Forum kama hii ilitakiwa sahivi kuwe na mjadala mkali wa kuelezea kwanini kuna mfumuko wa bei na kutoa mapendekezo ya nini cha kufanya ili kutatua,badala yake naona kimya tu na mijadala myengine...
Nahitaji kabla ya weekend niwe nimeshapata. Muda huu nipo njiani kwenda kiwangwa. Nimeelekezwa kua ndio shambani huko, nikanunue kwa mkulima. Napokea direction za ziada.
Pia kama kuna kampuni...
Siku hizi naona mambo yamebadilika, night clubs zimejikita zaidi kwenye kuuza vinywaji kuzidi uwaja wa kucheza (dancig floor), hii nimeona inanyima watu ule mzuka wa kwenda club kwa jili a...
Nafikiria kuanzisha local delivery company ya bidhaa za nyumbani, kwa kutumia baiskel za umeme especially eneo la Kibaha. Nakaribisha mwenye mawazo kama haya awekeze knowledge na muda namna gani...
General Commercial Company ni aina ya kampuni ambayo husajiliwa kwa minajili ya kufanya shughuli yoyote ile halali ya kuweza kukuingizia PESA, iwe kuwekeza, kukopa, kukopesha, kuzalisha, kuuza...
Habari wapendwa,
Poleni na majukumu kunakipindi nilikutana na changamoto flani nikataman niuze baadhi ya vitu kimoja wapo lilikuwa ni shamba langu lile la Kilosa. Nashukuru Mungu sikupata mteja...
Imagine unaishi mjini halafu unataka kuanzisha duka ambalo Lina frem tayari Ila duka Hilo linatazamana na kilabu cha pombe za kienyeji japo cha kisasa Ila wewe una mtaji wa milioni moja hebu sema...
Ni matumaini yangu mu buheri wa afya, Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye hoja ya msingi. kwa kuwa kam tujuavyo kumekua na kilio kikubwa kutoka kila kona nchini kutokana na ongezeko la...
Habari za wakati huu,
Kila biashara huwa inakuwa na aina mbili za shughuli kwa kutegemea sector yake.(Nitachanganya lugha)
Function za kwanza zinaitwa CORE FUNCTIONS(Shughuli za msingi ambazo...
Wakuu, kuna shida ambayo ninaipata banggood au gearbest wakati ninapotaka kununua bidhaa Kama simu,tablets,n.k.
Store nyingi haziship kuja Tanzania. Lakini ukibadilisha nchi ukiweka labda USA au...
Natafuta mtu ambaye ataweza endeleza pale nilipoishia, nilikua nataka kufungua mgahwa na nimenunua viti meza kabati na vyombo va kutumia na majiko ila nimekwama katika mtaji na hela ya kulipia...
Mimi ni kijana wa miaka 22 kwa sasa nasoma chuo bachelor of electrical engneering! Nlibahatika kupata pesa so nilinunua bajaji angu Moja na pikipiki so angalau kwa mwezi naingiza kama 700k hivi...
Bandugu,
Huwezi kushinda mchezo wa bahati na sibu kama hujacheza. Link zifuatazo hapa chini zitakuwezesha wewe kuingia ktk bahati na sibu hiyo BILA GHARAMA YOYOTE, angalieni asiwatapeli...
Habari za majukumu wakuu.
Naomba tujuzane kuhusu ufundi unaoweza kuusomea na ukakulipa vzr kwa hapa Dar kwa miaka hii ya sasa.
Natanguliza shukrani na karibuni kwa mawazo mbali mbali
Habari wadau,
Kama kuna yoyote anayefanya au anayemfahamu mtu anayefanya biashara kati ya Tanzania na visiwa vya Comoros tafadhali tuwasiliane hapa au PM, kuna jambo tunaweza kushare.
Ahsante.
OFFER. OFFER. OFFER
Fursa kwa wafanya biashara na watu wote. Jipatie raba kali za kike kwa shilingi elfu kumi na tano.
Napatikana Karia koo
Dar es salaam
0620239355
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.