Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari, kama kuna uzi naomba niunganishwe tu Naomba kujua walimu wenzangu huko mlipo hadi kufikia siku mmefunga shule mmefikia wapi kuhusu maazimio ya kazi? Maana mwaka huu unaoisha nikikumbuka...
1 Reactions
11 Replies
875 Views
Habarini wadau Nimependezwa mno na kazi za melini. naomba kama kuna Mdau anafanya kazi kwenye cruiseship anipe muongozo kozi gani za kusoma ili niweze kupata kazi kwenye cruiseship Asanteni sana
1 Reactions
1 Replies
538 Views
Mtu aliyehitimu diploma ya kada ya Pharmacy anaweza kujiendeleza kama MD (Medical Doctor) katika shahada? Nilikuwa naomba mwenye ufahamu anisaidie.
2 Reactions
50 Replies
8K Views
Kuna vitabu vya huyu mwamba, naona ameandika vitabu vingi vya maths advanced. Nimejaribu kuwasiliana nae akanitumia vingine vingi tu! Nawewe jipatie na unaweza kumwambie tu neno ASANTE sio lazima...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
yupo expart wa masomo ya physics na mathematics kwa o- level ni mhitimu wa diploma katika course ya engineering ana uwezo mzuri wa kufundisha....call kwa maongez 0733480567 mwalimu yupo iringa
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari za asubuhi, Leo ndio tar 27, kuna mwombaji wa mkopo yoyote yule ambaye amepata update kwenye dirisha la tatu? Kwa ndugu yangu ngoma bado mbichi.
3 Reactions
267 Replies
21K Views
Naomba msaada wa review classes mitihani ya bodi mkoa wa morogoro.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Unakumbuka enzi izo za vibomu? wengine wakiita nondo, uangaliziaji na makamati ya kimkakati wakati wa mitihani mashuleni? ujanja ujanja wa kila namna ilimradi tu watu wafaulu mitihani. Baadhi ya...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Nahitaji kujua kozi inayohusiana na graphics designing na motion graphics chuon, ni course ipi naweza kwenda kuisoma kwa wanaofaham?!
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu kwa wale wadau wa elimu naombeni mnipe changamoto za twisheni ili niweze kuzihandle vizuri.. Lengo nipige kuanzia darasa la 1 adi form 6 Leo nimeanza na 5 form 4 watarajiwa vipi niwafanyie...
0 Reactions
37 Replies
2K Views
Mtoto mwenye kipaji anapopangiwa kwenda kusoma shule isiyo ya umahiri (isiyo ya vipaji) huyu kipaji chake kitakua ktk mazingira ya shule isiyoendana naye?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kati ya hizo hapo juu,..tupia coment yako ipi ni nzuri,ngumu na yenye maslahi zaidi? 2pia mshahara wa kila moja kama unajua! [Updated-boy"0768260834"]
0 Reactions
121 Replies
13K Views
Help
1 Reactions
4 Replies
696 Views
Habari Wana JF, nilkuwa nataka kujua kuhusu coz ya MOTOR VEHICLES MACHENICAL pale veta Je, lazima uanze na level ndogo au unaweza ukanza at na level 2 ..na huwa inachukua muda gani kusoma long kozi?
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndg zangu habari za leo. Mwanangu amechaguliwa kujiunga na hii shule. Wameandika pale kuwa ni shule teule je Ina bweni. Swali la kizushi. Ina nini unique wanaojua wanijuze
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Si mara ya kwanza kuandika Uzi kama huu, naomba wadau wa elimu watafakari hili, kumekuwa na wimbi la watu wengi wasiokua na ajira pia hawajui wafanye nini kutokana na walichokisomea hakina...
0 Reactions
0 Replies
334 Views
Msaada wana Jf ,nahitaji kupata shule za advance zenye mchepuo wa PCM na PGM za private na za serikali zinazofanya vizuri
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Katika harakati za kusaka elimu vyuoni wanafunzi wanakutana na kashikashi nyingi sana zinazosababisha wakati mwingine mpaka mtu kuachana na mambo elimu, mfano kujikuta uko kwenye mgogoro na...
6 Reactions
104 Replies
11K Views
Ninahitaji ku improve Kingereza changu kwa sababu nafanya kazi sipati muda wa kujiunga na chuo. Kwahiyo nilikuwa nahitaji msaada wa kupata mwalimu wa kuwa ananifundisha hasa wakati wa jioni. Niko...
1 Reactions
2 Replies
373 Views
Full name: The University of Dodoma Shortform(s): Udom Founded: 2007 as State Huge University in the country Location: Dodoma Capital City Website: udom.ac.tz Mods please put this thing 📌...
3 Reactions
77 Replies
7K Views
Back
Top Bottom