Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Habari wadau napata changamoto moja kwa wahudumu wangu wa mgahawa kwa muda mahesabu baada ya kuwahudumia wateja ukifika muda wamahesabu. Je ni njia gani rahisi naweza kutumia ili nisisumbuane nao?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari yako Kijana, Baba, Mama na Dada mwenye haiba ya Upambanaji na mwenye kuhakikisha haukai pasipo kufanya kitu. Moja kwa moja twende kwenye Mada husika natamani kukusanya hoja na mitazamo ya...
4 Reactions
11 Replies
21K Views
Habari za wakati Kufikiria sio kazi rahisi,ni kazi ambayo ina ugumu wake. Je unafikri unaweza kuzalisha ajira kwa ajili ya vijana 5 wa Kitanzania katika eneo ulipo?Je ajira utakayowapatia...
0 Reactions
2 Replies
932 Views
Waungwana habari ya leo....? Bila shaka wengi wetu tu wazima na Mungu katupatia neema ya kuiona siku ya leo na walio wagonjwa Mungu aendelee kuwapigania. Nakuja kwenu kuomba msaada wa kujua ni...
1 Reactions
11 Replies
6K Views
Habarini wakuu, huu uzi kuna member anaitwa Mbwa dume nilimuandikia kama PM ila naona bado sijampata maana alikujaga na uzi wake wa kutangaza majeneza kipindi cha nyuma. Kwa sababu bado sijampata...
3 Reactions
34 Replies
5K Views
Habari wanajamvi, msaada wa mawazo yenu hapa. Nilikuwa nina wazo la bihashara ya wasichana wa kazi ( house girls) mwaka jana, lilikua niwe nawatafuta mabinti nawapa mafunzo kiasi jinsi ya kufanya...
2 Reactions
31 Replies
4K Views
MUDA& SPECIALIZATION Nimejifunza kutoka kwa tajiri mmoja ambaye aliwekeza juhudi&maarifa yake kwenye kitu kimoja kwa muda mrefu, matokeo yake nimeyaona baada ya miaka kama 20.Leo hii anakula...
3 Reactions
2 Replies
691 Views
Habari za humu ndani jamani. Naomba kujuzwa na wazoefu wa huu mfumo wa kuweka pesa kwenye Fixed account, kwa mfano mtu akiweka 3,900,000 labda kwa miezi 6 halafu calculation ikaja kuwa atapata...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
LEO Tuelekezane kidogo, kutokana na ugumu wa mtaji, ajira nk... Hivi ukiwa na kihasi kama cha 300,000/= mpaka 400,000/= cash unawezaje/mishe gani utaifanya kui-Double muda wa miezi miwili tu...
4 Reactions
45 Replies
7K Views
Onyo: Usijaribu nilichokifanya kama huna ozoefu katika biashara hasa katika kipindi hiki kigumu cha Covid-19. Tuanze na maelezo. Je Umeshawahi kucheza ule upatu wa uswahilini ule wa kuchanga...
102 Reactions
190 Replies
31K Views
Habari wakuu natumaini mko poa na wazima wa afya Niende kwenye mada husika Kuna msemo usemao kuwa "umoja na nguvu na utengano ni udhaifu" hivyo basi mimi kama kijana Mwenye ndoto na malengo ya...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Hio Kampuni ya Media ambayo iko integrated kwa mambo ya tourism, ilibidi niiisimamishe kwa muda kwa sababu vijana waliokuwepo walikuwa waswahili, wavivu, na wasiojituma. Ili kuirudisha tena...
5 Reactions
43 Replies
3K Views
Wadau, salaaam? Nina 30m, nataka kuingiza katika biashara ambayo itanirudishia hiyo pesa ndani ya mwezi na kunipata faida juu. Ushauri pls..
3 Reactions
59 Replies
7K Views
Kulinda uchumi wako si mpaka uwe na degree ya uchumi kutoka Stanford University hapana. Kinachotakiwa ni nidhamu ya fedha na kujifunza zaidi kuhusu fedha. Elimu ya fedha ni elimu muhimu sana kwa...
7 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari, nina kampuni inafanya shughuli Dar es salaam, nahitaji kufungua ofisi mkoa wa Pwani naomba mwenye ufahamu hatua ninazotakiwa kufanya. asante
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu, kuna swali ambalo huwa linanisumbua kichwa changu muda mrefu. Hivi Ili inchi itengenezewe au ichapishiwe pesa yake huwa unafanyika utaratibu gani? Inalipia pesa kwa ajili ya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Heri ya mwaka mpya. Naomba nisiwe mtu wa maneno mengi. Eneo ninaloishi nimeona kunafursa ya kutoa huduma ya Gesi ninaomba kujua yafuatayo ili niweze kuichangamkia fursa hii. 1. Kwa kuanza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habarini humu ndugu zangu. Wakubwa shikamoo, Wadogo mambo niaje? Niende kwenye point yangu; Nimepata wazo la kufungua ofisi ya kutengeneza simu na kuuza vifaa vyake. Mimi sio fundi ila...
1 Reactions
2 Replies
5K Views
Wakuu, 1. Fahamu Biashara Yako Nje Ndani Muda kama huu kama huifahamu biashara yako kindakidaki utakwenda na maji tuu. Unakutana na mtu anakwambia nina biashara yangu ya butcher, unamuliiza kwa...
12 Reactions
27 Replies
6K Views
Tanzania: FAPA launches franchising project to bolster small enterprises | African Development Bank - Building today, a better Africa tomorrow (afdb.org) The Fund for African Private Sector...
1 Reactions
0 Replies
601 Views
Back
Top Bottom