Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
wakuu naomba mnijuze hivi nikimaliza diploma ya labaratory tech nikiwa nimefaulu vizuri naweza soma shahada ya medicine?
0 Reactions
14 Replies
11K Views
Mfano kwenye tangazo la ajira linataka Data Analyst ila kwenye qualification wameandika Bachelor degree ila mimi nina Masters Je, nitakuwa disqualified kwa ku orodhesha kuwa ngazi yangu kubwa ya...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Naomba kujua lini matokeo ya Kidato cha nne 2022/2023 yanatoka?
2 Reactions
9 Replies
6K Views
Nimesoma diploma maalum ya ualimu wa sekondari(kemia na baiolojia) miaka mitatu ila nimemaliza nahitaji kujiendeleza nje ya ualimu nisomee degree ya kemia- je inawezekana?
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Sote tunafahamu kuwa katika mwaka wa kwanza wa uongozi wa Rais Samia Suluhu, Serikali imefanikiwa kujenga vyumba vipya vya madarasa 15,000 kwa ajili ya wanafunzi wa Sekondari pamoja na shule za...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Wakuu kwema! Mimi niliwahi kupata alama A zote katika mtihani mara kadhaa nikiwa O level huko Kwiro Sec Moro, na pia nilipokuwa Mkwawa high school niliwahi pata A zote mara kadhaa katika...
5 Reactions
51 Replies
3K Views
Moja Kwa Moja kwenye maada kulikoni Baraza la mitihani NECTA kuchelewa kutangaza matokeo ya kidato Cha nne ikilinganishwa na mwaka Jana ambapo matokeo yaliwahi kutangazwa vilivile mwaka juzi. Je...
8 Reactions
55 Replies
5K Views
Are there any solutions for existing educational inequalities
0 Reactions
0 Replies
211 Views
Habari wana jamvi, Mimi nina Diploma ya Uhasibu nilihitaji panapo majaliwa niendelee na masomo ya chuo kikuu kwa kozi ya BACHELOR OF EDUCATION IN COMMERCE AND ACCOUNTING. Je kwa diploma yangu...
4 Reactions
42 Replies
5K Views
1. Mtu anayejua, na anajua kwamba anajua. Huyu ndiye mwanazuoni, basi mzingatieni na mjifunze kwake. 2. Mtu anayejua, lakini hajui kwamba anajua. Huyu amesahau, basi mkumbushe kimya kimya. 3...
2 Reactions
8 Replies
537 Views
Nenda moja kwa moja kwenye point huku ukizingatia kuwa wasikilizaji wako si mabubu wala viziwi. Winston Churchill aliwahi kusema, "A good speech is like a woman's skirt - long enough to cover...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimeona hadi wana screenshot eti mtoto kapata 1 ya 14. Hivi wanaijua NECTA ya f4 au 6?
9 Reactions
41 Replies
2K Views
Habari wakuu nilikua naomba kujua kozi ya B. Com in Human Resources Management vs B.com in Marketing znahusiana na nini na ipi iliyo marketable kidogo? Naomba kuwasilisha.
0 Reactions
5 Replies
736 Views
Habari za wakati huu wakuu.. Naomba msaada wa namna ya kuweza kupata scholarship za master's degree abroad Yeyote anaefahamu au mwenye experience si vibaya ukishea nasi wengi wajifunze...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kanisa la Anglican Tanzania ambao ndio wamiliki wa shule ya Sekondari Bunda Girls iliyopo wilayani Bunda mkoani Mara fanyeni uchunguzi wa kina kuhusu shule yenu. Kwanza ni tatizo la uongozi, mkuu...
3 Reactions
1 Replies
766 Views
Habari wakuu Mo scholarships hii ni fursa ya ufadhili wa masomo inayotolewa na Mo Dewji kupitia taasisi ya Mo Foundation, ufadhili huu ni kwa ajili ya malipo ya ada, malipo ya awali ya chuoni...
2 Reactions
67 Replies
5K Views
Nakumbushia tu. Hii inamaana kubwa Kwa taifa
1 Reactions
3 Replies
690 Views
Habari, Mimi napenda kujua utaratibu sikuizi wa utoaji vyeti upoje? Zamani mtu upo kigoma umesoma dar unatuma barua ya maombi ya kutumiwa cheti chako kwa njia ya posta unakipata sikuizi shida...
3 Reactions
6 Replies
672 Views
Hello Tanzania! Habari unayo trend huko kwenye magazeti ya Kimataifa Ni kuhusu lugha ya kingereza kufanywa ndio ligha rasmi na ya lazima ya kufundishia kwa Ngazi Zote za Elimu hapa Tanzania. Je...
5 Reactions
59 Replies
3K Views
Back
Top Bottom