Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Je, ni Mfumo gani Bora na unaleta Maendeleo ya haraka kwa nchi kama Rais akiwa Mahiri lakini anaongozwa na Nguvu ya Kikabila, anazungukwa na Wataalam Wabobezi wengi na ni Dikteta Mbunifu na ule...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Asalaam Aleykum, Naona Tamisemi walishaweka form za SelForm katika tovuti yao, hivo kama mdau wa elimu(mhadhiri, mkufunzi, mwalimu na mwanafunzi n.k) Karibuni tutoe ushauri juu ya namna ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sanaa mara nyingi imekuwa ikitokana na kipaji ambacho msanii anazaliwa nacho, msanii aliyezaliwa na kipaji fulani hufanya vizuri zaidi katika fani husika kwani kitu afanyacho kipo kwenye damu na...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za mda Tena wanajukwaa, Kama ilivyoada naomba kupata ufaham juu uwepo wa fursa katika tasnia ya geoscience hususani fani ya geophysics hapa nchini kwetu na maslahi yake kwa ujumla. Mawazo...
1 Reactions
9 Replies
872 Views
Habari zenu wapendwa wanajamvi Ninapenda kuwa mtalaamu /fundi wa kuseti madishi ya ving'amuzi kama vile DSTV, Azam n.k. ila sijui wapi naweza kupata elimu hiyo. Naomba msaada kwa mwenye kujua...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Kutokana na kukua kwa teknolojia na taaluma za ufundi duniani Kuna mabadiliko makubwa Sana yanapaswa yafanyike kwenye mfumo mzima wa elimu yetu ili tupate vijana wenye ubunifu na uwezo wa kupiga...
3 Reactions
5 Replies
749 Views
Hellow Habari wanaJF Napenda kuulizia ivi kozi ya ordinary diploma in social Works inahusiana na mfano ukisomea hiyo kozi unakuwa nanii na unafanya kazi kwenye kampuni au ofisi zipi. Naomba...
0 Reactions
0 Replies
633 Views
Kama ilivyoelezwa Mimi naelekea kuhitimu bachelor yangu katika chuo cha kumbukumbu cha mwalimu Nyerere this year 2022 . Kama wazoefu naombeni ushauri wenu niingie mtaani na fikra gan kulingana na...
0 Reactions
22 Replies
1K Views
Watu wa hesabu mkuje hapa [emoji116] Kuna voucher ya bure ukitupa jibu sahihi Haya kazi kwenu wale wa HKL ... mtuache kwanza
1 Reactions
9 Replies
804 Views
9+9=6
1 Reactions
7 Replies
733 Views
Habari zenu. Swala la elimu nchini Tanzania, ni swala ambalo wanasiasa wengi nchini iwe chama tawala na hata vyama pinzani kiujumla Kwa pamoja wameshindwa kuona kama ni miongoni mwa kikwazo Cha...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
*SUP SIO KILEMA* [emoji41][emoji15][emoji35][emoji41][emoji15][emoji35] Sup kwangu si kilema, Ni matokeo ya kitaaluma, Kama kusoma nilisoma, Mtihani nikajibu vema, Moduli zote zilituama...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
FIELD MOROGORO Naomba msaada kwa anayefahamu maeneo ya kufanyia field morogoro mm nakaa kihonda magorofan na nasoma bachelor ya it chuo cha uhasibu arusha.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habar yako usomaye Uzi huu matumaini uko sawa. Nirejee kwenye Uzi Niko na mdogo wangu wa kike Yuko good mno kiakili binafsi namkubali Sasa alifaulu form 6 pcb 2021 kwa 2.10 Sasa lengo lake...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Good people's, Nahitaji MTU anayejua Graphics and design, anifunfishe elimu ya awali kuhusu hii Elimu, Turlewane Kwa malipo ya kitanzania. Awe Dar es salaam, na awe flexible kuja Posta Check...
0 Reactions
1 Replies
474 Views
Mshkaji wangu ana bachelor ya education (Chemistry & Biology). Katoka na G.P.A ya 3.8. Sema anataka aongeze elim awe lecturer ila wa vyuo vya afya coz ni vingi kwa sasa. G.P.A yake ndogo so...
1 Reactions
40 Replies
6K Views
Guys naomba msaada wenu! Mimi nimemaliza diploma nataka kujiunga na degree mwezi wa 10 ila nahitaji kufanya research ya course ninayotaka kuisomea. Nahitaji kujua course ya HUMAN RESOURCE AND...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
wakuu nina mdogo wangu anasoma diploma ya biomedical engneering. Sasa anauliza je GPA ipi ni nzuri zaidi kwakua hii semister ana 3.3 msaada kwenu wakuu yupo first year ni vzuri zaid akijua GPA...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Haka kamjadala kamenifikirisha sana, Je! waruhusiwe kutumia simu mashuleni? Naskia mashule ya mafeza boys, mshuke ya st. nani huko wanaruhusiwa kutumia simu ndomana wanafaulu sana ni kweli? Akili...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Back
Top Bottom