Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Habari wakuu, Nahitaji ushauri mwenye uzoefu na hii kitu.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naombeni msaada kujua bei ya Natural Diamond kwa gram na kuhusu soko lake. Naombeni msaada wenu.
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wakuu kwa yeyote anayeweza kunisaidia kupata malimao kwa bei ya jumla tafadhali anijuze. Natanguliza shukrani.
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Nawasalimu wana JF Wakuu nimekua nikitengeneza Wine ya Russella Flowers kwa muda mrefu sasa na nimekua nikiiuza kienyeji, ila kwa sasa nataka niibrand na kuingiza sokoni kama Zilivyo Wine...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Heshima kwenu wakuu. Naulizia ni benki gani nzuri kufungua account ya USD na gharama au vigezo vyao vikoje au natakiwa kuwa na nini...? Zipi faida na hasara zake...? Inachukua muda gani kuwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hii hospitali ni kubwa sana ukanda huu wa Kinondoni na hivi juzi wameipanua imekuwa kubwa sana...ila jirani pale hakuna kabisa huduma za mazishi au supply ya vifaa vya mazishi kama gari za...
7 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari wadau Niende kwenda moja kwa moja kwenye mada. Kuna mdogo wangu anamaliza chuo mwaka huu na mwezi huu. Ameniomba ushauri wa kumchagulia sehemu ya kutafutia maisha kwa mkoa wa Mwanza. Pia...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Habari. Nahitaji msaada wa namna nitakavyoweza kupokea kiasi kikubwa cha pesa Tsh.100,000,000 kutoka nchi ya Afghanistan..... Njia nyingi za online transfer zinashindwa kutuma kiasi hicho cha...
0 Reactions
50 Replies
12K Views
Dunia inabadilika kila siku,binadamu amekua kiumbe hatari zaidi ingawa wenye upendo wapo na wabaya pia wapo. Ulimwengu huu ni wa usawa na haki hivyo kila mmoja wetu anahaki ya kupata sawa sawa na...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wadau!, natafuta dereva wa magari ya mizigo anayekwenda kenya,ambaye anayeweza kunichukulia mzigo wangu kidogo kutoka nairobi kuleta Tz,anitext +255687234549,tutaelewana.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nahitaji mtu wa kushirikiana naye kwenye biashara ya Properties management, land & house brokers, Debts Collection. Awe Arusha na mwaminifu. N.b. kampuni tayari ipo
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Jana Rais wa Ghana ametangaza kuruhusu safari za ndege za kimataifa na kuruhusu kufunguliwa kwa uwanja wa ndege wa Accra, na wiki ijayo China nao watafungua anga lao. Kuna wanafunzi wengi wa...
1 Reactions
6 Replies
896 Views
Moja kwa moja kwenye mada. Nimefikiria nikaona makoti ya leather ni mojawapo ya vitu vinavyoheshimiwa na watu hasa wa ile kanda yetu. Hivyo naombeni ushauri wenu kuhusu upatikanaji...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Success… We all aspire to it, talk about it, envy those who achieve it, we think about it, fight for it. It is really worth it. Success comes with reaching our aims and it brings us incomparable...
3 Reactions
5 Replies
961 Views
Habari, ndugu na jamaa wa jukwaa hili pendwa la biashara, leo nataka kuweka uzoefu wangu wa mwaka mmoja wa kuanzisha, kusimamia, kuendesha na kufundisha nussery and day care kwa hapa mjini , hii...
18 Reactions
18 Replies
21K Views
Wakuu baada ya post nyingi za " anaefahamu jambo hili anisaidie ", "mwenye kitu hichi anisaidie" nk nimeona nirahisishe tukutane hapa kila mtu ataje japo kitu kimoja anachokifahamu kinaga ubaga...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Do you want to start a Maize Milling Business? Unga wa ugali? Then get this 85-page guide which contains: 1. Overview 2. The Opportunity 3. The Upcountry Choice – Case Study Disadvantages...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau najiuliza swali naomba mwenye jibu aniambie hivi nani anaelipa kodi kwa Serikali ya Tanzania mtumiaji wa hii mitandao au mmiliki wa hii mitandao. Kama ni miliki kivipi na kama si kweli...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari, Jamani kuna mtu IG anajiita #vifurushi_mitandao yote(Kama sjakosea) Asee huyu mtu nlim DM akanishawish kwa screenshot nkapenda huduma hiyo nkamtumia elfu 10 Yani unambia baada ya kutuma tu...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom