Wakuu kwema natumaini mko salama
Lengo la uzi wangu huu ni kutaka kuuliza na kufahamishwa nawezaje kuingiza pesa mtandaoni kupitia simu au laptop.
Nimekuwa nikisikia sana wadau wengi...
Baada ya kupambana saana na Maisha ya ajira, nikafikiria nitafute namna ya kuingiza kipato kingine. Akili ikanutuma shambani kweli nimeingia shambani na Hali siyo mbaya. Wazo likaja tena niachane...
Habarinj wanajamvi,
Nimekaa nakuwaza nifanye biashara gani, baada ya kupata baadhi ya aina ya biashara ambazo naweza zifanya nikiwa hapa moja ni ya Kununua na Kuuza Plastiki ama Makopo...
Tangu maonesho ya 2021 SabaSaba yaanze hapa Kilwa Road Dar es salaam hapa kwenye Banda la Karume wafanyakazi wa TANTRADE wanachelewa sana kufungua mabanda/Maholi makubwa wanafungua saa nne au saa...
Wanabodi ,
Kwa muda mrefu tumekuuwa tukisikia serikali imepata mikopo toka kwa wafadhili mbali mbali , kitu ninachojiuliza deni letu haswa ni kiasi gani kwa sasa ? na jee hili deni lina impact...
Habarii JF.
Mimi ni mwanachuo,lakini kutokana na hali ya maisha ya sasa nimeona nijitafutia kitu kidogo ambacho kitanipa msingi mara nikihitimu masomo yangu
Kwahiyo nimepata wazo la kumiliki...
1. Mwenye mtaji aje eneo ekari 1.3 ninalo lina jengo la storage, kisima cha maji, umeme three phase na majengo mengine mawili. Nimefunga pia mashine ya kusaga na kukoboa mahindi na nafaka kama...
Wakuu huwa nasafirisha Viazi hasa kutoka Wilaya ya Makete kuja Dar Es Salaam. Kuanzia tarehe 01/7/2021 gharama ya kusafirisha Viazi kutoka Makete kwa FUSO inayobeba Magunia 163 imepanda kutoka...
Nimekuwa nikiagiza bidhaa nyingi kutoka Aliexpress, na mara zote nimekuwa nikitozwa kodi kubwa na posta ninapoenda kuchukua mzigo zaidi ya bidhaa bei ninazoagiza.
Nataka kujua kwa wenzangu ambao...
Nauliza ukitaka kumkabidhi mtu gari hesabu inakuaje kwa gari sio mpya lakini haina shida yeyote na kuhusu service ni kwa dereva au boss kwa hesabu Tsh 25000
Jamani Habari Zenu.
Nilikuwa nataka kupanua wigo wa Biashaya ya Viungo(Spices). Nina duka dogo Zanzibar ila nataka niongeze wigo wa biashara.
Kwanza ninamalizia website yetu,ambayo itakuwa...
TAA ZA KUCHAJI KWA AJILI YA WAFANYABIASHARA ZA USIKU.
Hizi ni taa zinazo faa kwa matumizi aina zote yanayo hitaji mwanga mkali kwa muda mrefu.Vijijini na Mijini.
SIFA ZA KIMATUMIZI YA TAA HIZI...
Bei za mafuta zinahusika moja kwa moja na mfumuko wa bei(Headline inflation) hii ni kwa kuambiwa lakini nimefanya pia analysis ya haraka haraka na kuona uhusiano mkubwa kati ya hivyo vitu...
Habari wana JF,
Samahani katika harakati za kujikwamua kimaisha nimepanga nifungue biashara ya duka la bidhaa za nyumbani kama vile viduka vyetu vya mtaani vya mangi.
Kwa ambaye amewahi kufanya...
Imekuwa kila mara nikifungua Twitter nakutana na post nyingi watu wanaongele passive income, online course, affiliate marketing, digital marketing.
Wanatumia nguvu kubwa sana kuitanganza mpaka...
Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Naomba kujua ukiwia unamtaji wako wa kiwango chochote cha pesa, unatakiwa upate kiasi gani cha faida kwa mwezi kwa mahesabu ya asilimia?
Wengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.