Nimekuwa nikiona vinywaji hivi pichani, nikaambiwa ni soda tena ni tamu kushinda hizi tulizozizoea. Vipi zina ubora wake upoje? Na zinapatikana hasa mikoa gani?
Sijui kama utanielewa leo maana nina jambo kwaajili yako ambalo unaweza kulibeba kwa shingo upande.
Umeshawahi kujikuta katika hali ya kusema maneno mengi ya namna unavyotaka kufika mbali na...
Sijui kama unajua kwamba kwa wakati huu unaweza kuwa na juhudi kubwa sana kwenye biashara yako ambayo umeanzisha na bado usifike sehemu yoyote?
Au kwa lugha nyingine tunaweza sema ukawepo sokoni...
Kwa miaka takribani 15 sasa hakujawahi kutokea kuanguka kwa bei ya Mpunga.
Kilimo cha zao la Mpunga kwa msimu wa mwaka 2020/ 2021 kinaleta mashaka makubwa.
Bei ya wakati wa mavuno kwa gunia la...
Hili ni moja ya swali kubwa mbalo limekuwa likiulizwa na watu wengi kwamba watawezaje kupata wazo la biashara lenye faida katika maisha yao?
Haswa kwa wengi huliuliza kwakuwa wanataka mafanikio...
Habari,
Kutokana na umbali nilipo nimeshindwa kufika Brela kuulizia hili jambo. Imani yangu hapa JF kuna watu wanajua jambo hili.
Je ni hatua zipi niweze kuzifuata ili kujitoa kuwa Director...
Kwa anayejua jinsi ya kucalculate gharama ya mzigo uliotumwa kutoka China hadi Tanzania mfano mashine ya kuoshea magari (car washer machine) ya kilo 50
Habari za majukumu...
Naitwa Mathias ni mwenyeji na Mkazi wa Jiji la Dodoma.
Mawasiliano: +255 (0) 752464548
Kama unavofahamu Mkoa na Jiji la Dodoma kwa Ujumla linakuwa kwa kasi sana kuna fursa...
Habari wakuu
Moja kwa moja kwenye bandiko letu.
Diamond Karanga moja kati ya brand iliyotamba sana hasa pale walipokuaja na Brand name la jina la msanii mkubwa Tanzania.
Kitu gani kimewakumba...
Habari zenu wanajamiiforum?
Bila kupoteza muda, ni kiasi gani cha fedha unachoweza kuenda kufunga mzigo china ukapata faida nzuri baada ya kodi za tra nk..?
Hapa nazungumzia mtaji wa kuanzia M5+...
Makosa makubwa 2 ambayo huwa ni kisababishi kikubwa cha wafanyabiashara wengi wa NETWORK MARKETING kufanya vibaya biashara zao kuanzia kwenye Recruitment na kuuza bidhaa zao.
[emoji3581] Kosa...
Habari wana jamvi ni muda wa kufanya kazi ili kujipatia kipato halali na maisha yaweze kundelea.
Watanzania tuache longolongo na maneno mingi ili kukuza uchumi wetu. Pia tunafanya dua kwa...
Habari wana Jf,nlikuwa naomba ushauri katika hii sekta ya utalii wa ndani,kama nkifanikiwa kufungua kampuni ya ku organize utalii wa ndani ntapata faida?Naweza kuwa nimefikisha wazo langu...
Habari wanajamvi.
Kama kichwa cha habari kinavojieleza,
Nataka kuanzisha biashara ya gas ya kubadilisha sitaki kuuza majiko yake sasa nimejaribu kuuliza uliza kwa wadau wananiambia ni lazima...
Habari wakuu,
Mimi nataka niagize mzigo Alibaba je unaweza kufika mpaka mkoani au nafanyaj alie wahi fanya biashara na alibaba au app yoyote anipe ujuzi please
Watalaamu wa Uchumi wanasema uwezo wa mtu kumudu maisha yake kuwa maana ya kuwa na chanzo cha fedha (iwe kwa kuajiriwa au kujiajiri) humsaidia mtu kupunguza matatizo ya afya ya akili kwa maana...
Habari wapendwa,
Hivi karibuni nili place oder Alibaba
Lakini tatizo limekuja kwenye Kufanya Malipo,
Natumia DTB prepaid MasterCard
Ila kila nikifanya Malipo naambiwa payment Unsuccessful
Salio...
Habari wanajamvi,
Kichwa tajwa hapo juu. Kwa kifupi:
Niliingia ubia na jamaa
nikatoa hela zangu
akamwomba jamaa mwingine aagize mzigo
mzigo (wa nafaka) ukaja umechanganya rangi. Badala ya tani...
Mie nahusika na ujasiriamali mdogo mdogo na genge la nyama choma kila siku nimekuwa nachukua nyama jioni na kwenda nayo nyumbani na kuweka katika chombo kikubwa cha wazi nimekuwa nafanya hivi mara...
Tanzania hii unatoa agizo eti tiketi zote za mabasi ziwe kwa mtandao, kwa kigezo eti mbona tiketi za ndege zinakatwa kwa mtandao?
Ivi Latra mmekosa kazi ? Au mnatafuta kiki?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.