Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habarini wana jf ,,nilikuw naomba kujuzwa kuwa boom huwa ni shingap na inatolewa kwa miezi mingap Sent from my itel it1513 using JamiiForums mobile app
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Wakuu naomben ushauri, nataka kurisiti mtihan wa kidato cha nne, eti kweli ukitaka kurisiti unarudia masomo yote? Au naweza chagua yale niliyo feli tu? Msaada
1 Reactions
9 Replies
8K Views
Wana JF naomba kujuzwa ukweli wa hili swala Ivi ni kweli Degree ya ukunga na uuguzi soko lake la ajira ni finyuuu?
2 Reactions
10 Replies
950 Views
Kila msemo au methali au kitendawili huwa kina maana yake na ufafanuzi wake pia... ila Kuna huu msemo unasema mwenye huruma hanaga bahati.. huwa siuelew kabisa maana yake kama kuna mtu anajua...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
habari zenu sorry nlikuwa nauliza ivi kukata rufaa account zetu za SIPA tunaweza edit kama kuongeza cheti cha kifo na vitu vingine ama utaratibu unakuwaje kwa maana nataka nitafute cheti cha kifo...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Salam nyie wanachuo mnaokuja huku Dar, ushamba wenu wa mikoani muuache Ubungo, wengi mnakuja na ulimbukeni na ushamba mnaishia kupigwa hela na makahaba wa mjini, take care. Soma, fanya vitu vya...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Nahitaji kwenda chuo na sitaki nichukue loan! Coz nna biashara yangu naingiza 150k per month Ushauri wenu wasomi mlio pitia university
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Angalia kiambatisho, mahsusi kwa wenye diploma na kwa waliosoma kidato cha sita. JIUNGE SASA http://admission.aru.ac.tz/
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Dogo nimemlipia hela ya usajili wa kufanya mtihani QT(form 4) NECTA, pamoja na kumlipia kituo cha kufanyia huo mtihani. Ila sasa anasema kuna fomu za kujaza kwa ajili ya huo mtihani ambazo...
4 Reactions
37 Replies
2K Views
Sabakher Wakuu; Mim Ni Clinical Officer Mweny Diploma Kutoka Lugalo, Experience Ya Miaka 2, GPA ya 3.9!! Nimependa Kujiendeleza Katika Pitapita Zangu Mtandaoni Nikakutana Na Kozi Zifuatazo...
0 Reactions
13 Replies
14K Views
Mimi ni graduate wa Sua Bsc. Biotechnology and Laboratory sciences (BLS) ambayo ni more applicable research and Laboratory issues, japo kwa Lab za hospital kuna changamoto kubwa juu ya kukosa...
0 Reactions
2 Replies
685 Views
Kumekuwa na mkanganyiko kati ya hizo kada mbili. Ubishi unakuja kwenye swali:" Je, mhitimu wa diploma nae ni daktari?". Nimecheck maandishi ya Ofisi ya Rais Tamisemi na pia yale ya Benjamin...
2 Reactions
7 Replies
6K Views
Hizi degree hapa chini hazina kazi tena mtaani, kumsomesha mwanao ama serikali kukubali vijana wake wazisome basi ni uhujumu rasilimali-vijana. Hizi zinatakiwa zibaki kwa wale wanaoenda ku-upgrade...
10 Reactions
57 Replies
7K Views
Kulingana na taarifa ya matokeo ya darasa LA saba halmashauri ya Chato imeingia top ten ya halmashauri zilizofanya vyema mtihani wa darasa LA saba Mwaka huu 2017, kumbukumbu hazionyeshi kwa miaka...
2 Reactions
14 Replies
6K Views
Mimi ni graduate wa Sua Bsc. Biotechnology and Laboratory sciences (BLS) ambayo ni more applicable research and Laboratory issues, japo kwa Lab za hospital kuna changamoto kubwa juu ya kukosa...
1 Reactions
1 Replies
799 Views
Baraza la mitihani (Necta) limetangaza matokeo ya darasa la saba na kuonyesha kuwa ufaulu umepanda ukilinganishwa na mwaka jana ,huku kanda ya ziwa ikiongoza kwa ufaulu kwa mara ya tano mfululizo...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
"Nawapongeza sana Viongozi,Walimu,Wanafunzi na Wazazi kwa ufaulu mzuri uliopelekea Kigamboni Kuwa ya tisa Kitaifa Katika Matokeo ya Darasa la Saba.Nimefarijika Sana" @DocFaustine Mbunge wa Kigamboni
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Part One Title: KUBADILISHA MFUMO WA ELIMU ILI KUPATA SHULE ZINAZOJITEGEMEA NA KUJIENDESHA KWA FAIDA BILA KUTEGEMEA KARO, VILEVILE KUZALISHA WAHITIMU WENYE UJUZI WA MAZINGIRA YAO NA UHAKIKA WA...
2 Reactions
29 Replies
4K Views
Habari za leo wadau wa jf ,bila shaka weekend imekaa poa. Naomba mwenye uelewa kuhusu kushikiliwa (withhold) kwa matokeo ya darasa la saba kwa baadhi ya shule ,je ni nini hatma ya wanafunzi na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hello, guys kdogo nmeptia nyuz znazohusu chuo kikuu cha Kampala humu jf nyingi znakiponda chuo hiki lakini nmejaribu kuziangalia nyingi almost zote ni za nyuma kidogo kuanzia 2019 na kushuka chini...
2 Reactions
45 Replies
6K Views
Back
Top Bottom