Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Habari zenu wadau, Ninaomba mwenye kuelewa biashara ya vinywaji baridi na vitafunwa (Snacks bar) anijuze inahitaji mtaji kiasi gani? Ukubwa wa biashara uwe ni wa wastani (inayoweza kuhumumia watu...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Salam kwenu wakuu. Nimekua nafatilia jinsi wasanii mbalimbali hapa nchini wakishindana video zao kupata viewers wengi na nimewahi kusikia pia hua MTANDAO wa youtube unawalipa watu wenye viewers...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mambo vipi wadau. Natumai mko poa na mihangaiko. Anyways moja kwa moja kwenye mada. Nilikuja hapa miezi iliopita kuomba ushauri jinsi ya ku deal na wakopaji maana walifikia kunifilisi kabisa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari za jioni wanajamvi. Ni mgeni humu,shida yangu natafuta thread iliyokuwa inatoa elimu ya kuingiza kipato Cha ziada mtandaoni mf.freelancing nk. Naomba kuunganishwa na mtoa post. Asanteni.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba anayefahamu mchanganuo wa biashara ya ushonaji wa nguo anisaidie.nataka nione kama naweza kumsaidia mdogo wangu anaweza kushona nguo.sina uwezo mkubwa lakini jaribu kutumia mini quatations.
0 Reactions
90 Replies
65K Views
Nina kiasi cha pesa na nimekua njia panda nini nifanye cha kwanza ninunue kiwanja au nifanye biashara nikipata faida ndio nianze mipango ya kununua kiwanja maana kibaruani nimeachishwa.
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari wana jamii forums Kama ilivyo hapo juu ninataka kujua au kupata ufumbuzi. Je, ni kwa namna gani unaweza kuinunua treni kutoka mabara ya America na kuweza kuifikisha hapa ilhali hakuna...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Habari zenu wadau. Mimi nahitaji kufanya biashara ya simu pamoja na ear phones, cover za simu, chaja za simu. Naomba ushaur wa hii biashara wapi naweza kupata hizi bidhaa kwa bei ya jumla, pia na...
0 Reactions
1 Replies
918 Views
Habari za majukumu wadau wa jikuwaa la biashara. Ninampango wa kununua bajaji afu niendeshe mwenyewe. Je ni changamoto zipi hujitokeza katika biashara hii endapo unaiendesha mwenyewe?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari za siku wana JF, Kama kichwa kinavyosema hapo juu, nilikuwa nahitaji mnijuze ni shughuli gani naweza kuifanya ili niweze kuingiza sh.10,000 tu kwa siku na sio pungufu either kwa kujiajiri...
5 Reactions
23 Replies
10K Views
Habari za majukumu ndugu zangu, Nina wazo la kukopa bank kiasi cha pesa Million 100 kwa ajili kununua mitsubishi canter 2 zenye uwezo wa kubeba tani 3.5 kwa ajili ya biashara ya usafirishaji...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa TCRA idadi ya watu wanaotumia mitandao ya kijamii nchini Tanzania imezidi kutoka Million 26 mwaka 2015 mpaka kufikia Million 27 mwaka huu 2020. Sasa basi ni rasmi sekta ya...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wakuu,mi ni mfanyabiashara mdogo kariakoo natumia kitambulisho cha mfanyabiashara. Biashara yangu ina wateja wengi kiasi kwamba mzgo naokuwa nao hautoshi nimefikiria kwenda kukopa bank...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
bei 1.7m kushuka chini isiwe boxer ama tvs Whasap 0682271470
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nmekua na idea ya kufanya biashara ya bidhaa mbalimbali kutoka china ila sielewi jinsi ya kuagiza bidhaa hizi..wakuu kwa yeyote anayeelewa naomba anifahamishe
1 Reactions
1 Replies
2K Views
jamani wadau naomba mnisaidie kama kuna mtu anajua procedure za kufata ukitaka kufungua account ya kikundi CRDB, NMB au bank yoyote ile..
0 Reactions
3 Replies
13K Views
Habarini, naomba mwenye kufahamu bei ya Pikipiki za SanLG ikiwa mpya anifahamishe. Nahitaji bei kwa Kahama au Mwanza ili iwe rahisi kwangu kufika huko kutokea kijijini kwetu
1 Reactions
1 Replies
11K Views
MY FAVORITE CHECKLIST ________________________________ 1. ON EARNING: Never depend on single income. Make investment to create a second chance. _________________________________ 2. ON SPENDING...
6 Reactions
3 Replies
691 Views
Wahindi bado nitaendelea kuwakubali kwa kuandaa watoto wao mapema sana, Wahindi watoto wao huwa hawasumbui sana kuhusu kazi kwa sababu tajwa hapo juu. Wahindi kwenye kuandaa watoto wao huwa...
45 Reactions
64 Replies
7K Views
Bandugu wana JF, Natumai wote mu wazima kuna haya makitu nimeyakuta sehemu yanazagaa zagaa, naomba kuuliza ni madini gani.
0 Reactions
18 Replies
11K Views
Back
Top Bottom