Habari wana jamvi?poleni kwa shughuli za siku nzima ya leo.
Mimi ni mhitimu wa chuo nlisomea fani ya uhandisi mitambo (mechanic's engineering ),nlipokua bado chuo nliweza kutengeneza wazo la...
Nina milioni 25, naweza wekeza kwenye nini ili nipate pesa nzuri kwa muda mfupi?
Wadau mawazo yenu Tafadhali.
Mchango wa mdau
Kama huna wazo la kufanya Biashara yoyote mpaka umepata hiyo hela...
Habari wakuu Mimi nina SHAMBA LENYE MITI ASILI kama vile mininga na mingineyo, Mimi binafsi sina vibali vya kusafirishia Hivyo natafuta mtu mwenye vibali, pia akiwa na mashine kubwa (chainsaw)...
Habari wanajamii.
Mwaka jana mwezi wa Desemba nilikuwa naangalia filamu iliyotafsiriwa na Ahmada Abdulrahman maarufu kama Dj Mark nikajiuliza inashindikana nini kuingiza sauti za Kiswahili kama...
habal wana jf
Moja kwa moja kwenye mada
Ili uweze kufanikiwa, ni lazima kujiwekea misingi imara ya kimafanikio itakayokuwa ikukuongoza kila siku. Bila kuijua misingi hii mapema sitashangaa kuona...
Habari wadau natafuta mwekezaji mwenza kwenye machimbo ya magnecite Lugoba. Nina machine zote za uchimbaji, nahitaji mtu atakae wekeza kwenye mafuta na kulipia gharama za opereta wa machine tu, na...
Kuna aina mbili za uombaji wa fedha ama ruzuku kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi; aina ya kwanza ni kuomba ruzuku baada ya kutangazwa wito wa kuwasilisha michanganuo ya miradi (hii tunaita...
habarini wanajamvi
kama mtu ana maroli ya usafirishaji wa bidhaa i mean transit na akitaka kujisajili iwe kampuni je kuna faida zipi na hasara zipi hasa ukizingatia kwenye taratibu za ulipaji...
Naomba kuuliza wanajamii forums je gari hii inafaa kwa mazingira ya Tanzania? Ninachovutiwa ni kuwa na matumizi kidogo ya mafuta. Na pia Suzuki zinaonekana kustahimili misukosuko ya barabara zetu...
Ndugu wanajanvi mimi ni mkazi wa DSM Kigamboni, nahitaji kupata mshirika ili tuweze kwa pamoja tufungue dispensery, mimi nitatoa eneo na majengo.
Tuwasiliane kwa namba 0713851751
Habari za asubuhi wana jukwaa, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Mimi ni kijana nimeoa ninafanya kazi katika kiwanda kimoja hapa Dar, nina mkataba wa miezi 6 now imebaki 3 mkataba...
Salaam wadau,
Naomba msaada wa kufahamishwa market price ya mafuta ya alizeti kwa Dar es salaam katika ujao huu apa "0.5 Lt, 1 Lt, 3 Lts, 5 Lts, 10Lts & 20Lts"
Ahsante.
Imeshapita miaka miwili sasa tangu Ontario awafundishe ku download pesa na msemo wenu wa Forex is not for everyone.... mkasema tuwaache mpige pesa vipi jamani Mnaendeleaje na Kudownload fedha...
Wakuu habari zenu,leo nimeona ni share idea ambayo imekuwa kichwani kwangu kwa muda mrefu juu ya hii biashara ya kuanzisha ukumbi wa sinema.mtu yoyote ambae ataipenda hii idea nipo tayari kumpa...
Habari zenu wadau,
Naomba tujuzane kidogo mbinu mnazotumia kuendesha hii biashara. Kwa muda kidogo nimepata changamoto za uendeshaji wa hii biashara nikiwa kama mmiliki wa chombo(gari), kutokana...
Katika harakati za utafutaji nimeona michongo yangu kwa % kubwa itafanikiwa nikizamia jiji kuliko huku nilipo. Na kwakua ndani ya Hilo jijin nimewahi kufika na kuifaham baadhi ya mitaa nikaona pia...
Uchaguzi wa rangi ni muhimu sana kwanye biashara yako kuliko unavofikiria.
Rangi zinaongeza hamasa kubwa kwa jinsi wateja wanavoiangalia biashara yako na kuithamini.
Na moja ya mambo ambayo watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.