Uzi huu ni kwa ajili ya wale wenye biashara zenye Wateja 100 au zaidi. Ni kwa ajili ya kujifunza tu wala si vinginevyo. Ulitumia mbinu gani kupata wateja 100 wa kwanza?
Changamoto gani ulikutana...
Habari,
Sorry nina ombi kwa anaejua utaratibu na jinsi na njia salama ya kutuma mzigo wowote kutoka hapa Dar kwenda Australia... Na gharama zipoje?
Ahsante
Dah nazidi kujifunza wakuu, nazid kujifunza.
Ujue sisi ambao tulikuwa tumesoma ma kozi magum magumu huku kwenye ulimwengu wa biashara huwa wengi hatuko vizuri lakini ukijipa muda ukakubali...
Tafadhali wana jamvi, nauliza kuhusu biashara ya dry cleaning, yani kwa mtu mwenye mtaji basic tu wa kuanzia, ina weza kucost shilingi ngapi? Na pia inalipa? Tfadhali, naombeni mawazo yenu maana...
Habari zenu ndugu wana JF,
Ndugu zangu nimepata na matatizo ambayo yanahitaji kuyatatua kwa uharaka,ninahitaji Mkopo wa Milioni 1.
Mkopo nitarejesha ndani ya miezi 2 kwa awamu 2,nitafurahi kama...
[emoji433]Author-Coach Lazaro Samwel
Imeshawahi kukukuta hii kwenye shughuli zako?
Kwenye soko lako wewe una ofisi nzuri sana,bidhaa nzuri kupita maelezo lakini kuna mwenzako ofisi ya kawaida...
Habarini
Ndugu zangu naomba kwa anayefahamu mifuko ya nylon (picha iko chini) inauzwa maeneo yapi kwa hapa DSM kwa bei ya boksi/jumla anifamishe tafadhari.
Mifuko hii hutumika kuwekea vitu...
Hello JF members nahtaj kujua kwa undani zaid wenye experience na biashara ya mapazia pamoja ushauri wenu wakuu wap naeza pata kwa bei nzur kwa bei ya jumla ili niuze bei ya rejareja na jumla pia.
Habari za mchana wakuu, naomba kujua kwa wazoefu au wenye ujuzi mashamba ya nazi Tanga ni wapi na bei huwa zinachezea ngapi pia changamoto ya biashara hii ikibidi njia za kuepuka gharama zisizo za...
Na wewe ulishawahi kufikiria hili na ukasema “Mambo sasahivi ni mengi mitandao ya kijamii itanisaidia.”
Umeshawahi kujiambia kauli hii kwa kudhani mitandao ya kijamii itakufangia kazi kwasababu...
Inawezekana ukawa ni mfanyabiashara ambaye unaandika matangazo kila mara na unajikuta haupati matokeo mazuri.
Umelipa kwa watu mbalimbali kukuandikia matangazo lakini bado hakuna matokeo mazuri...
Nakumbuka mwaka jana kuna makala moja nilikuwa nakiisoma online lakini kuna sentensi moja ambayo ilinigusa sana mpaka leo naikumbuka.
Sentensi hiyo ilikuwa ikisema kwamba “Hakuna bidhaa ambayo...
Habari zenu wakuu, natumai mko safi. Siku kadhaa zilizopita nilitembelea makumbusho stendi na nilivutiwa sana na biashara ya simu ilivyoshamiri na jinsi vijana walivyochangamka katika uuzaji wa...
Kilimo cha Mahindi kinashika zaidi ya 55%,ya vilimo vyote nchini, Mahindi yanalimwa karibu nchi nzima.
Soko la mahindi nchini limekua la utani sana hasa msimu wa 2020/21 mpaka sasa bei kwa gunia...
Habari wadau wa Mbeya wilaya ya Rungwe maeneo ya ndaga namba one na nitokela hadi uwanja wa ndege.
Nahitaji kuwekeza katika biashara ya kuuza CD vifaa vya sola vifaa vya simu na ufundi simu...
Baada ya muda mrefu nimepata bahati ya kuja mjini DAR ES SALAAM nikaona maji ya kunywa brand mbalimbali ikiwemo Uhai, Hill nk zikiuzwa 500-600.
Cha ajabu ujazo huohuo kwetu yanauzwa 1000 hii...
Wakubwa poleni na msiba...na mwenyezi mungu atubariki tupite salama katika kipindi hiki kigumu cha kumpoteza moja ya muhimili muhmu wa taifa letu.....turudi kwenye hoja..karibuni tujuzane ni zipi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.