Wakuu nataka kufanya hii biashara naombeni mwongozo vitu vya umuhimu vya kuangalia kabla ya kuanza hii biashara
Na vipi kuhusu malipo yake upande wa commission kila mweziii huwa wanalipajeee
Na...
Habari wakuu,
Nina mteja anahitaji kusafirishiwa mzigo kutoka bandarini(dar)kwenda nje ya nchi,kwa yoyote mwenye taarifa sahihi ya kampuni nzuri iliopo Dar aje PM tuwasiliane
NB it is urgently case.
Ndugu wa Tanzania wenzangu napenda mnipe maelezo nataka nifanye biashara ya Uber hapa DSM napenda kufahamu changamoto na hatua za kujiunga.
Kwa yeyote mtaalamu na mwenye uzoefu karibu unijuze...
Habari wanajukwaa...
Ni kampun gan bora inaweza kunitengenezea vifungashio.
Vifungashio navyo hitaji ni vile ambavyo vipo katika mifuko ya bahasha.ndani inakuwa miwili miwili kama ilivyo kwenye...
Habarini wakuu wa jukwaa.
Naomba kufahamu yeyote anaejua kampuni ya uhakika wanao safirisha loose cargo kutoka UK.
Kuna Machine nataka ninunue zije kwa maji, kuzipandisha ndege kwa uzito wake...
Nimekutana na hii post huko mitandaoni, sijawahi kulima tikiti wala kupiga hesabu za idadi ya miche kwa ekari moja.
Naomba tufahamishane kama kilichoandikwa na huyu ndugu yetu ni sahihi ama lah...
Nimesikitika kuona bei ya samaki wa baharini ikipanda sana mpaka kufikia shs 8500 kwa kilo moja wakati mwaka 2017 nilikuwa nanunua samaki shs 4500 wale wa wachina.tukasikia wamesimamishwa ili kazi...
Nini kinafanya watu (business owners) washindwe kujibu NO hasa ukiwa unaomba kazi
Ni kwamba ni wanaepusha disappointments kwa waombaji?
Matakwa ya kazi yanamuambia asijibu email zote?
Au ku test...
Habari wakuu, awali ya yote niwape pole sana kwa shida, fedheha na usumbufu kipindi mtandao huu ukiwa haupatikani.
Nikirudi kwenye mada, katika harakati za kijasiliamali, nimejaaliwa kuwa na wazo...
Wanajukwaa habarini za muda huu!
Niende moja kwa moja kwenye mada nimekuwa nikipokea gawio kutoka mitandao ya simu hususani Tigo na Vodacom gawio hilo ni muda mrefu sasa naona napata shilingi...
Habari,
Ninatarajia kufanya biashara ya nguo za mitumba ila niliplan kuwa naziuza kwenye minada mwenye kufahamu changamoto zake. Naomba anifahamishe na pia kwa Dar anayejua minada inapofanyika au...
Pokeeni salamu zangu za dhati ndugu zangu wapambanaji wenzangu na polen na majukumu ya kutwa nzima ya Leo,
*Mimi ni kijana niliyetoka katika familia duni na isiyo jiweza kiuchumi
Lakin Nina ndoto...
Napongeza sana kushuhudia transformation inayokwenda kufanyika TANESCO kulifanya shirika la kujiendesha kibishara. Sina wasiwasi na uwezo wa MD Maharage Chande pamoja na bodi yake inayongozwa na...
Parcels zinachukua muda mrefu kumfikia mlengwa. Zamani walikuwa wanatumia ndege baadae wakaacha. Wakati huo ilikuwa inawezekana parcel kutumwa leo kutoka DSM na kesho unaipokea Mwanza.
Sasa hivi...
Kama umechoka lawama za boss, kuamka asubuhi kupambana na usafiri, kufanya kazi usiyoipenda, mshahara wa mwezi hadi mwezi usiotosha... basi huu uzi unaweza kukupa mwanga wa fursa mpya ama side...
Habari.
Kwenye haya maisha hakuna miujiza kabisa ,maisha unayoishi leo Kama hutobadilika haraka Sana ndio unayoenda kuishi huko mbele mpaka uzeeni ..!
Kuna teacher alikuwa anatuhimiza Sana...
Tupeane fusra, leo nimeamka nimeona tupeane fusra kiroho safi kabisa, wewe kijana unaye hangaika na bahasha kila siku uchwao kutafuta ajira soma hapa.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Robert Gabriel...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.