JE, WAZIRI WA ELIMU, PROF JOYCE NDALICHAKO ANAFAHAMU ADHA HII?
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) ni chombo kilichoanzishwa kwa Sheria ya Bunge Sura Namba 129 ili kusimamia na kuratibu...
Wakubwa,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21, mhitimu wa kidato cha sita mwaka 2021,
Nilichaguliwa kujiunga na chuo kikuu cha Dar Es salaam, katika shahada ya kwanza ya POLITICAL SCIENCE AND...
Habari waheshimiwa?
Mimi nimechaguliwa kusoma course ya Electronics and Telecommunications Engineering DIT.
Ningependa kufaham hiyo course kwa hiki chuo wanafundisha vizuri? Practicals zipo za...
Nafahamu mpaka sasa upangaji wa mkopo kwa wanafunzi unasuasua japo mnaeleza pesa mnayo bil 570 wanafunzi nusu ya zaidi ya waliomba hawajui hatma yao (mnachelewa).
Kupanda na kushuka katika maisha...
Mwaka mpya Wa masomo unaenda kuanza,vyuo mbalimbali vimeanza kupokea wanafunzi wa elimu ya juu.,nimewiwa kuandika mada hii kutokana na changamoto mbalimbali ambazo zinaweza kupelekea mdahiliwa...
HESLB bodi ya mikopo wanadai upangaji mikopo bado unaendelea wakati tunavyojua awamu ya pili ilitakiwa kutolewa tarehe 21.
Wasiwasi wakuu, tutiane moyo kwa hilo!
Kwema wadau?Asee wahusika ni lini mtamaliza kufanya Selection za majina ya wanafunzi waliodahiliwa kwa awamu ya nne na ku release watu tupo dilema sana.
Naamin sasa ifike wakati kila mtu aamue kuvaa uhusika wake na kuchukua majukumu aliyonayo kama msimamizi au kama anaesimamiwa
(UMRI HAUFICHI DHAMBI)
Kauli hii itufanye tujichanganue kutokana na...
Wakuu habari.
Nina bwana mdogo anahitaji kusoma post graduate degree hapa bongo ama nje ya nchi.
Master degree anayotaka isizidi miezi 12. Vyuo vingi hapa Bongo master degree zao ni miezi 18 ama...
Habari za muda. Wakuu naombeni msaada kwa yoyote mwenye PDF ya kitabu cha hiki cha (THE MINISTER'S DAUGHTER AND BEGWANI THE BEGGAR) kwa maana nimekitafuta sana bila mafanikio. Naimani ujio wangu...
Heshima kwenu wadau wa JF!
Kwa wanafunzi walio dailiwa SUA 2021. Nichukue nafasi hii kuwakaribisha sana kwenye chuo chetu pendwa cha SUA.
Unaoofikiria kujiunga na SUA mambo ya muhimu ya...
Nature of the Precious Stones or Nav Ratnas
1. Ruby:
This has red colour. Ruby is also found in rose, black, yellow and sky blue colours.
2. Diamond:
This is found in white, yellow, red, blue...
Mi nimesoma PCB, katika A-level niliyosoma kulikuwa na PCB na CBG. Katika tuliomaliza form six wengi wamefika vyuo vikuu hata wale waliopata div 3 na 4. Kuna walioenda computer science, food...
Ndugu zangu wapendwa wanajamiiforums nina wasalimu.
Mimi nilihitimu kidato cha sita na ufaulu wa Div 2.12 ya D flat(PCB). Napenda sana kusoma MD ila competition inanisumbua cha ajabu hadi kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.