Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Habari za kazi. Kuna tafsri nyingi juu ya motivation speakers duniani juu ya yale wasemayo na namna ya kuyatekeleza katika maisha halisi. lakini katika club house hii hakika kwa wiki mbili sasa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Biashara ni mabadilishano ya huduma na bidhaa kwa malipo. Biashara itabaki kuwa biashara bila kujali ni legal au illegal. Hii ni list ya biashara haramu ambazo unaweza ukafanya Tz na ukatusua...
19 Reactions
77 Replies
18K Views
Napendekeza na kushauri machinga wa maeneo yote hayo wahamie Soko la Kivule Mashariki Kitunda. Kuna frame zaidi ya 100 nafasi ya kutosha wateja, miundombinu maji, vyoo, soko zuri sana na...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Nakumbuka Mwaka 2015 Ndio Ilikua Mwisho Wangu Wa Kununua Bidhaa Kutoka Ebay. Kipindi Hicho Nilikua Interested Na Electronics Hivyo Nilinunua Vifaa Hivyo. Lakini Siku Vinafika Posta Naenda...
8 Reactions
60 Replies
10K Views
1. Genge la mboga mboga na matunda. Hii ni biashara ambayo mtu ataweza kuanzisha kwa mtaji mdogo kabisa na ikampatia kipato cha kujiendesha kimaisha ama kutunza familia, kulipa kodi ya pango n.k...
5 Reactions
2 Replies
5K Views
Habari zenu wana JF NAOMBENI mnishauri mm Ni kijana wa miaka 23 napenda sna kujiajiri japokuwa nasoma chuo arusha nahitaji kufanya biashara ya spices "VIUNGO MBALIMBALI VYA KUPIKIA" sasa sjui...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari,naitwa Titus Devis.. karibu sana tuongee kuhusu viwango vya riba au interest rate kwa lugha ya kigeni Kwanza kabisa tuanze na viwango vya riba ni nini (what is interest rate) -Viwango...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Kwa sasa dunia ni kijiji kwa hiyo mteja ana options nyingi. Unapomtajia bei mteja hakikisha unampa bei ambayo ni reasonable sababu mpaka anakuja kwako may be kaulizia sehemu zingine hata 5 for...
1 Reactions
8 Replies
753 Views
Akizungumza na Waandishi wa Habari, Sixbert Ndimbo mkazi wa Ruvuma ambaye mfanyabiashara alisema kuwa “Nilianza kucheza na SportPesa mwaka 2018 na kufanikiwa kushinda kiasi kidogo cha Shilingi 10...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu. Naamini nimeleta hoja yangu sehemu sahihi. Mimi mtumishi wa serikali na mshahara wangu sio mkubwa sana. Nina 10 yrs kazini na nina gross ya 1.8m. Naamini mkopo huu utanipa...
7 Reactions
51 Replies
11K Views
Nawasalimu kwa jina la jamii Forum. Baada ya kuanguka kiuchumi namaanisha biashara ya awali kufilisika, nimejikuta nipo chini. Hakika ni hali ambayo inaniumiza mpaka nachanganyikiwa. Najua kuna...
15 Reactions
65 Replies
8K Views
TECNO just confirmed that it will feature MediaTek’s Helio G96 chipset in its CAMON 18 series to launch in November, making it the first smartphone brand to do so for the African market. The newly...
0 Reactions
0 Replies
580 Views
Cha muhimu ujue unaenda kuwekeza wapi. Makampuni, viwanda vyote duniani vinakopa ili kuongeza mitaji kwenye uzalishaji wao, na wengine wanatangaza hisa ili pia waongeze mitaji katika uzalishaji...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari zenu wapendwa? Mimi nipo Dodoma ni mdada nina mtaji wa shilingi milioni moja, tayari nmeshanunua contena lenye ukubwa unaokaribia Kama chumba kimoja Ila changamoto niliyonayo nawaza...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
mi ni mzoefu na ninaujuzi wa madini ya shah abuse takribani miaka18 pia nimefanya biashara ya kununua dhahabu kwa miaka9 kutokana na sababu zulizo nje ya uwezo wangu sikuweza kuendelea nakaz hii...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Ndg wana jf hope sote tu wa afya njema baada ya hekaheka za wiki nzima. Naomba mwenye EXPERIENCE ya kutosha na hii biashara ya Mifugo hasahasa Ng'ombe kuwaleta Dar kutoka Mikoani kama inalipa coz...
0 Reactions
157 Replies
91K Views
Habari wana JF Mimi ni kijana muhitimu wa chuo katika fani ya ufundi umeme mwaka juzi mkoani Arusha. Nakumbuka mwaka uliopita nilipita Uzi mmoja uhusuo maswala ya wahitimu. Ama kweli JF...
21 Reactions
32 Replies
3K Views
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Rais JPM alipoingia madarakani pamoja na umeme wa kusuasua na vijinereta kushamiri kila kona ya nchi, hususan Kariakoo na popote pale Tanzania ambako...
20 Reactions
57 Replies
6K Views
Habarini za pilika ndugu zangu Matumaini yangu zote tu wazima, Ndugu zangu nina plan na nia ya Dhati sana kufanya hiyo biashara hapo juu kwa mkoa kama Dodoma ni fastest city. ninataaluma nzuri na...
2 Reactions
0 Replies
527 Views
Kampuni ya Tigo,inalaumiwa na baadhi ya mawakala wa tigopesa kufuta Laini zao bila kuwasiliana na mawakala wao wadogo. Mmoja wa wakala anasema ameamka asubuhi akakuta Laini yake imefutwa haina...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom