Habari zenu wana JF kwa muda mrefu sana nilikuwa nataka kuanzisha biashara ya kuuza viatu, sasa wakati umeshafika. Mimi nipo Arusha ila nasikia Moshi kuna viatu vizuri kweli, sijawahi kwenda huko...
https://chat.whatsapp.com/E3QA3ZGnthUJGkpWSZuKHV
1.Sandals za Kike kwa kiume zipoo
2.Simple za kike zinapatikana
3. Mafuta ya Nywele yapoo piaa...:Mzuri sanaa yani. Nywele zinajaa na kuwa...
Serikali imetakiwa kuwalinda wawekezaji hususani wazawa wenye viwanda vidogo ili wasaidie kukuza uchumi wa Taifa kupitia viwanda kama yalivyo maono ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli ya Tanzania...
Hapa nazungumzia Kenya, Rwanda, Burundi, DRC, Zambia, Malawi na Msumbiji.
Mbongo unaweza fanya jambo gani huko la kukuingizia kipato? Kazi na bidhaa gani zinahitajika huko? Changamoto zake ni nini?
Habari wakuu!
Mimi ni kijana jinsia (me)
Wasifu: Fresh graduate nina shahada ya Teknolojia Habari na Mawasiliano (ICT) kwa sasa nipo Dar naendesha biashara yangu, experience yangu kwenye...
Wakuu za leo.
Katika kupambana na maisha nikaamua kuanzisha duka la rejareja almaarufu la mangi mitaa ya hapa Mwanza.
Nikaenda TRA kusajili TIN bana jamaa wakakadiria kodi nilipe 250,000 kwa...
Habari zenu. Nina ndugu yangu yuko Moro anajishughulisha na uchimbaji wa madini aina ya ulanga na feldspar. Kwa anayefahamu soko anaweza akawasiliana nami na kila yatakapofanyika mauzo atapata...
Habari zenu wanajamvi, nimevutiwa na bidhaa za kikuu katika mtandao wa FB. Lakini kinachonipa mashaka hawako tayari wajulikane wako wapi?
Msaada kwa mtu ambaye ameshanunua bidhaa katika App hii...
ZINGATIA:Haya ni mawazo yangu binafsi hivyo yaweza kupuuzwa au kutiliwa maanani bila shuruti yoyote.
Kwanza ningependa kuwapongeza kwa kuipigania kazi ya sanaa hususani sanaa ya maigizo.Ninyi na...
Wasalaamu wadau,, nimekuwa kila nikianzisha biashara sitoboi kabisa,..kwa mfano nilikuwa namiliki saloon yangu ya kiume lakini cha ajabu sipati wateja,..yaani unaweza kukaa kutwa nzima ukaambulia...
Kwa kuzingatia kichwa cha habari hapo juu karibuni wadau wenye uzoefu na mambo hayo mtujuze.
Mimi naona bidhaa hizo zote zinalingana ujazo na rangi pia ila sielewi kwanini kuna tofauti kubwa ya bei!
Kuna mambo yanaendelea kimya kimya sana na kuathiri jamii.
Baada ya mafuta kupanda ngano kupanda sasa ni nyanya zinafuata
Je, wajua sababu ni nini? Sababu ya kupanda kwa bidhaa za vyakula kutoka...
Habari za wakati huu;
Leo naona nilete mjadala kuhusu moja ya changamoto ambayo wajasiriamali hukutana nayo katika biashara zao nayo inahusu upangaji wa bei au kwa kimombo "pricing"Katika uchumi...
Kama tittle inavyoeleza Tanzania kumekuwa na madalali wengi mjini wengi wao wapo kimaslahi yao binafsi tena yenye lengo la kumpiga mteja narudia tena kumpiga mteja.
1. Madalali wengi wana...
Za asubuhi wanaJF,
Katika pitapita zangu leo nikabahatika kuskia maongezi ya kikao cha management ya moja ya biashara kubwa hapa mjini ya mhindi. Kikao hicho walikuwepo mamanager kadhaa watu...
Nimetumiwa pesa kupitia western union shida ni kwamba kitambulisho changu kipo mbali namimi ila nishakipigaga sana picha ninacho kwenye simu...
Nilikua nauliza je nawezakutoa pesa kupitia hicho...
Mwaka Jana mwishoni nilibahatika kupata ka-IST free of charge; sijahongwa wala nini. Kwa vile sina pa kwenda nalo, nikaona bora liwe Uber.
Katika research yangu eti hesabu ya Uber ni elfu 20 kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.