Kuna baadhi ya kazi zinaomba utume na leaving certificate. Je, mfano sina leaving certificate alafu nina vyeti husika vya kuhitimu level hizo za elimu na nikatuma kwenye maombi nitakuwa sahihi au...
Kama ni training ya kimataifa unatakiwa uiombe kwa ku apply kupitia email na sasa mbali na cv wanahitaji pia support letter kutoka kwa mwajiri wako pia na motivation letter page moja. Swali ni je...
Competence based education, juhudi ziimeonekana katika kutekeleza sera hii kwa kwa vitendo kwa ujenzi mkubwa mpya wa madarasa kwa hakika Mimi pia ni shahidi mwaka wa fedha 2021/2022 madarasa mengi...
takrban wanafunz 7000,bado wanahtajika udom kujazilishia nafasi,..so kwa hali hii CHANGING OF COURSE IS ALLOWED TO ONLY COURSES WITH SLOTS!**updatedboy**
Jamani kuna njia imegundulika na hu2miwa na wa2 wengi hasa waliochaguliwa cozi ambazo hawazitaki.,na wanataka kubadili.,tofauti na njia ya kwanza ili uweze kubadili ni lazima ufike chuoni ufanye...
Habari za saa nyote natumai ni njema, moja kwa moja wacha niende katika jambo lililonifanya niandike lalamimiko langu.
Lalamiko langu linaenda kwa shule za msingi na upili katika taifa letu la...
Yahoo!
Imeshathibitika pasi na shaka kuwa huu mtaala wa elimu aliotuachia mkoloni hauna manufaa yoyote kwa mtu mweusi, unazalisha wajinga na waoga na masikini wa fikra.
Ni heri mtu asisome (aishie...
Habari wakuu,
Tangu zamani nilikuwa na hilo wazo lakini kwa sasa naona interest imezid kuwa kubwa. Tangu zaman nimekuw mtu wa kupenda mambo ya umeme na nlipokuwa mdogo (primary) nlikuwa mbunifu...
TAHADHARI: [emoji599][emoji599][emoji3544][emoji3544][emoji3544][emoji117]Je unajua unatakiwa Kuzingatia Mambo Muhimu haya Wakati wa Kununua Betri kwa Ajili ya Laptop yako?
1. Aina/ Model ya Betri...
NDUGU ZANGU naomba nipate uelewa kidogo juu ya jambo langu hili
Nipo chuo mwaka wa pili nasomea Tax managment ila nimepata mdhamini yeye ni Daktari huko USA, kanipa udhamini wa kunisomesha ili...
Vyuo vya Mafunzo ya Ufundi Stadi nchini (VETA) vimetoa orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya ufundi stadi kwa mwaka 2023.
BONYEZA HAPA: Kuangalia majina ya...
Habari wanajukwaa.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31 na nina degree ya sayansi na elimu (education).
Tangu nimemaliza elimu hii miaka 8 iliyopita nimefanya kazi kadhaa hapa nchini kama...
Wanabodi...
Mimi ni mtumishi wa umma nina mpango wa kwenda kusoma masters ya....either...
Education
Physical education
Social Works
Au nyingine yoyote
Shida yangu sijui nianzie wapi...
Nataman...
Habari wadau wa elimu,
Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa pumzi hii ninayotumia mpaka sasa. Nianze na kadhia yangu niliyoipata heslb, mwaka jana baada ya SSH kuamua kuondoa baadhi ya makato gandamizi...
Habari gani members wa JF? Kama una swali lolote kuhusu Hifadhi zetu za taifa, pia maswali kuhusu wanyama pori wa hapa EAST AFRICA(mammals,reptiles,birds,etc) na baadhi ya maswala yanayohusu...
Ukiangalia kwa undani graduates wa matokeo yenye GPA kuanzia 3.8 sio wengi sana. Serikali inaweza kuwa accommodate vizuri kabisa.
Serikali ianzishe mfumo wa internship kwa hao graduates kwa...
Baraza la mitihani limekubuhu kwa tabia ya kufuta na kufungia shule kwa kisingizio cha udanganyifu katika mitihani. Hii inafanyika kwa namna ya kuonyesha kuwa udanganyifu huo unafanyika kwenye...
Thinkers naombeni mnieleweshe kuhusu hii course ya mba(marketing) kwa vyuo nilivyovitaja hapo juu Hadi kumaliza miaka miwili bajeti niandae shilingi ngapi?
Changamoto za vyuo nilivyovitaja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.