Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Eti wakuu. Chuo gani Tz kinatoa degree ya physics, hesabu, biology au chemistry. Yaani somo kama somo.
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Hellw guys.. Natumaini mu wazima wa afya na mnaendelea na harakati za kulijenga taifa. Niende moja kwa moja kwenye point tarehe 18 NACTE walifungua dirisha kwa wanafunzi wanaobadili funi za...
0 Reactions
1 Replies
737 Views
Nimemaliza mwaka jana elimu ya kidato cha sita mchepuo wa sayansi, PCB na matokeo yangu ni CHEM-C, BIOS-C na PHY-E Niliomba msaada wa kutaka kurudia kufanya mtihani wa somo la PHY ili nikasome MD...
0 Reactions
33 Replies
8K Views
Naombeni msaada wa notes za pharmacology,parasitology,na anatomy
0 Reactions
0 Replies
899 Views
Habari Wana JamiiForums! Poleni na harakati za utafutaji wa riziki, hongereni pia. MUNGU awajalie katika utafutaji wenu. Hili ni jukwaa la elimu, kama mada inavyojieleza, naomba tupate elimu...
1 Reactions
5 Replies
721 Views
Kuna vyumba na hostel vipo karibu na vyuo tajwa hapo juu kwa bei tofauti Tuwasiliane kupitia whatsap number 0692235221 Nawasilisha
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Vijana,someni fani zinazowaachia ujuzi, haya mambo ya kuchagua fani ambazo ni ngumu kujiajiri ni sawa na kupoteza fedha zako. Chukulia mfano, labda umesoma mambo ya historia au fani zenye...
6 Reactions
8 Replies
1K Views
Samahanini.kuna mdogo wang kachaguliaw UDOM course ya IT,anataka akajaribu kufanya transfer ya course kutoka course ya IT kwenda MD kweny matokeo yake ya form six ana D flat dvs 2 point 12,,,,je...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Habari wadau,mimi ni binti wa mwaka wa pili wa degree ya udaktari.Kipindi chote cha masomo wakati nipo mwaka wa kwanza nilikuwa na hili swali Ila nimekosa jibu lake nikaona vyema nije kuuliza kwa...
4 Reactions
42 Replies
6K Views
Nimepata Ada laki nne na meals and accommodation Mil2 na 99500 je naweza kusoma Chuo cha Ada ya Million moja na laki moja?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau kwa anayejua tarehe ya kufungua semister ya kwanza chuo cha UDOM kwa mwaka wa 2021/22
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Ni kwa ajili ya watoto wote wanaosoma degree za B.Sc. Engineering.... na B.Sc. (Mathematics,....) MUBARIKIWE NA BWANA
5 Reactions
20 Replies
4K Views
Ukiangalia ile pdf ya loan board watu wanawastan wa ada shilingi 350000 rough estimation, vyuo vingi ada ni mill +. Wanachuo wengi ada wanajilipia na huwa wanalipia kupitia like boom la kwanza...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Napenda kuwasalimuni wote humu!! Mm mtanzania na familia yangu tumejipangusa mpaka tumefanikiwa kupata nchi India kupitia Maagenti Kwa kuna changamoto zimejitokeza toka mwaka Jana 1.Ni zaidi ya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wale Ambao mlikuwa hamkeshi Na Mbu darasani, miguu ikiwa kwenye beseni la maji kama Sisi ila mnaongoza ikija mitihani. Twende kazi 1,2,4,8,16,31,?
1 Reactions
5 Replies
884 Views
Habari wakuu! Niwapongeze wote waliochaguliwa vyuo mbalimbali Tanzania, You guys you have made it, Bingo! Pia, niwape pole kwa waliokosa chuo, maisha ni safari na kila kitu kinasababu zake...
5 Reactions
205 Replies
18K Views
Habari! Baada ya Bodi ya Mikopo( HESLB) kutangangaza majina ya wanafunzi ambao ni wanufaika wa mikopo kwa awamu ya kwanza(Batch one Beneficiaries) Wanafunzi wa Afya hasa hawa wa M.D...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimemleta mtoto wa ndugu yangu hapa kuripoti tawi lao la Mtwara, dogo alinyoosha dv 2 safi ila wamempanga kuanza cheti hapa. Ila kwa kweli sijui kama hichi chuo kipo vizuri kwa kweli au ndio...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Nilichaguliwa vyuo viwili UDOM na Mzumbe University lakini nilikofemu kwenda Mzumbe nikijua nitapata mkopo wa kutosha kutoka bodi lakini nipewa mikopo mdogo sana . Wanajukwaa kuna uwezekano wa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa wale waliopita vyuo vya IFM na IAA, Naomba ushauri wenu wa wapi pazuri kusoma hiyo Master ya Accounting & Finance.Ninachohitaji zaidi ni kuhusu Resources na Course contents. Wapi naweza...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom