Habari Wakuu,
Mmoja kati ya Wataalam wa masuala ya kujifunza maarufu kwa jina la Jim Kwik aliwahi kusema,"Wengi tunaambiwa tujifunze,Lakini si kila mtu anaweza kukufundisha mbinu za kujifunza"...
Kwa mfano vitabu vilivyobeba hizi hadithi vilikuwa na mapungufu gani mpaka mkaviondoa?
Sadiki na Chitemo
Bwana Sikuelewi
Muwa uliozamisha meli
Hawafu mwenye nguvu
Muwa uliozamisha meli
KAMA...
Habari ndugu zangu mimi nimemaliza form comb PCB niliappy nje kwa kupitia global education na hz ndio course nilizopata je ipi course nzuri hapo?
Maana lengo langu lilikuwa na MD (DOCTOR OF...
Nimekutana na hii calculus hapa na nikagundua kuwa kwenye maelezo yake kuna matataizo. Je kuna anayeweza kujua kuna tatizo gani?
Calculus yenyewe hii hapa kwenye hii link...
Wakuu,
Mtoto wa kaka yangu amepoteza karatasi yake ya NECTA private yaani ile ambayo unapewa baada ya usajili halafu unaambiwa upige copy upeleke kituo unachofanyia mtihani na ni muhimu sana...
Kuna mwanafunzi nasomanae ana akili sana! Sasa mwaka huu amejiingiza sana kwenye makundi. Kuna kundi ambalo wenyewe hawawezi kuingia bila chabo kwenye chumba cha mtihani.
Leo nimemkumbuka tu...
Wakuu habari! Naomba kujuzwa ada za driving school, japo najua zitakuwa na utofauti kati ya centre moja na nyingine, ila ile standard kabisa ambayo nitakuwa sijapigwa ina range kiasi gani.
Ps:ndo...
Wadau,
Nimepangiwa hostel za Magufuli pale opposite na Mawasiliano.
Natafuta mwanafunzi wa UDSM anayetaka tufanye exchange nihamie main campus au mabibo hostel.
Habarini wakuu, kuna mzee kanipigia kutoka maeneo yetu vijijini ndanindani kule, anaomba ushauri wa kupewa idea ya kijana wake akajiendeleze kwa kipi kwa matokeo aliyopata kidato cha nne mwaka...
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu na moja kwa moja nielekee kwenye uzi wangu.
Nina kijana wa dada angu amemaliza kidato cha 4 2020 na akafaulu kama ifuatavyo.
ENGLESH. C
GEOGRAPHY .C...
Mimi ni kijana wa miaka 28, nina wadogo zangu wawili wa kike. Mmoja anasoma China medicine na huyo wa pili anasoma uchumi university of Dar es salaam. Maisha yetu yote tumelelewa na single mom...
Hivi ni kwanini NECTA hawajatoa ratiba ya mtihani wa kidato cha sita hadi leo. Tunaelekea mwezi wa tatu Tena na hakuna taarifa yoyote juu ya mtihani.
Na kawaida necta hutua ratiba toka mwezi wa...
Naomba rejea kwenye mada kama inavyojieleza hapo juu.
Kama tunavyojua kuna baadhi ya vyuo hapa Tanzania vimekua vikigawa ufaulu wa bure kwa wanafunzi wao na kuwafanya waonekane wamefaulu sana na...
Salaam!!
Napenda kupongeza zoezi la kuwashirikisha wadau mbalimbali katika uchangiaji wa madawati kwa wanafunzi. Hapa kwetu nimependa ingawa inauma kwamba kila mwalimu anatakiwa achangie...
Habari wanajamii forum,
Nilikuwa naomba msaada wa kupata fomu ya kujiunga na chuo cha taaluma ya wanyamapori Pasiansi Mwanza kwa mwaka 2020/2021 maana nikiingia kwenye website yao inaonekana kuna...
Wadau naomba mwenye kukifahamu vizuri hiki chuo anisaidie coz nahitaji kujiunga ila nahitaji nifaham vitu vichache kabla ya kujiunga, kwanza nilikua naomba fahamu Teaching Method yaan lecture...
Kuna umuhimu wa kuwekeza zaidi katika elimu ya awali. Wana saikolojia wanasema umri huu ndiyo umri wa ku ‘make or break a child’ yaani mtoto akikosa muongozo, mapenzi na malezi katika umri huu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.