Inakuaje wana JF
Bila kupoteza muda ningependa kujua machimbo ya hivyo viatu kwa bei ya jumla yapo wapi? Na ni shi ngapi?
Yaani ni kwa biashara sio matumizi binafsi
Any help i will appreciate...
Habari ndugu zangu, kwanza nianze kwa kusema JF inaushawishi kuliko mitandao mingine yoyote.
Aiseh mimi ni kijana wa miaka 23 tu, nimemaliza chuo mwaka jana october nilipata nafasi ya kazi ( part...
Hafla ya kutoa tuzo ya mpango wa utalii wa MKSE imefanyika hivi karibuni mjini Nairobi, Kenya. Kwenye halfa hiyo, waziri wa utalii wa Kenya Bw. Najib Balala amesema mpango huo ni sehemu muhimu ya...
Habari ndugu zangu,
Ninawasalimu kwa jina lake bwana wetu
Nimejaliwa kukusanya shilling 5M kutokana na nilivyokuwa najikusanya kwenye kimshahara changu kwa mwaka sasa,
Naona maisha ya kuajiriwa...
Tabia hizi ukiziruhusu kwenye biashara yako utaendelea kufanya biashara ya ya kipato cha mkono kwa mdomo tu, hutakaa ukue na kufanya biashara kubwa
1. Kuruhusu watu wasiohusikia na biashara yako...
Leo nimekuwa nikipitia tovuti ya TRA na hasa ile sehemu ambayo unawezakukokotoa kiasi cha ushuru (Tax) utakachopaswa kulipia kama ukiagizia gari toka nje ya nchi (Japan kwa mfano), nimeshangaa...
Habari Tanzania natumai mu wazima lengo la uzi huu ni kubadilishana mawazo yatakaosaidia watu wengi na kusongeza uchumi wa mmoja mmoja wetu.
Nikirejea post moja wapo ya member mwenzetu alitoa...
MAKALA HII IMEANDIKWA NA MESHACK MAGANGA WA IRINGA TANZANIA.
Kwa muda mrefu nimekuwa nikitoa hamasa kwa vijana wenzangu wa kike na kiume na watu wa kada mbalimbali, wito wangu umekuwa nikuwataka...
Wakuu Habari za muda huu.
Naomba kujuzwa je biashara mfano wa fundi pikipiki(wale wa mtaani),mamalishe,fundi kuchomolea na wengineo wanatakiwa kuwa na leseni? Na ni kiasi gani? Vipi kama mtu ana...
Ndugu WanaJF,
Kwa mara nyingine tena tunakuja na uzi mahsusi kwa wote wanaofanya safari kwa njia ya anga. Huu ukiwa ni mwendelezo wa mtiririko wa threads zetu za Elimu kwa Umma ambapo tunakusudia...
Wakuu katika ujuzi wa uogeleaji ukiwa unataka kumuokoa mtu asiyejua kuogelea unatakiwa uniache Kwanza maji yamlegeze lasivo akikukamata hatokuachia mpaka mfe wote.maana we unakuwa tumaini la...
Let me admit. JPM ana mapungufu ya kutosha. Hata hivyo, bado ni chaguo sahihi kwa vita ya ufisadi. I believe, pesa nyingi zimefichwa "majumbani chini ya magodoro". Ninamuomba achapishe noti mpya...
Muda mfupi uliopita nimechukua form za kuomba kuwa wakala wa CRDB huduma. Tayari ninafanya uwakala wa tigo, airtel na M-pesa. Nilikuwa anaomba mwenye uzoefu wa Uwakala wa fahari huduma anijuze...
Leo asubuhi nimesikia tangazo la mkuu wa mkoa wa DSM akitangaza kuanza kutumika rasmi kwa stendi mpya ya mabasi yaendayo mkoani iliyopo Mbezi Luis.
Hadi sasa hivi sijaona tangazo la orodha ya...
Habari Humu,
Kwasasa Tunatafuta mwekezaji mwenye uwezo wa kuwekeza 20M kwenye Biashara yetu ya usafirishaji wa Mizigo kwa Njia ya ndege kutoka China kuja Tanzania.
Tunategemea kusafirisha...
Habari wana jamvi!!!
MH rais amekuwa akisisitiza kuwa mkulima anapaswa atozwe ushuru na mamlaka husika ikiwa tu amebeba mzigo unaozidi Tani moja!!
Lakini Mbona tunaendelea kutozwa tu na Mamlaka...
Napata shida kujua ni gharama kiasi gani nitatozwa, kwa kila ninae muuliza ananipa majibu ya kunivunja moyo.
Wengi wao wanadai nikiagiza kutoka nje yaani amazon au ebay gharama za tozo nchini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.