Baada ya uteuzi wa Waziri mpya, Wizara ya Viwanda na Biashara imeanzisha utaratibu wa kuanzishwa kwa Wakala wa Shopping Malls Tanzania na kwa kuwa nchi iliyopata maendeleo fedha haina thamani haya...
Waheshimiwa,
Nauliza kama kuna laptop ambayo ni mpya kabisa kutoka dukani (sio used; yaani mimi niwe mtumiaji wa kwanza) kwa bei ya 400,000/- kwa Dar.
Kama ipo, specifications zake zipoje?
Mimi ni mwanafunzi wa chuo, na ninahitaji kuanza biashara itakayokuwa inaniingizia kipato kipindi hiki nikiwa chuo, nahitaji ushauri wenu wakubwa ni biashara gani itakayoweza kuniingizia kipato na...
Habari wanajamii na wapambanaji wenzangu,
Nimebahatika kupata banda la chuma kubwa (7x7) muundo wake ni ule wa kuwa na dirisha kubwa kwa mbele ambalo linafungukia juu hivyo nafasi ya kivuli ipo...
Binafsi naamini TECNO itakuja kuwa Kampuni kubwa Ya Smartphone, Kwamba watakuja kukaa meza moja na awa REDMI, REALMI, OPPO, NOKIA, SONY, SAMSUNG ila kwa Sasa sioni kama wana simu yenye quality ya...
habali ndugu naitaji kazi nipo dar kama usafi kutoka na magali konda wa magali ya shule bandalini usafi kusimamia nyumba bustani duka nk zakwenda na kulud
Hebu nisaidieni nina shamba langu la maua Arusha au Nairobi natakiwa nisafirishe hayo maua kwenda ulaya (cargo) Sasa swali linakuja Yani pipa lichome wese toka Arusha au Nairobi mpaka Heathrow...
Nina wazo ambalo nadhani nahitaji msaada zaidi wa kuongeza ufahamu nina kibanda tayari na kuna biashara kadhaa naendelea nazo kama mpesa ila kibanda kiko wazi nimepata wazo niweke shelf kisha...
Habarini za asubuhi wadau,
Leo nikiwa njiani kuelekea kibaruani nikasikia kwenye radio kwamba sasa Serikali imeamua kuagiza mafuta yenyewe moja kwa moja kutoka kwa wazalishaji.
Nikajiuliza...
TECNO today announced that its latest smartphone to release in November TECNO CANOM 18 Premier has received two new internationally recognized TÜV Rheinland certifications respectively for Low...
Thread hii imeanzishwa mahususi kwa ajili ya traders ambao wana trade katika masoko ya kifedha duniani(Forex, Stocks, Commodities, crypto currencies etc) waonyeshe analyzed trade Setups ambazo wao...
Wadau wasalaam
Nimepata tenda ya kupleka Ngombe na Mbuzi Zanzibar kutokea Dar es alaam. Naomba ushauri njia ipi nayoweza tumia kusafirisha mifugo(ikiwa hai) na pia kusafirisha kama nyama ikiwa...
Wakuu habari zenu mimi sio mwandishi mzuri sana ila nitajitaidi kidogo kuandika kwa ufupi ili niweze ku share nanyi jambo lililonikumba mwaka jana 2020.
Katika haya maisha kuna mambo tunapitia...
Watu wengi wamekuwa wakitamani kuanza biashara lakini wanafikiri namna ya kuanza kwani mtaji wao ni mdogo sana.
Usiogope; kuwa na mtaji mdogo au kutokuwa nao kabisa sio mwisho wako wa kutimiza...
Mm in mfanya biashara wa kuchanganya rangi za magari na furniture..Nipi keko chang'ombe..Naomba kujua machimbo ya maagent wa goldstar na Plascon..Pia wale wenye ujuzi zaid yng ya utaalam wa rangi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.