Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Yani Mimi mama angu amenikwaza sana anatupelekaje Mimi na mdogo angu course moja? Alafu uhasibu level ya diploma naona kama ni kukosa mawazo ya kuamua vitu bila kufikilia fani yenyewe haina ajira...
0 Reactions
9 Replies
965 Views
Wakuu habari za wasaa huu? Kama heading inavyoeleza, naomba kufahamishwa HESLB wana vigezo vipi katika kutoa mikopo kwa wanafunzi ambao wanaingia wakiwa na stashahada (equivalent entry). Naomba...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Swali la KIZUSHI: Je, wahitimu ufundi VTC si mahiri kama mafundi wajifunzao chini ya mwembe? Fundi magari. Fundi cherehani. Fundi ujenzi. Fundi umeme. n.k. Hudaiwa huku mitaani kwamba wale...
1 Reactions
6 Replies
932 Views
“………..nikiwa nimejipumzisha chumbani kwangu,chumba ambacho kipo mahali ambapo kwa lugha ya wenyewe tuyaita ‘Hostel’,ghafla mlango ulifunguliwa kwa kasi ya ajabu,akaingia rafiki yangu ,kabla...
1 Reactions
24 Replies
14K Views
wizara ya elimu taasisi yenu mliyoipa kazi ya kuchapa madaftari ya wanafunzi, yenye nembo kwenye kava la juu imeandikwa Champion na picha ya mchezaji Chriastian Ronaldo kuna sehemu imebolonga...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu wanajukwaa habari zenu. Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi Tanzania nimekaa nimetafakari matumizi ya hizi orodha katika madaftari ya wayoto wetu nimegundua yana athari mbaya sana kiaalum...
0 Reactions
9 Replies
975 Views
wakuu naomba tutoane giza kuhusu hilo !
1 Reactions
52 Replies
15K Views
Habari za leo wakuu, Kuna ndugu yangu anataka kujiunga na Masomo ya shahada (Bachelor). Ana machaguo yafuatayo na anatakiwa kuchagua moja kati ya haya. 1. Bachelor of Commerce 2. Bachelor of...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Samahani Wakuu Nilikua nauliza matokeo baada ya ku apply chuo huchukua muda gani maana nime apply TIA naona kimya NB:nipo Certificate
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Naomba ufafanuzi juu ya Mass Communication and Broadcasting 1. Unapataje mafunzo yake 2. Kiwango gani cha elimu s.t.d 7, 4m4, 4m6 au kivip 3. Chuo kipo wapi? 4. Vipi kuhusu ada 5. Unasoma kwa...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Swali la KIZUSHI: Mliosoma chuo kozi ya MD Tanzania, kombi ya PCB ni asilimia ngapi ya yaliyomo? Swali hili ni kwa waliosoma / wasomao chuo kozi ya udaktari (MD). Wengi wenu mlisoma kombi ya PCB...
4 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari, Naomba kujuzwa kama kuna chuo chochote Tanzania au nje kinachotoa course online zinazohusiana na kilimo na wanatoa certificate? Iwe ni short course au vinginevyo. Asante
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba ushauri juu hili la viboko mashuleni. Kumekuwepo na kasumba imejitokeza katika shule za sekondari wilaya ya kyela. Walimu wanapiga wanafunzi kama vile sio binadamu. Mwanafunzi kupigwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wakuu, Napenda kuuliza wadau wa elimu humu kwamba inawezekana mtu kurudia upya kufanya mtihani wa QT? Kwa maana kwamba tayari alishafanya QT mwaka 2015 na akafaulu target yake ilikua...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wadau, Kwa unyenyekevu naomba kufahamishwa kwa mtu yeyote anayejua shule yoyote ya msingi ya Kikristo iliyoko katika maeneo ya Goba, Mbezi au Madale, Kunduchi, au Mbezi Beach. Kama unafahamu...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu wanajukwaa na ma great thinker wa JF. Matumaini yangu ni kwamba tunaendelea salama, kwa waliopatwa na matatizo nawaombea kwa m/Mungu awasaidie. Moja kwa moja niende kwenye mada tajwa...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Naomba jf. Munisadie site za kupata notes za clinical medicine na application za kutumia kusoma
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari za muda huu wa kubwa, Nasikia kuna maabiliko kwa supp na repeat module. Mtu mwenye supp hatoruhusiwa kuendelea na level ya mbele mpaka atakapoweza kuchomoa na pia kwa repeat module...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Soma hapa sheria ya urejeshaji mikopo ya HESLB.
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom