Wakuu naomba mwenye kujua hii course baada ya kumaliza nategemea kufanyia kazi maeneo gani,lakini pia kuna hii Bachelor degree in human resource management maeneo gani nitatakiwa kufanya kazi Asanteni
Habari wakuu. Hebu naomba mtupe uzoefu wenu kwnye hizo kozi kuhusu:
1. Vyuo vinavyotoa hizo kozi
2. Gharama kwa chuo ulichosoma
3. Course duration.
4. Upatikanaji wa ajira na fursa za kujiajiri...
MAOMBI YENYE KUBAHATISHA
kawaida kila mtu mwenye uhitaji ni lazima ajitutumue kuhakikisha anafanikiwa kwenye malengo yake alojiwekea kwa namna moja ama nyingne katika mazingira aliyopo na...
Napenda kujifunza mambo hayo kama tittle inavyojieleza. nina msingi mzuri wa computer networks hasa routing and switching. Lengo langu ni kwenda zaidi ya hapo. Msaada wadau sehemu ya kuanzia.
Eeeh mwenyezi mungu uketie mahali pa juu Sanaa tunahitaji maombi yako kwa vijana hawa wanaokwenda kufanya mtihani wa kidato Cha nne wasaidie mungu mwenyezi waweze kufanya mtihani wao salama
Habari wana jf,
Naomba nisiwachoshe niende moja kwa moja kwenye mada.
Naomba mwenye mawasiliano ya shule tajwa hapo juu ya St Teresa of avila girls Secondary iliyopo MWANGA, KILIMANJARO...
Nimegundua kuna madudu na ubabaishaji mkubwa sana wa malipo ya fedha za Kijikimu(Meals and Accomodations) kwa wanafunzi wa Chuo kikuu cha ST. AUGUSTINE MWANZA, ambazo kimsingi ni fedha...
The selection of a suitable topic is the first major step in writing a thesis or dissertation. For some students this is an easy task. They have known what they wanted to study from the time they...
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza na kwa kuzingatia JF ni uwanja mpana unaojumlisha wazazi, wamiliki wa shule, maofisa wa elimu wenye wadhifa tofauti na pia kwa vile waalimu wamo humu basi...
Habari wana jamii,kuna utaratibu wanaufanya hawa jamaa wenye hii shule wanapokea wanafunzi vizuri tena kwa interview na wanachagua watoto ambao wapo vizuri kichwani,tatizo linakuja form one na...
Kumekua na uandishi wa ajabuajabu wa meseji kwenye simu bila kujali unayemuandikia ni nani na ana umri gani. Mfano wa maneno ni xaxa=sasa, p=poa, vip=vipi, na ufipisho usioleta maana halisi ya...
Hii news ni very interesting na Datas zinaonyesha tukiwa serious na CNG(compressed natural gas) tutakuwa tumejisaidia sana kiuchumi, bei ya CNG ni 45% less compared to imported oil, CNG ni ya...
Nadhani wote ni mashahidi wa shule hizi za serikali hasa zile kongwe kabisa kwani miundombinu sio rafiki tena.aidha kwa wakati zilizijengwa au kukosekana kwa ukarabati wa mara kwa mara.
Shule...
Naomba kujuzwa Nini tofauti ya kiutendaji Kati ya mtu aliye soma course ya MASTERS IN QUALITY MANAGEMENT na MASTERS OF EDUCATION IN QUALITY MANAGEMENT
na vyuo gani TANZANIA unaweza soma course...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.