Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Nalipenda jukwaa Leo kwa kuwakumbusha vijana wenzangu njia rasmi unazoweza kujipatia kipato bila kuvunja sheria za Nchi. 1. Kujiajiri (Biashara, Kilimo, ufugaji na kubet) 2. Kuajiriwa. 3...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Heshima yenu wana JFnataka kufungua business training centre kwa ajili ya kutoa mafunzo na semina ndogo ndogo za wajasilimali ambapo nitakuwa natoa mafunzo na semina kuhusu. Mambo ya biashara...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari Nimefanikiwa kupata kiasi cha 70,000 nahitaji hii pesa initoe kwenye dimbwi la umasikini. Niifanyie kitu gani ambacho kitakuza mtaji haraka sana. Nipo Dsm.
8 Reactions
90 Replies
9K Views
Nataka kushare nanyi experience moja katika utafutaji. Kuna kipindi nilipoteza muda sana kwa kuhama hama. Nilikuwa na marafiki zangu kadhaa watafutaji, na Mungu kawabariki yani mtu kupata milion...
28 Reactions
25 Replies
3K Views
Ndege aina ya Airbus 220_300 leo imetua katika uwanja wa ndege wa Dodoma na kupokelewa na wananchi walokuwa wakiisubiri kwa hamu. Gharama halisi ya tiketi ya ndege kwenda Dodoma sasa ni shilingi...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau naomba kupata ELimu kubusu hili! Leo katika Harakati za hapa na Pale nikajaribu kununuwa bidhaa kupitia mtandao huo wa Alibaba. Nilikuwa nahitaj Pressure cooker only 1 Piece ila...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wakuu, Naomba kujua kama serikali inaruhusu uingizaji wa saruji kutoka nje.
0 Reactions
4 Replies
879 Views
Wasalaam, Kigamboni .... Nyati grade 32 tunanunua 15k..mpaka 16k nyati grade 42.5 hakuna kweli... camel grade 42.5 inauzwa 16k...mpaka camel imepotea... dangote grade 32 inauzwa 16k... Cha ajabu...
0 Reactions
38 Replies
7K Views
Naomba kufahamu bei ya solar heater ya Lita 50 kwa matumizi ya nyumbani.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Fursa ni nini? Katika kufanya kazi na wajasiriamali wengi nimegundua kwamba wengi huchanganya FURSA na kujikuta wanapoteza FURSA.Kama mjasiriamali na mtu mwenye kiu ya mafanikio lazima ujue...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habar za asubuhi wakuu, Bila kupoteza muda niende kwenye maada, katika harakati za kupambana kupata riziki, kuna mtu nisiemfahamu alinifuata inbox na kunishirikisha juu ya uwezekezaji wa pesa...
10 Reactions
81 Replies
10K Views
Nimenunua kirikuu cha kugangia njaa mjini hapa. Lengo langu nataka kinitumikie japo miaka 2. Nawaomba ushauri, nikibebeshe maximum kilo ngapi? au gunia ngapi za mahindi? Asanteni
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Habari za Jioni ndugu wadau. Nahitaji fundi mtaalamu wa mashine kubwa kubwa za viwandani. Naomba msaada wa kuonganishwa kama kuna mdau yoyote anayemfahamu. Ahsante
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari Zenu Wakuu To The Point Nimewaza kufanya biashara ya kununua magari mabovu ambayo aidha yamekua written off na insurance companies, kuboresha then kuyauza au kutumia kwa kuleta more...
2 Reactions
36 Replies
9K Views
Niliona katika habari ya Channel10 jioni hii, wamepewa makosa matano. TRA wamewashtaki kwa kuingiza vifaa vya mawasiliano bila kibali, kuwa na server ambayo inatumika bila kibali, kutumia mitambo...
12 Reactions
154 Replies
25K Views
Kampuni ya TALA inayokopesha kwa njia ya mtandao wa simu za kiganjani, imetangaza kufunga shughuli zake Tanzania. IN SUMMARY Kampuni ya TALA inayokopesha kwa njia ya mtandao wa simu za...
5 Reactions
120 Replies
18K Views
Habari zenu wakuu, Nataka kuanza kuuza maandazi, yale ya mia mia. Ila Kuna kitu sikijui katika hii biashara. Hivi itanihitaji unga kiasi gani kutoa maandazi 200, Vipi kuhusu sukari, maziwa...
2 Reactions
11 Replies
17K Views
Natafuta mtu mwenye interest ya kuingia kwenye construction industry. Kampuni ilipata usajili brela 2014, baada ya kuhangaika mwaka mzima 2015 kutafuta miradi hatimae mwaka 2016 kampuni ilianza...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari wakuu, Naomba kujua namna ya kutoa pesa kwa PayPal na Amazon gift cards hapa Tanzania. Nina hela nataka kupokea kutoka nje ila Payment methods zao ni PayPal na Amazon gift cards tu. Ahsanteni
2 Reactions
44 Replies
5K Views
Nataka kuifanya hii biashara ya kuuza. Perfume Spray Losheni Ninahitaji msaada jinsi ya kuanza na kupata soko wateja na njia za kuendesha biashara hii.
1 Reactions
4 Replies
7K Views
Back
Top Bottom