Wakuu mzee mengi kabla ya kuondoka, alikuwa kwenye mkakati wa kuanzisha kiwanda cha simu janja na kingine cha magari na tuliona alikuja na wawekezaji, Je, ndiyo mpango wake ule umeondoka naye au...
Natafuta luxury packaging kwa ajili ya bidhaa za vyakula kama makopo na mifuko. Pia nahitaji watu wanaoandaa package za maboksi yaliyoprintiwa au kuprint katika mifuko.
Binafsi mimi nafanya pia forex ila sio ile ya kufundishwa na Ontario, hapana.
Nimejifunza kwa muda mrefu lakini hadi sasa sijapata mafanikio yoyote na hii huenda ikatokana na kuwa bado sijakomaa...
Habari zenu wanaJf
Ninapenda kumshukuru Mungu nimefanikiwa kushika mil200 baada ya kufanya biashara ndogo ndogo kwa kila siku nilikuwa naweka 650,000 sasa nimefikia mwaka.
Sasa nataka hii pesa...
Naomba kujua kwa Dar ni maduka gani naweza kupata Vipodozi aina zote kwa bei ya jumla.? Ikiwezekana naomba majina ya maduka na eneo liliopo & details zozote unazoona zinaweza kunisaidia kama uzi...
Habari zenu wakuu?
Ule mpango wangu wa kuanzishisha biashara sasa umekaribia kuiva. Maeneo ninayopendelea kufungua biashara yangu ya chakula ni maeneo tajwa hapo juu. Yaani mwenge na sinza.
Sasa...
Business Plan katika biashara ni kama ramani ya nyumba.
Unapotaka kujenga Biashara ni sawa na unapotaka kujenga nyumba au unapotaka kwenda mahali fulani ni muhimu sana uwe na ramani.Business Plan...
Naomba kufahamu mchanganuo wa Biashara ya Tigopesa kwa Kusajili Laini yangu Mwenyewe.
1. Gharama za Usajili
2. Vitu ninavyotakiwa kuwa navyo ili kusajili
3. Ufafanuzi kidogo juu ya malipo ya...
Habari,huu ni wizi mteja anaweka pesa zake mnazitumia kukopesha akitoa mnamkata kodi je yeye kafanya biashara gani?hii haiko sawa kabisa mmesema hakuna makato yoyote je huo siyo utapeli?
Sent...
Habari ndugu wana jamvi!
Naomba kupata Updates za soko la tikiti kwa maeneo ya Dar, Pwani na Morogoro, soko likoje kwa mwezi huu wa tisa?
Na pia, kwa wale wajuzi wa soko la zao hili, naomba...
Kwa kweli nikiongelea vijana wenye Ushawishi mkubwa baada ya Yesu na Mtume Mohamed SAW namba 3 kwa Tanzania alikua Ontario kijana alikua anaabudiwa na Kama ukienda tofauti naye basi mabingwa wa...
Wanabodi,
Baadhi ya Watanzania wenzetu ni masikini kwa kukosa tuu uthubutu wa kuchangamkia fursa za kibishara zinazojitokeza. Watanzania akiona mtu anafanya biashara fulani, na anapata, na yeye...
NAUZA DEKI YA LG HOME THEATER DH4530T
SPECIFICATIONS
330W (5.2ch)
BASS BLAST
1080P FULL HD UP-SCALING
USB CONTENTS PLAYBACK
HDMI out & SIMOLINK
PORTABLE IN
NAMBA YA SIMU; 0783696253
Wanabodi,
Hii ni story ya kweli kabisa, true story ya jinsi mtu wa kawaida sana, mwenye eneo tuu pembezoni mwa barabara linalofaa kujenga kituo cha mafuta, anavyoweza kugeuka millionaire au...
Habari wakuu,
Samahani nauliza ukinunua kitabu mtandaoni, halafu ukawa huna hela ya wao kukutumia Kama ni cha kutoka nje ya nchi unaweza ukakisoma kwa soft copy baada ya kununua?
Na pia, Kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.