Habari humu ndani? Nitangulie kwa kuwapa pole na hongera kwa mapambano na mwezi januari kama tunavyojua ni lazima kila tunapoanza mwaka lazima tuanze na January lakini ni mwezi ambao haujawahi...
Habari wanajamii ,hivi ni mbinu gani walizotumia kufaulu vizuri na kupata gpa nzuri ya kwenda degree kwa wale walioanzia diploma za afya kwa vyuo serikali Kama vile phamacy, clinical medicine na...
Kwa hapa JF nani anaweza nisaidia nikapata kitabu kimoja kinaitwa The Black Book au Bukula au Protofee au Book of Shadow.
Hayo yote ni majina ya kitabu kimoja tu.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Kumekuwa na malalamiko mengi juu ya lugha ya KUFUNDISHIA shuleni wapo wanaosema tutumie kiswahili wapo wanaosema tutumie kingeleza.
Sasa hebu mwenye hoja...
Habari wanandugu,
Hivi kati ya nadharia na vitendo katika kozi ya utabibu wapi ni pagumu zaidi, yaani Kama ni mwanafunzi unakuta anajua nadharia vizuri lakini ukimpeleka kwenye vitendo hajui na...
Mimi ni mhitimu wa kozi hii, nilisomea Chuo kikuu cha Rwanda (UNIVERSITY OF RWANDA) Kwa miaka 4 Na mwaka mmoja wa Internship. Nilihitimu mwaka 2020 .Baada ya kumaliza niliomba kufanya Internship...
Wale wanangu wa Tegeta high school ni Pm nikutumie mahela ila nini nataka nifanye party jangwani sea breeze wale wote wa Tegeta high school na majobless tukutane jangwani sea breeze pale...
Waungwana habari za mwaka mpya,
Nimekuja jukwaani natafuta mwalimu wa CHEKECHEA shule ipo kiluvya madukani njia ya kwenda kwa waziri mkuu SUMAYE.
Kwa aliye tayari aje PM tupange kazi, muwe na...
Habari viongozi? Ni muda kitambo nimekuwa nikifuatilia kujua historia ya chuo kikuu cha Dar es salaam kujua watu waliofanya vizuri zaidi katika kitivo kongwe cha sheria. Kwa ufuatiliaji wangu...
Kanuni ya pili ya Thermodynamics yakanusha Evolution
Evolution Deceit. com - This website is the interactive version of the book "Evolution Deceit" by HARUN YAHYA
KANUNI (Law) ya pili ya...
Hivi karibuni kumekuwa na uandishi wa barua za serikali ambao kila aya inakuwa na namba. Kinachonishangazaa ni kwamba barua zote hazina aya ambayo iko labelled 1, ila zote zina aya ambayo iko...
Kutokana na tabia yetu ya kutoijali elimu wananchi hatujui kuwa leo ni siku ya kimataifa ya elimu, ingekuwa ni siku ya walevi tungetangaziwa, siku ya wanawake tungetangaziwa, siku ya kuondoa...
Leo nimekumbuka historia hii kama kumbukumbu:
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam almaarufu kama UDSM kilianzishwa mwaka 1961 kikiwa na kitivo kimoja tu cha Sheria. Kilianzia Lumumba na sasa Mwalimu...
ILI KUINUA ELIMU NCHINI TUNAHITAJI KUWAJIBIKA
Ili kuweza kuinua ubora wa elimu tunapaswa kutambua kinaganaga maeneo yote ya uwajibikaji, kutambua wakati maeneo hayo yanapokuwa na tatizo, mahali...
Mods naomba msihamishe huu uzi kwenye hili jukwaa naona ndo nitapata msaada kirahisi. Ndugu WanaJF nilikuwa naomba ushauri
Mimi nimesomea shahada ya uhasibu na fedha ila nawaza kusomea Mambo...
jamani mlosoma hi koz au mnaofahamu ikoje nisaidieni manake nimekosa food science halafu nataka nisome hii kama daraja la kufikia kweny food science kupitia hii kozi
wenye ushauri wowote...
Commercialization ya elimu ikichochewa na grading ya matokeo kitaifa imegeuza watoto wenu watumike kama objects za biashara. Watoto wanateswa, pump material, kisa A. Ndio maana hata A hazina maana...
Nashauri baraza la mtihani wasiishie Kwa kidato cha pili, darasa la Saba na darasa la nne, warudishe pia na kidato cha nne.
Kuna madogo huku mtaani tulikua tukiwaambia wasome walikua busy na...
Habari wakuu, naomba msaada
Kila nikijaribu kuingia kwenye account inaniandikia "access denied make sure you provide correct username and password" najaribu ku reset password lakini bado inagoma...
Nimekwenda shule fulani hapa Dar kutaka kumuhamisha kijana wangu anayeingia STD 7 nikaambiwa gharama ni sh 10000/=, Is this real?
Cha ajabu risiti hatoi nilipo muhoji maelezo yake hayakunitosha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.