Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Habari Wadau wa JamiiForums, leo nawaletea hoja ambayo imekuwa changamoto hasa kwa wananchi kuhusu tozo ya upimaji wa ardhi katika maeneo mengi Tanzania. Kuna maeneo ambayo yamepimwa na...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nataka kufungua biashara ya library ya movie au kuchezesha magemu ps ipi nzuri apo ambayo itakuwa haina changamoto nyingi na itaniingizia at least 7000 kupanda kwa siku.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mataifa yenye kipato cha kati ya dola 1,006 hadi dola 3,955 kwa mtu mmoja hutajwa kuwa Mataifa yenye kipato cha kati, lakini yaliyo na uchumi mdogo huku yale yenye kipato cha kati ya dola 3,956...
0 Reactions
2 Replies
718 Views
Uwasilishaji wa Hitajio (Need Statement) ni kipengele MUHIMU sana katika uandaaji wa andiko la Mradi. Uwasilishaji wa Hitajio una malengo makuu mawili (2) ambayo ni: Kuonyesha ni kwa namna gani...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Tuanzia hapa… Kumekuwa na wimbi kubwa la taasisi za kijamii kuanzishwa, kuyumba hata kupelekea kufa kutokana na ukosefu wa mbinu za kutafuta fedha za kuendeshea shughuli zao au miradi yao...
4 Reactions
11 Replies
3K Views
Computer utaweka kila chumba kitakachobaki ni mteja kuja na modem yake kwa ajili ya internet,kama hana basi aje na flash ya nyimbo au device nyingine,TV pamoja na maji ya moto,na ofa ya polisi...
8 Reactions
27 Replies
5K Views
Wakuu jana nilikua na kasafari ka kukagua mashamba yangu huko Rufiji nikakutana na kitu ambacho kiliamsha akili yangu nikaona ni bora nilete hapa jamvini labda tutachangia mawazo na kutoka na kitu...
9 Reactions
39 Replies
21K Views
Tanzania Forest Fund (TaFF) ni Mfuko ya umma ulioanzishwa chini ya Sheria ya Misitu (Forest Act Cap. 323) kwa lengo la kuhifadhi na kusimamia rasilimali ya Misitu Tanzania Bara. Mfuko huu upo...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za uzima wana jukwaa natumai hamjambo kabisa, Nataka kuanza biashara ya duka la mtandao(kama kikuu) Natamani kujua gharama za kufungua kampuni inayohusika na shughuri hii(kisheria) Pia...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu wana Jf nataman tujuzane kwa wale wanaojua ufanyikaji wa biashara hii kwan kumekua na wimbi kubwa la watu kusema kama gar umeichoka bora ukaikate sasa sisi wa mikoan tunashindwa kuelewa.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari wadau nina idea ya biashara fulani na location niliyotarget ni pale Kigamboni au Kivukoni kwa wajuvi nikitaka kuweka kibanda pale nafuata hatua gani.
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Salute Bosses!! Karibu kwenye mada yetu ya leo,,, Leo ningependa tujue umuhimu wa kusona vitabu na makala za kuelimisha,lakini pia tujifunze na kuanza kujisomea vitabu. FAIDA ZA KUSOMA VITABU...
3 Reactions
1 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mimi nimpambanaji mdogo baada ya kuingia porini kutafuta mtaji wa mil.4 nikaingia mjini kufanya ziara yangu; niliifanya Kanda ya Ziwa, kuna biashara...
1 Reactions
18 Replies
6K Views
Swali: Je! Ninapaswa kununua vitu vizuri NINAVYOVITAKA ikiwa ninaweza kumudu? Jibu: Ndio, lakini panga kwa hilo. Maisha yatakuwa ya ovyo ikiwa tutanunua tu vitu tunavyohitaji tu kama chakula...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba kuuliza wanaofanya/waliowahi kufanya hii biashara Camera gani nzuri kufanyia video na photo shooting? Camera ziwe ngapi katika usiku wa shughuli kwa ufanisi zaidi? Wanaepukaje changamoto...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari ndugu zangu wa jamii forums natumai mu wazima.. Kuna ndugu yangu anahitaji na anatamani kufanya hii biashara ya PHONE AND ELECTRONIC ACCESORIES. jana aliniuliza kuhusu mtaji wa kuanza nao...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari! Waswahili wana msemo kuwa asiyesifia kwao ni mtumwa. Ila mimi nina mtizamo wa tofauti ya kwamba utakuwa mtumwa wa fikra mara mbili kama unaujua ukweli halafu unasema unafiki ama uongo...
11 Reactions
45 Replies
14K Views
Huduma IPI ni nafuu kati ya makampuni ya Tigo, Vodacom, Airtel, TTCL, Halotel na Zantel ili sheria ikianza ya kutumia line moja nijiunge na kampuni moja wapo?siitaji line mbili..msaada Na...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Wakuu habari, natafuta 'connection' ya soko hasa la nje ya nchi, la kuuza soya na mboga mboga. Ikiwa serious buyers watataka kuingia mkataba niwe nasupply itakua ni jambo jema zaidi. Kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom