Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari wana jamvi, Nilkuwa na omba kujua kiundani kuhusiana na hii kozi ya post graduate deploma in education. Mimi baada ya kumaliza degree yangu nataka ni badili fani. Swali langu ni ili baada...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu, kuna mtu anajua websites wanazofanya psychometric evaluation test for free?
0 Reactions
0 Replies
730 Views
Somo, hapo nimeitwa kwenye interview ila vyeti vyangu wanavyo NECTA. Naombeni muongozo wa kuvipata maana mara ya mwisho waliniambia wataniita ila muda sasa umepita.
0 Reactions
4 Replies
675 Views
*SUP SIO KILEMA* [emoji41][emoji15][emoji35][emoji41][emoji15][emoji35] Sup kwangu si kilema, Ni matokeo ya kitaaluma, Kama kusoma nilisoma, Mtihani nikajibu vema, Moduli zote zilituama...
8 Reactions
14 Replies
3K Views
Vyuo Vikuu pendwa havipo hata kwenye top 3000 global universities rankings! Hivyo chukueni tahadhari. **USHAURI: Bora hata umpeleke mtoto vyuo vya South Africa kuliko Ukraine. NB: Hakuna mtu...
7 Reactions
36 Replies
2K Views
Habari ya muda wadau wa elimu. Mimi ni kijana wa miaka 26 na nina Diploma ya Clinical Medicine ambayo nimehitimu 2020..tangu nipo mtaani kufanya kazi sehemu mbali mbali(vijiwe) nimejikuta sina...
6 Reactions
59 Replies
12K Views
Habari wadau, Wapi naweza kupata mafunzo ya muda mfupi ya Engineering Drafting and design (AutoCAD/Solid works)? Pia nijue vigezo na masharti. Asanteni
3 Reactions
6 Replies
766 Views
Habari za leo jukwaa la Elimu Naomba kutoa wito kwa ndugu zetu mliosoma kozi tajwa hapo juu tupeane mawili matatu yaliyojiri baada ya kuhitimu hii kozi Naomba kufahamu 1. Uwezekano wa kuajiriwa...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Poleni na majukumu wapendwa. Binti yangu kachaguliwa kujiunga na St Marian Girls High School kwa combination ya HGE. Anatakiwa kuwasili shuleni tarehe 8th Feb kwa ajili ya Pre-form 5. Najua...
3 Reactions
88 Replies
23K Views
Naombeni ushauri mwanangu amemaliza form 2 2017 lakin bado hajafanya NECTA form 4 yani baada yakumaliza akurudia form 3 shule nyingine na saivi yupo form 4 sasa shule inadai prem number naipataje.
1 Reactions
8 Replies
12K Views
Wakuu msaada wapi naweza kujifunza hizo kozi hapo juu popote pale ndani ya muda mfupi na nikawa fundi mzuri asante. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Hlw, naomba msaada tafadhari Niko mwenye mchakato wa kuama chuo Ila nimekwama kwenye stage ya 5 naambiwa Sina vigezo japo vigezo vyote ninavyo naomba msaada nifanyenn Apo..? Kingine sijafanya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mwenye ujuzi Naomba Anijuze, Ni Baada Ya Muda Gani Vyeti Vya Form IV Vinarudishwa Baraza La Mitihani, Au Vinaendelea Kuwepo Shuleni Siku Zote? Kuna Ndugu Alimaliza Shule Mwaka 2012 Anataka...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari wanandugu, Nije kwenye point moja kwa moja, mimi nilikua nafuatilia uhamisho wangu wa kutoka chuo fulani cha private kwenda chuo cha serikali. Mimi nilimaliza mwaka wa kwanza na niliscore...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Kumekuwepo na sera ya ufundishaji wa wanafunzi kwa kujuimuisha wenye mahitaji maalum na wale wa kawaida katika shule/ darasa moja. Wanafunzi hawa katika baadhi ya shule wanafundishwa na walimu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mwezi wa Pili 2022 Mm na Jamaa Tulilipia Malipo ya Huduma ya Transcript kwenda NACTE ila mpaka sasa kimya. Tumejitahidi kuwapigia kupitia Namba zao Ambazo Zinapatikana ktk tovuti yao Cha Ajabu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hapa namaanisha kwa wale wanafunzi tuliobahatika kusoma shule za VIPAJI maalumu ingawa wengine wanaponda kama vile Msalato, Mzumbe, Kibaha, Tabora boys, Tabora girls, Ilboru na Kilakala. Binafsi...
12 Reactions
493 Replies
57K Views
Wakuu habari Sikufanikiwa kumaliza degree yangu pale IFM, niliishia mwaka wa pili, kutokana na sababu fulani,fulani.. Ila wamesema, nitapewa cheti, as a Higher Diploma student, kama nitahitaji...
0 Reactions
0 Replies
576 Views
Habari wana jf. Mimi ni mzazi na nategemea mwanangu kuhitimu daresay la 7 mwaka huu hivyo kujiunga na kidato cha kwanza mwakani mwaka 2023. Ningependa kujua makadirio ya Ada katika shule hizi...
2 Reactions
16 Replies
6K Views
Bros' &Sis Msaada wenu tafadhali! Wadogo zenu tuliojiunga chuo directly from O'Level tunaomba msaada wenu juu ya matumizi bora ya scientific calculators., Ni kuhusu ku-perform shortcuts katika...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Back
Top Bottom