
3. Ambaye simu yake siku zote ina matatizo
4. Ambaye anabadili sana line za simu
5. Humpati mpaka akutafte yeye kwenye simu
6...
Naombeni ushauri na mawazo yenu.
Nimefikiria kuanzisha shughuli ya urembo kwa wanawake (dressing salon), lakini hii itakuwa tofauti kidogo yaani movable dressing salon, kwa sababu nina ma...
Hapa Kenya imekuwa too saturated, just like everything else, lakini waliokuwa pioneers walifaidika si haba. Swali ni, sijui kama vifaa vinavotumika kwa ukarabati vinapatikana huko, na importantly...
Kwa wenye biashara ya Barber shop au saluni ya kiume naomba kujua set ya mashine ya kunyolea ni bei gan?? Au Kwa kuanza biashara hiyo unaweza kununua nusu ya seti au hta moja wapo tu ili biashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.