Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Nataka kuwekeza kwenye biashara ya kuuza dawa za binadamu na mifugo. Natafuta mtu wa kunusaidia kufuatilia vibali leseni fremu za biashara nk kwani nimebanwa kwa sasa. Niko Dar es Salaam!!!
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwanza natanguliza samahan kwa usumbufu na polen na mihangaiko ya week nzima Naomba kufikisha ombi langu kama kijana wenu. Sisi n vijana watatu tuliomaliza Chuo mwaka Jana kulingana na uhaba wa...
2 Reactions
19 Replies
6K Views
Kadri mwendo unavyozidi kua mgumu wagumu huendelea. Wanariadha wa mashindano ya magari na baiskeli hujipatia point za ushindi dhidi ya washindani wenzao kweny kona kwa kuendesha kwa kasi zaidi...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nina ndugu yangu anafanya biashara flani kutoka SAUZI sasa nataka kumuomba nimpe mtaji wa kuanzia 1M ili nimuagize TV na Redio kwa ajili ya biashara...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Bank ya Equity haina option ya kutuma hela kwenda /kutoka bank kupitia mtandao wa Halotel...usumbufu Sana!. Wahusika angalieni Hili suala!
1 Reactions
3 Replies
4K Views
BUSINESS INSIDER | EXECUTIVE INSIGHTS Dominic-Madori Davis , Business Insider US Sep 18 Aliko Dangote. (Pic: File, Gallo Images) The 15 richest people in Africa have a combined net worth of...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Salaaam wana Jf Nimepata wazo la kufuga nguruwe , naomba wenye uzoefu na hii kitu anisidie ushauri. Namna gani ya kufuga ili kupata faida . Nb: eneo ninalo la kutosha
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu poleni na majukumu, niende moja kwa moja kwenye mada, naombeni ushauri juu ya kufungua duka la mahitaji madogomadogo na kununua bajaji used kwa mtu kwa kuwa sina pesa ya kununua mpya...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kila mfanyabiashara/mjasiriamali anapoamka asubuhi akashuka kitandani akasimama juu akajinyoosha akagundua yupo fiti kiafya Humshukuru Mungu sana kwasababu sisi wafanyabiashara pamoja na uzoefu...
27 Reactions
146 Replies
11K Views
Wasalamu... Copied. Kipindi cha nyuma wakati naenda Chuo nilikuwa na hela kidogo (5M) nikiwaza nikifika chuo lazima nipate demu wa kutoboa nae maisha. Daah yalikuwa mawazo ya ovyo sometimes...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Heshima mbele. Wandugu nimeshasajili kampuni kamili LTD by share. Lengo lake muhimu ni kufanya kazi ya udalali wa Nyumba za kupanga,kuuza, viwanja mashamba hasa mkoa wa pwani. Tunategemea kuweka...
5 Reactions
30 Replies
13K Views
A newly established dairy milk processor and retailer of milk products in Dar es Salaam with an ambitious and elaborate expansion plan is looking for an interested investor/business partner in its...
1 Reactions
0 Replies
702 Views
Habari wakuu. Naombeni uzoefu kwa wale wenye experience hasa wajasiriamali wadogo wadogo Biashara ni ya kusaga na kupack na kuuza viungo vya vyakula. Ndio inaanza anza lakini nafikiria nipate...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Wakuu habari za wakati huu, kuna hii sijui niseme ni project au ni biashara ya mtandao inaitwa OVALT INVESTMENT, Kuna rafiki yangu yeye amejiunga huko na anajaribu kunishawishi na mimi nijiunge...
0 Reactions
3 Replies
683 Views
Habari ndugu zangu watanzania, Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu Zanzibar,naitwa Rajabu Suleiman. Nimekuwa nikisikitishwa namna watu ,binadamu wenzangu wanavyotokwa jasho wakitafta kipato...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari za muda huu wapendwa. Natumaini mnaendelea vyema na mapambano ya COVID 19 bila shaka Mungu anawasimamia kila iitwapo leo. Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu.. Mimi kama...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Wadu kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Natafuta kampuni iliyosajiriwa na CRB urgently. Nataka kununua sio joint venture au kununua share.
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Habarini wana jamvi, nisiwachoshe sana niende moja kwa moja kwenye point. Ninamiliki kabiashara kangu hapa mtaani, jana wakapita watu wa Halmashauri wanakusanya hela za leseni za biashara kwa...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari wakuu. Mimi binafsi ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu katika chuo flani hapa mjini.Na nasoma course ya uhandisi.Nilipofika jijini kwa mara ya kwanza tangu nazaliwa ilikuwa 2014 mwezi wa kumi...
139 Reactions
192 Replies
34K Views
Habari zenu wakuu, Ninataka kufanya biashara ya nazi,kwa kusafirisha kutoka Tanga kuja Dar. Kitu ninachotaka kujua ni je sokoni biashara ya nazi inauzika? na changamoto zake ni zipi? Na nataaka...
0 Reactions
373 Replies
106K Views
Back
Top Bottom