Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Tanzania ni nchi ya pili duniani kwa kuwa na vivutio vingi vya kitalii ikiongozwa na nchi ya Brazil. Lakini licha ya Tanzania kuwa na vivutio vingi vya kitalii ni chini ya asilimia mbili {2%} tu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za mchana. Naomba msaada wa mwongozo kuhusu biashara ya nafaka. Nipo Mwanza. Mtaji wangu milioni tano. Naomba kupata dondoo zote ikiwemo changamoto na wapi nitachukua mzigo kuja kuuza
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Habar zenu. Naomba namba ya simu ya mtu anaefahamu jinsi ya kujisajili kwenye huduma ya bolt. Au dereva ambaye tayar ana account ya bolt au uber
1 Reactions
14 Replies
7K Views
Maana ya neno kikudi, Kikundi ni mkusanyiko wa watu kadhaa wenye rika tofauti au linalofanana, jinsia moja au tofauti ambao walioamua kufanya shughuli za kujiingizia kipato kwa mujibu wa sheria...
1 Reactions
0 Replies
5K Views
Kutokana na harakati za uchaguzi na matokeo nafikiri sasa ni wakati wa kuendelea na maisha. Ni lazima tukubali kwamba Tanzania ni kubwa zaidi ya tofauti zetu za kisiasa na kwamba pale...
1 Reactions
1 Replies
713 Views
Vijana wengi tumewekeza sana wenye social networks kama facebook, instagram, na kwningine. Ila kuna mtandao huu wa ma experts na connection za kazi ambao ni wachache wanaoutumia vizuir, Linkedln...
30 Reactions
51 Replies
8K Views
Nina aina ya Biashara yangu ndo napambana kuanzisha wakati wowote ila nina wasiwasi sana na hii Biashara na wasiwasi sio kwenye kushindwa au kukosa soko hapana. Wasiwasi wangu ni kwamba huenda...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
JENGA IMANI/UAMINIFU. Biashara, hivi sasa zinahamia katika digital platforms. Kuna majukwaa mengi ambayo wateja wanakutana na wauzaji na kufanya biashara bila kuonana. Mifumo hii imeongeza...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba msaada wa taarifa kwa anayejua bei za madini yafuatayo ya vito kwenye soko la hapa nchini tanzania. Nahitaji bei za Emarald, Blue sapphire, green tourmaline, Aguamarine, Zircon, Red...
1 Reactions
13 Replies
46K Views
Kwa Tanzania ukiwa na Biashara ya huduma unaonekana kuwa Huna Biashara. Mpaka Uwe na Bidhaa za Kushika mkononi kama nguo,Kalamu,majembe,nk..Hapo Ndo unaonekana kuwa MFANYABIASHARA. Hiki kitu Siyo...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari za jion wadau. Nataka kujua leseni ya duka la dawa ni bei gan na kibali vingine. Asanteni.
2 Reactions
3 Replies
652 Views
You can assess for yourself
1 Reactions
1 Replies
666 Views
Wakuu habari za muda huu, Leo nilipata wasaa wa kwenda sabasaba pale nikitarajia nitakuta maonesho yenye tija yanayoendana na kasi ya kauli mbiu “uchumi wa viwanda na biashara endelevu”...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Wasalam wadau, bila shaka tu wazima kwa ulinzi wa Mungu. Naomba kufahamishwa kwa mwenye kujua bei ya kilo ya giligilani kwa mosoko ya dar.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
SIAGI YA KARANGA (Groundnut butter/Peanut butter🔥🔥 1kg ya Karanga hutoa 900g ya (siagi) butter. Katika masoko ya ndani, 1kg ya butter ni tsh 6500_7500/= Gharama za uzalishaji Karanga: tsh 2000...
4 Reactions
15 Replies
7K Views
Salaams Great Thinkers, Mimi ni ndugu yenu muangaikaji wa kutafuta 'financial freedom'. Nimeajiriwa na serikali tangu mwaka 2007 hadi hivi sasa naendelea na ajira ya serikali na kituo changu cha...
1 Reactions
12 Replies
8K Views
SIKU vijana tusio na ajira zisizotusaidia tukiamua kutoa ubishoo wa kukaa kwa mashemeji zetu Dar na kuamua kwenda mikoani kutafuta mashamba na siku serikali ikiamua kutufata huko shamba na...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Karibuni wadau kwenye link hiyo hapo juu..Mfumo wa Taarifa za Biashara. Kupitia mfumo huu utaweza kupunguza muda wa kupata vibalimbalimbali, kupata masoko yalipo ndani na nje,kukutanishwa kwa...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamaa alipata kiwanja Mbezi Beach siku nyingi sana. Kazini alikua anafanya kazi kwenye mradi wa Danish, alikutana na mke wake hapo. Walienda kuishi wote Denmark baada ya mkataba wa mke wake...
27 Reactions
54 Replies
5K Views
Back
Top Bottom